Binafsi naomba mgogoro wa mashariki ya kati usambae dunia nzima ili Afrika tufanye maboresho (Updates) ya siasa zetu

Binafsi naomba mgogoro wa mashariki ya kati usambae dunia nzima ili Afrika tufanye maboresho (Updates) ya siasa zetu

Wakusoma 12

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2017
Posts
5,503
Reaction score
15,858
Kwanza ieleweke sina furaha na maisha ya waafrika wote kwa ujumla.

Siasa na uchumi wa Afrika si tu kwamba umetekwa bali umetekwa na watu wasiokuwa na sifa wala uwezo wa kufanya hivyo.

Ulaya na Asia wanasiasa na watu wenye nguvu za kifedha ni watu elites na wenye both political and economic stimulus by nature and by learning.

Ila kwa hapa Afrika wanasiasa ni watu matapeli na wahalifu kitu kinachouma na kuleta hisia za maumivu.

Matajiri wa Afrika nao ni wanyonyaji na wahalifu ndiyo maana unakuta Mohamed enterprises wamehodhi biashara zaidi ya kumi kwa sababu ya ujanja janja tu.

Kinuke tu
 
Naunga mkono hoja
20250817_080009.jpg
 
Labda ingekuwa kwa wenye akili timamu ila kwa miongoz mipumbavu iliyokuwa madarakan sizan kama watajifunza zaid watamkandamiza mwananchi
 
Hamna siasa ni madili ya watu ,mbona Nigeria na nchi kadhaa afrika wana mafuta..Kiufupi ,waafrika wajitambua watulie na vyao ; wafanye biashara wao kwa wao.
 
Hivi inawezekana Tanzania hakuna mafuta kabisa? Au hatujajisumbua kutafuta
 
Back
Top Bottom