Binafsi: Sihitaji kupendwa , nnachohitaji ni kuheshimiwa tu

DeepPond

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2017
Posts
43,321
Reaction score
109,608
WAKUU,
1. Uwezi kunambia Kila mara Unanipenda (unalia Hadi chozi) na penzi hunipi, kisa eti Hatujafunga ndoa. Binafsi naona Unaniigizia tu.

2. Sioni mantiki ya kuninyima penzi na najua kabisa nmekukuta huna BIKRA. Ukininyima penzi naamini UMENIDHARAU.

3. Kunibania penzi kiukweli hakuwezi kunifanya nikupende, penzi unavonibania, linapatikana mtaani Kwa Bei chee Sana.
Nikikuomba penzi Jua nmekuheshimu, na Ukinipa penzi naamini Umeniheshimisha.

4.Ukisumbua Sana kunipa penzi wkt Wewe mahitaji yako UNAOMBA Sana na huwa sisumbui kukutimizia, Tena Kwa wakati, Jua kabisa unapika KOMBORA litakalokulipukia mwenyewe.

5. Ukisumbua Sana kunipa penzi, hakikisha siku utayoamua kunipa penzi, UNANIPA PENZI KWELIKWELI, na penzi lenyewe hakikisha lisiwe na Kona Kona yotote.

6. Usione ajabu kabisa siku utakayojiskia kunipa penzi lako, baada ya kubanduka kifuani kwako, na mahusiano yetu yakafia hapo hapo.

BINAFSI HUWA SIHITAJI KUPENDWA na MWANAMKE, NNACHOHITAJI Huwa NI KUHESHIMIWA TU.
 

Attachments

  • IMG_20250309_153955.jpg
    144.7 KB · Views: 51
Mwanangu kama anakubania penzi lake Bob baki na penzi lako na wewe ngoma draw....

Ipo hivi, mwanaume rijali hawezi akavumilia kwenye mahusiano kusoma hekaya za abunuwasi. Ndio hekaya za abunuwasi maana kuna ujuha na uzwazwa ndani yake. Haya mambo hayana formula, Je? Unaweza ukampotezea for real huyo dame.. kama ndio fanya hivyo na kata mawasiliano yake. Sio kila dakika unaingia online kumchek kama yupo au ame update status hio ni weakness.

Nakupa 1 week utakuja na majibu yako hapa. Strictly mpotezeee non stop... acha kulialia kisa mbunye na zipo nyingi sana that nyapu... One love pambania mwandu kaka.
 
Yani umetikia hapo kwa sababu umenyimwa penzi. Ila option uliyochagua haitakusaidia kama kama hujawa na kitu cha muhimu kwenye maisha yako zaidi ya mapenz...ngoja nikusaidia maana miaka yako ni 20-29. Dunia iko hivi, hupati kitu unachokitaka...siku una mwanamke 1 utapata wanawake wengi wanaokutaka, siku una kazi 1 utapata nafasi nyingi za kazi...jitafute ujue nini nje ya kupendwa na kuheshimiwa ni muhimu kwako alaf kifuate ...vingine havihitaji nguvu vinakujaga tu
 
Tafuta hela. Heshima huja yenyewe tu ukiwa na mkwanja. Inakuwa auto respect. Bila pesa disrespect nayo inakuwa auto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…