NGOSWE2
JF-Expert Member
- Dec 19, 2013
- 1,323
- 1,608
Kwangu dada wa kazi alinisaidia sana.Kwa utafiti wangu mdogo nimegundua watu wengi hasa wanawake huleta dada wa kazi ndani ili kujionesha ati wana pesa kwa kuwa wana wasaidizi hawa.
Hivi hawa wadada wa kazi wanafanya jambo Gani la maana au gumu ambalo mwanamke asilifanyaje.
Yaani kulea, kulisha na kufulia mtoto hadi uajiri mdada wa kazi.
Wanawake kiasili ni wazazi na walezi
Kama hawezi kulea basi hafai kuwa mke wa mtu.
Kwangu sitaki dada wa kazi hata iweje, mwanamke aache kila kitu alee mtoto.
Hawa dada wa kazi ni makatili sana, wanalisha watoto vinyesi, hawawapi chakula nk
Wanawake utawakuta hata hawako busy, wapo tu wanaajiri hawa mabinti kama fashion.
Siwezi kudharau kazi zao hata kidogo.
Alinitunzia watoto wangu mapacha, aliwalea kama watoto wake.
Bila msaada wa huyo dada mke wangu sijui ingekuwaje.