Binafsi: Sihitaji kupendwa , nnachohitaji ni kuheshimiwa tu

Binafsi: Sihitaji kupendwa , nnachohitaji ni kuheshimiwa tu

Sjakuelewa mkuu
Ni wakati gani heshima inahitajika nanupendo unahitajika!!?

Mwanzilishi wa upendo ni muumba pekee ndio maana akatoa amri hiyo!!

Hizi falsafa za kijinga tulizoaminishwa jamvini humu hazina maana yeyote kabisa!!!
Ni utumwa was kifikra tu hakuna mantiki tena!!
 
Wanawake wanaamini kuchelewesha penzi kutamfanya asionekane malaya
Wanawake Gani....
Labda wale WA Karne ya kumi na tisa.
Huyu mwamba TU sijui kakutana na janga Gani!!
Ajitafakari vizuri, yawezekana alipoangukia siyo, au yeye ndiyo siyo!!
Yaani hajaruka na ndege mwenye manyoya yake..
 
Back
Top Bottom