Binafsi: Sihitaji kupendwa , nnachohitaji ni kuheshimiwa tu

Ndo nni sasa.
Wewe upende halafu usipendwe..mbona hii ni slavery sasa..na mbona utapata tabu...
Ndoa ili i-move mwanamke yeye ndio apende 65% wewe 35..
Mimi hili nimefanikiwa.
Maana yeye ndio mnufaika namba moja kuliko nachopata toka kwake..

Kinyume cha kupendwa kuchukiwa.
Wewe hupendi kupendwa na mkeo, watoto wako au mzazio.
 
Duuuh hatar
 
Ni wakati gani heshima inahitajika nanupendo unahitajika!!?

Mwanzilishi wa upendo ni muumba pekee ndio maana akatoa amri hiyo!!

Hizi falsafa za kijinga tulizoaminishwa jamvini humu hazina maana yeyote kabisa!!!
Ni utumwa was kifikra tu hakuna mantiki tena!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…