Binafsi naunga mkono jinsi Dudu Baya alivyofunga shoo ya miaka 30 ya Bongo Fleva

Binafsi naunga mkono jinsi Dudu Baya alivyofunga shoo ya miaka 30 ya Bongo Fleva

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
25,030
Reaction score
61,298
huwa simkubali Dudu Baya kwenye kila jambo, hasa pale ninapoona anaisifia sana serikali na ku m mention mama samia lakini kuhusu namna alivyofunga shoo kwangu ilikuwa poa

Kufikia alfajiri watu wengi tayari wanakuwa wamechoka na wengine wanaanza kuondoka. Kwa hiyo niliona ile ilikuwa njia ya kuhakikisha watu wanaondoka na kitu cha kuzungumzia kuliko shoo kuisha kimya kimya.

Ndio maana nashangaa kuona Instagram imejaa watu wakisema amekosea eti ameharibu. Mimi naona aliweka mwisho ambao watu wataendelea kuujadili kwa siku kadhaa si ndo mambo ya kick tunayataka

Siungi mkono lugha yoyote ya matusi, lakini kwa upande wa burudani na kuvuta attention naamini amefanikiwa kufunga shoo kwa namna ambayo imeacha gumzo.
 
Dudu siku hizi anafyatuka na mashoga tu, sijui yalimkosea nini huyu baba
 
Wasanii wanabidi kuwa creative , maana hiyo platform walioipata ni kama weak up call ya generation ya Sasa ambayo inaimba matusi na ngono

Wao wanabidi watumie hiyo loopholes kuendelea kuwa Consistency na kufanya zaidi show kama hizi .
 
Mashoga yatamchukia na yatataka kumfanyizia akome kuyasakama. Yatajenga bifu naye
 
Watawala duniani kote wanataka wananchi wao wajadili kuhusu ushoga, michezo, miziki, movies nk.
 
Back
Top Bottom