MAKANGEMBUZI
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 2,670
- 7,655
Nakumbuka nikiwa mdogo umri wa miaka 14 mwaka 2008 Machachari yake zitto ya kipindi kile,halima mdee (sauti ya zege) dokta slaa na Tundu lissu hao ndio walinifanya niijue CHADEMA.
So CHADEMA imejengwa na watu wengi maana hata hao wote juu walionifanya nikaijua CHADEMA lissu pekee ndio kabaki CHADEMA mpaka sasa.
So MBOWE asilete mbwembwe zake za kusema chama kakitoa mbali leo hii SUGU wa juzi tu kwenye siasa eti ana influence kubwa CHADEMA na mwenzie BONI YAI (vituko hivi).
Kikubwa ninachokumbuka kwakuwa MBOWE alikuwa mgombea uraisi 2005 ambao huo mwaka matokeo ya uchaguzi nafasi ya pili alishika Prof lipumba wa CUF
Nilijua vipi siasa kwa umri mdogo naweza sema ni mzee wangu ndio alichangia kwa nafasi kubwa sana maana hajawahi kuwaelewa chama cha vibaka CCM,ilikuwa hivi mzee wangu alikuwa kila siku anarudi home na magezeti ya mwananchi au nipashe na gazeti la Tanzania daima(nilikuja kujua badae kuwa ni gazeti la MBOWE) kuna jamaa anaitwa saidi kubenea alikuwa anaandika sana nondo, pamoja na kutazama matangazo ya Bunge na father enzi zile yalikuwa yapo live pia the time niko primary nilikuwa na ubongo mzuri sana wa kukariri nakumbuka mzee alinunua kalenda yenye baraza la mawaziri la Rias mstaafu KIKWETE 2005-2010 aisee niliwakariri wote mawaziri na manaibu waziri wa kipindi kile,ulikuwa ukitaja tu wizara nakutajia waziri wake nani.
Kwa kuongezea zamani nilikuwa na naaminia sana upinzani mwaka jana ndio nimeelewa kumbe wapinzani ni njaa tu nao wanatetea matumbo yao mifano yao ni MMM wa X(twitter) na Boni Yai kuwajua inabidi uwe na akili nyingi sana.
So vijana wenzangu nawasihi tu-focus na kutafuta maisha na kupambana na umaskini na kufosi uingie kwanye mifumo ya serikali familia iende chooni uishi ufe ukazikwe,achana na siasa za Bongo na upinzani watakutoa sadaka bure ila wao na familia zao wanakula shushu.