brave one
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 4,879
- 7,386
Kwa utafitu mdogo niliofanya kupitia Simba Day na Yanga Day nimegundua timu ya Yanga Ina mashabiki wengi wengi wanawake Tena warembo hasa ukilinganisha na Simba.
Hata waliongalia kwenye TV watakuwa mashuhuda siku ya Yanga day mahudhuliaji wanawake walijitokeza kwa wingi sana ukilinganisha na Simba tena wakiwa wamevaa jezi mpya.