Binafsi nakataa kuhesabiwa, kuna sheria yoyote ninavunja?

Tafuta pesa nunua mazaga ya kutosha jaza kwenye friji/Friza.
Tafuta pisi ya kueleweka unajifungia ndani huku ukiichakata Mbususu kimya kimya.
Wakija watu wa sensa wakigonga mlango unakauka kimya huku ukiendelea kupiga ndani nje ndani nje..)))
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kabisa

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Naomba nitoe dukuduku langu na naamini katiba ya nchi hii inanipa uhuru huu kwa maana sivunji sheria yoyote.

Miaka ya hivi karibuni, serikali imeingilia sana uhuru wetu. Kuna wakati watu walikuwa wananyakuliwa kwa sababu tu wametoa maoni yao mitandaoni na wengi wao wakaenda kufunguliwa kesi za uhujumu uchumi. Ni wazi kuwa serikali haiheshimu si tu uhuru wetu wa kutoa mawazo bali pia sheria za usiri tulizonazo. Uchaguzi Mkuu uliopita ulikumbwa na kiwango kikubwa sana cha uvunjifu wa haki za binadamu na sheria za uchaguzi, hilo lilipita na leo tuna viongozi bungeni na serikalini ambao hawana baraka za wananchi.

Hivi sasa kuna kampeni ya zoezi la kuhesabiwa linalokuja. Baadhi ya mambo uyakayoulizwa ni matumizi yako ya simu janga na laptop kama unavyo. Sijali hili zoezi linaenda kufanywa kwa malengo gani ila abuse ya power ambayo imeonyeshwa tena na tena haivumiliki.

Wametusumbua sana kupata vitambulisho vya NIDA wengine mpaka leo hawajapata, mitandao ya simu inapandisha gharama kila siku na kutuibia bando zetu, serikali haijali na hata kuyatetea haya makampuni. Zikaja tozo za miamala, yaani wizi kila sehemu na hakuna wa kututetea.

Huu ni mgomo wangu binafsi. Simshawishi mtu yoyote ajiunge nami katika hili ila binafsi sipo tayari kutoa taarifa zangu zozote zile.
Jiandae kwa kosa la uhujumu uchumi kuvunja sheria za takwimu waziwazi harafu sabubu zako za kugomea sensa haziendani na uhalisia unataka tu kulipa kisasi ambacho utaumia ww at the end
 
Kwani wakihesabuana huko kwenye mikutano na vikao vyao vya kijani haitoshi.?kusema kweli mimi sitotoa taarifa yoyote.

#MaendeleoHayanaChama
 
SENSA NI [emoji117][emoji90][emoji90]
 
Kubwa hapa wala usihangaike nao,unachofanya unajiendea zako na taarifa unamwachia mtu ambaye hawez kujieleza vizuri.au unadanyanya kila kitu kwani wanazorejea ili kujua kama wanadanganywa?
Ila kwakuwa tumo ktk himaya zao acha tucheze ngoma wapigayo!
 
Naomba nitoe dukuduku langu na naamini katiba ya nchi hii inanipa uhuru huu kwa maana sivunji sheria yoyote.

Miaka ya hivi karibuni, serikali imeingilia sana uhuru wetu. Kuna wakati watu walikuwa wananyakuliwa kwa sababu tu wametoa maoni yao mitandaoni na wengi wao wakaenda kufunguliwa kesi za uhujumu uchumi. Ni wazi kuwa serikali haiheshimu si tu uhuru wetu wa kutoa mawazo bali pia sheria za usiri tulizonazo. Uchaguzi Mkuu uliopita ulikumbwa na kiwango kikubwa sana cha uvunjifu wa haki za binadamu na sheria za uchaguzi, hilo lilipita na leo tuna viongozi bungeni na serikalini ambao hawana baraka za wananchi.

Hivi sasa kuna kampeni ya zoezi la kuhesabiwa linalokuja. Baadhi ya mambo uyakayoulizwa ni matumizi yako ya simu janga na laptop kama unavyo. Sijali hili zoezi linaenda kufanywa kwa malengo gani ila abuse ya power ambayo imeonyeshwa tena na tena haivumiliki.

Wametusumbua sana kupata vitambulisho vya NIDA wengine mpaka leo hawajapata, mitandao ya simu inapandisha gharama kila siku na kutuibia bando zetu, serikali haijali na hata kuyatetea haya makampuni. Zikaja tozo za miamala, yaani wizi kila sehemu na hakuna wa kututetea.

Huu ni mgomo wangu binafsi. Simshawishi mtu yoyote ajiunge nami katika hili ila binafsi sipo tayari kutoa taarifa zangu zozote zile.
Namm pia sipo tayal kuhesabiwa hata kwa bunduki
 
Back
Top Bottom