DAah, tuombee sana wiki hii shemeji Anastasia21 ana expect soon nime mpiga stop kwanza biashara ya kugawa likes hapa kwa muda mpaka atakapo kuwa fit.. asante kwa kujali shemejiUmemfungia wapi Ana wa watu😁😁
Ampe mimba atamuheshimuMbona mama j hakuheshimu na unampenda
Ni wakati gani heshima inahitajika nanupendo unahitajika!!?
Mwanzilishi wa upendo ni muumba pekee ndio maana akatoa amri hiyo!!
Hizi falsafa za kijinga tulizoaminishwa jamvini humu hazina maana yeyote kabisa!!!
Ni utumwa was kifikra tu hakuna mantiki tena!!
Wanawake Gani....Wanawake wanaamini kuchelewesha penzi kutamfanya asionekane malaya
Kwani si uachane naye utafute mchepuko wenye adabu uliotulia sasaAkinasa atasumbua zaid