Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaa. Kweli kabisa kwa hali hii udada unalipa sio siri.Udada unalipa na watu hawasemi....
Bora kukaa nyumbani kuosha vyombo, kufua, kudeki, kupika huku naangalia jua kali na kucheza na kina junia.
Kabisa mkuu..japo kuna wengine wanaendelea kuwanyonya mabinti kwa kuwalipa chini ya 70kHiyo haiwezeniki
Take home 1m
Wengi hulipa 70k to 100k
Kabisa mkuu..japo kuna wengine wanaendelea kuwanyonya mabinti kwa kuwalipa chini ya 70k
Ninayee binti mwaka wa sita huu...tupoo vizurii...kanilelea mapacha wangu kwa upendo kbsaaa...na tunaishi vizuri na namtunza Kama mwanangu na kwao anaenda kusalimiaa na anarudi tenaa...ukiishi nao kwa upendo hawana shida kbsaa
Yote hayoo nimeyafikiriaa...na kila kitu kitakuwaa sawaa..Ushawahi kuvaa viatu vyake na kujiuliza future itakuaje akiwa Mzee? au utakaa naye mpaka afe uzike au aolewe basi.
Hujawahi kufikiria kumpeleka shule naye akapate kaujuzi hata kakushona? nk.
Mambo yanakua mengi lo inakua hakuna namna
Hakuna kitu kama hicho mbona wazazi wetu hawakua na wasaidizi kipindi hicho lakini moto walikua wanapeleka kama kawaidaWakati mwingine inamfanya wife awe sopusopu kumpelekea moto! Sio unamkuta kajaa majasho ya kazi za ndani! Kama una uwezo ajiri tu mfanyakazi kumsaidia wife ila kuwa makini kwasababu wengi wa hawa house girl ni mashetani.
Hili liko sahihi kabisaa.Chukua mdada then fanya kumlea kama ndugu yako sio unamtesa kama mbwa. Mchukue kama msaidizi wa nyumbani tena unamchukulia kama mwanao au ndugu yako, ikiwezekana hata kumsomesha fresh.
Hiyo ni kazi ya baba familia, ni jukumu lako kukata kiu ya mdada wa kaziHapo kwenye off days wengi. Wanajisahau kuwa huyo housegr ana mahitaji yake kama binafamu wengine,lazima naue apate wakumlomba.
Wewe ni mimi kabisaaa nilee nisilee hg ni muhimu siwezi kuteseka na kila kitu mwenyewe.Mimi bila dada wa kazi sitoboi