Antennah
JF-Expert Member
- Oct 14, 2015
- 6,754
- 8,750
Goood Morning,
Habari za asubuhi wapendwa wana JF.
Kabla sijajinyanyua kutoka hapa kitandani asubuhi hii ya leo, nimepokea taarifa mbili usiku wa kuamkia leo, taarifa za vifo watu wawili ambapo mmoja ni jamaa tu jirani yangu katika mtaa huu tunao ishi. Na jana nimeonana nae maeneo ya car wash akipiga piga maji pikipiki yake majira ya saa kumi jioni.
Msiba mwingine ni wa binti mdogo tu ambae ni ndugu yangu wa damu kabisa. amefariki katika hospital flani baada ya kuulazwa kwa almost a week.
Imenipa taswira ya kwamba hata humu JF, usidhani sababu jana au juzi umeona post au comment ya mtu basi ukajihakikishia kwamba asubuhi ya leo mtu huyo yu mzima!!!! au yu salama!!!
Pengine kaamka leo akiwa anaumwa sana, au umecheka nae jana humu ndani, usiku wa leo kalazwa hoi taabani hospitali, au kakutwa na ajari au hata mauti yameshamkuta.
Binafsi namshukuru Mungu nimeamka nikiwa salama salimini.
Na wewe tumia uzi huu kutujuza hali yako asubuhi ya leo
Good Morning To every body