Binafsi: Sihitaji kupendwa , nnachohitaji ni kuheshimiwa tu

Binafsi: Sihitaji kupendwa , nnachohitaji ni kuheshimiwa tu

1739388788187.jpg
 
Ndo nni sasa.
Wewe upende halafu usipendwe..mbona hii ni slavery sasa..na mbona utapata tabu...
Ndoa ili i-move mwanamke yeye ndio apende 65% wewe 35..
Mimi hili nimefanikiwa.
Maana yeye ndio mnufaika namba moja kuliko nachopata toka kwake..

Kinyume cha kupendwa kuchukiwa.
Wewe hupendi kupendwa na mkeo, watoto wako au mzazio.
 
WAKUU,
1. Uwezi kunambia Kila mara Unanipenda (unalia Hadi chozi) na penzi hunipi, kisa eti Hatujafunga ndoa. Binafsi naona Unaniigizia tu.

2. Sioni mantiki ya kuninyima penzi na najua kabisa nmekukuta huna BIKRA. Ukininyima penzi naamini UMENIDHARAU.

3. Kunibania penzi kiukweli hakuwezi kunifanya nikupende, penzi unavonibania, linapatikana mtaani Kwa Bei chee Sana.
Nikikuomba penzi Jua nmekuheshimu, na Ukinipa penzi naamini Umeniheshimisha.

4.Ukisumbua Sana kunipa penzi wkt Wewe mahitaji yako UNAOMBA Sana na huwa sisumbui kukutimizia, Tena Kwa wakati, Jua kabisa unapika KOMBORA litakalokulipukia mwenyewe.

5. Ukisumbua Sana kunipa penzi, hakikisha siku utayoamua kunipa penzi, UNANIPA PENZI KWELIKWELI, na penzi lenyewe hakikisha lisiwe na Kona Kona yotote.

6. Usione ajabu kabisa siku utakayojiskia kunipa penzi lako, baada ya kubanduka kifuani kwako, na mahusiano yetu yakafia hapo hapo.

BINAFSI HUWA SIHITAJI KUPENDWA na MWANAMKE, NNACHOHITAJI Huwa NI KUHESHIMIWA TU.
Duuuh hatar
 
Ni wakati gani heshima inahitajika nanupendo unahitajika!!?

Mwanzilishi wa upendo ni muumba pekee ndio maana akatoa amri hiyo!!

Hizi falsafa za kijinga tulizoaminishwa jamvini humu hazina maana yeyote kabisa!!!
Ni utumwa was kifikra tu hakuna mantiki tena!!
 
Back
Top Bottom