Binafsi sijaona kibaya alichokisema Mpina mbele ya Rais Samia

koryo1952

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2023
Posts
1,289
Reaction score
2,199
Jana katika ziara ya Mhe. Rais katika Wilaya ya Itilima Mhe. Mpina Mbunge wa Kisesa alipewa muda kusema machache kuhusu Jimbo lake la Kisesa. Mhe. Mpina alisema kero za Jimbo lake likiwemo kwa nini mnunuzi wa pamba anakuwa ni mmoja katika kila Wilaya jambo ambalo ni la msingi.

Pia Mhe. Mpina aligusia tatizo la uvamizi wa tembo na pia aliomba Kituo cha Afya cha mwandoya kiwe hospitali kamili. Hapo kuna ubaya gani. Kusema kuwa Mhe. Rais anadaiwa na Wananchi wa Kisesa kuna ubaya gani. Mhe. Rais ni Mama, Baba, Mzazi wa kila Mtanzania hivyo Mpina kusema anadaiwa siyo kitu cha ajabu.

Mhe. Mpina katika hitimisho lake alimsifisia Mhe. Rais kwa usimamizi mzuri wa miradi mikubwa ya kimkakati kama vile SGR, Bwawa la Mwalimu Nyerere na miradi mingine mikubwa. Hapa kuna mbaya gani. Baadaye Mhe. Waziri Kilimo anakuja kumponda mbele ya Mhe. Rais. Hii inaonyesha chuki ya waziwazi. Mawaziri wanatakiwa wapendane na jambo kama lile wangeitana pembeni na kuzungumza kwa pamoja na jambo linaisha.

Kumsema vibaya Mhe. Mpina mbele ya wapiga kura wake ni jambo linalokatisha tamaa.

Binafsi sijaona kibaya alichosema Mhe. Mpina. Tunatakiwa tupendane Watanzania wote.
 
Umefanya uchunguzi iwapo kichwani una akili?
 
Serikali ya madikteta huwa haipendi ukweli, kwa sababu ukweli unaangusha uongo na udhalimu wao. Mhe. Mpina alionyesha ujasiri wa kweli kwa kusema sauti ya wananchi kwa heshima. Truth always scares dictators, but it empowers wananchi. Hii ni Tanzania yetu, tusimame imara kwa ukweli na haki!
 
Jana katika ziara ya Mhe. Rais katika Wilaya ya Itilima Mhe. Mpina Mbunge wa Kisesa alipewa muda kusema machache kuhusu Jimbo lake la Kisesa. Mhe. Mpina alisema kero za Jimbo lake likiwemo kwa nini mnunuzi wa pamba anakuwa ni mmoja katika kila Wilaya jambo ambalo ni la msingi.

Pia Mhe. Mpina aligusia tatizo la uvamizi wa tembo na pia aliomba Kituo cha Afya cha mwandoya kiwe hospitali kamili. Hapo kuna ubaya gani. Kusema kuwa Mhe. Rais anadaiwa na Wananchi wa Kisesa kuna ubaya gani. Mhe. Rais ni Mama, Baba, Mzazi wa kila Mtanzania hivyo Mpina kusema anadaiwa siyo kitu cha ajabu.

Mhe. Mpina katika hitimisho lake alimsifisia Mhe. Rais kwa usimamizi mzuri wa miradi mikubwa ya kimkakati kama vile SGR, Bwawa la Mwalimu Nyerere na miradi mingine mikubwa. Hapa kuna mbaya gani. Baadaye Mhe. Waziri Kilimo anakuja kumponda mbele ya Mhe. Rais. Hii inaonyesha chuki ya waziwazi. Mawaziri wanatakiwa wapendane na jambo kama lile wangeitana pembeni na kuzungumza kwa pamoja na jambo linaisha.

Kumsema vibaya Mhe. Mpina mbele ya wapiga kura wake ni jambo linalokatisha tamaa.

Binafsi sijaona kibaya alichosema Mhe. Mpina. Tunatakiwa tupendane Watanzania wote.
Mpina ni miongoni mwa Magwajima yasioyo takiwa na chura kiziwi. Elewa neno CHURA KIZIWI.
 
Yesu Kristo alisema’ maneno yenu yawe NDIO na SIYO zaidi ya hapo yanatoka kwa yule muovu’
 
Jana katika ziara ya Mhe. Rais katika Wilaya ya Itilima Mhe. Mpina Mbunge wa Kisesa alipewa muda kusema machache kuhusu Jimbo lake la Kisesa. Mhe. Mpina alisema kero za Jimbo lake likiwemo kwa nini mnunuzi wa pamba anakuwa ni mmoja katika kila Wilaya jambo ambalo ni la msingi.

Pia Mhe. Mpina aligusia tatizo la uvamizi wa tembo na pia aliomba Kituo cha Afya cha mwandoya kiwe hospitali kamili. Hapo kuna ubaya gani. Kusema kuwa Mhe. Rais anadaiwa na Wananchi wa Kisesa kuna ubaya gani. Mhe. Rais ni Mama, Baba, Mzazi wa kila Mtanzania hivyo Mpina kusema anadaiwa siyo kitu cha ajabu.

Mhe. Mpina katika hitimisho lake alimsifisia Mhe. Rais kwa usimamizi mzuri wa miradi mikubwa ya kimkakati kama vile SGR, Bwawa la Mwalimu Nyerere na miradi mingine mikubwa. Hapa kuna mbaya gani. Baadaye Mhe. Waziri Kilimo anakuja kumponda mbele ya Mhe. Rais. Hii inaonyesha chuki ya waziwazi. Mawaziri wanatakiwa wapendane na jambo kama lile wangeitana pembeni na kuzungumza kwa pamoja na jambo linaisha.

Kumsema vibaya Mhe. Mpina mbele ya wapiga kura wake ni jambo linalokatisha tamaa.

Binafsi sijaona kibaya alichosema Mhe. Mpina. Tunatakiwa tupendane Watanzania wote.
 
Ilipaswa aishie kwenye kusifia tu sio kutoa kasoro. Keshazoeshwa kusifiwa hivyo hata la kweli ambalo halivutii huchukuliwa kama tusi.

Mbwa ukimzoesha minofu siku ukimpa mifupa ataona kama umememnyanyasa.
 
Mpina alikuwa sahihi sana akieleza ukweli inawezekana mweshimiwa hajui nchi ilivyo hasa ujenzi wa barabara Raisi angemupigia waziri husika ajue tatizo nini?sasa hataki anageuka kumushambuliwa Mpina hii sisawa
 
Jana katika ziara ya Mhe. Rais katika Wilaya ya Itilima Mhe. Mpina Mbunge wa Kisesa alipewa muda kusema machache kuhusu Jimbo lake la Kisesa. Mhe. Mpina alisema kero za Jimbo lake likiwemo kwa nini mnunuzi wa pamba anakuwa ni mmoja katika kila Wilaya jambo ambalo ni la msingi.

Pia Mhe. Mpina aligusia tatizo la uvamizi wa tembo na pia aliomba Kituo cha Afya cha mwandoya kiwe hospitali kamili. Hapo kuna ubaya gani. Kusema kuwa Mhe. Rais anadaiwa na Wananchi wa Kisesa kuna ubaya gani. Mhe. Rais ni Mama, Baba, Mzazi wa kila Mtanzania hivyo Mpina kusema anadaiwa siyo kitu cha ajabu.

Mhe. Mpina katika hitimisho lake alimsifisia Mhe. Rais kwa usimamizi mzuri wa miradi mikubwa ya kimkakati kama vile SGR, Bwawa la Mwalimu Nyerere na miradi mingine mikubwa. Hapa kuna mbaya gani. Baadaye Mhe. Waziri Kilimo anakuja kumponda mbele ya Mhe. Rais. Hii inaonyesha chuki ya waziwazi. Mawaziri wanatakiwa wapendane na jambo kama lile wangeitana pembeni na kuzungumza kwa pamoja na jambo linaisha.

Kumsema vibaya Mhe. Mpina mbele ya wapiga kura wake ni jambo linalokatisha tamaa.

Binafsi sijaona kibaya alichosema Mhe. Mpina. Tunatakiwa tupendane Watanzania wote.
Tatizo ili hapa
 
Attachments

  • Samia is coming for youall😂😂😭😭.mp4
    1.1 MB
  • Mawazo ya watu watatu tofauti kuhusu kukopa.mp4
    1.1 MB
  • Duh kiongozi kama huyu mchapa kazi kumpata tena ni mitano tena 🫣.mp4
    947.9 KB
  • AQNL9KwvgNwOGe3X7iWw35pDYtTgm3PmnnSAtZlH282vFEEJ_TPg63tAkGfJAtwjxiJiImeK_MRsNkKaZyISS6Q3J_m1zj...mp4
    1.1 MB
Back
Top Bottom