Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wajinga hawajawahi kuisha mkuu.Una akili za kijinga sana wewe mjane,hivi unafikiri kila mtu hua yupo kwenye hayo mabishano yenu ya kisiasa?
Mtu analeta uzi kua amefiwa na ndugu yake na jirani yake kisha unamjibu upumbavu kama huo? hivi hua una akili timamu kweli wewe?
Morning 🌞Uzi mzuri sana huu, Good Morning
Umeamkaje kiongoziMorning 🌞
Salama dada yanguUmeamkaje kiongozi
Vizuri kama ni hivyo, Ashukuriwe Mungu aliyejuuSalama dada yangu