Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni mmoja kati ya elfu moja. Kuwapata kama hao huwaga ni kama zaliTumeishi na mdada wa kazi mpaka kaolewa ila tuna undugu nae kwa mbali maana katoka sehemu moja na baba yetu , alisomeshwa computer ngazi ya cheti , alikuja kuolewa baadae kidogo mda huo baba alikuwa kashapata wajukuu.
Mwanamke akiwa na uhakika wa kula vizuri kulala pazuri mnaishi mnaheshimiana hauonyeshi udhaifu wowote wa kuhusiana nae a’cally anakuwa smart msafi kama sufi.Wakati mwingine inamfanya wife awe sopusopu kumpelekea moto! Sio unamkuta kajaa majasho ya kazi za ndani! Kama unauwezo ajiri tu mfanyakazi kumsaidia wife ila kuwa makini kwasababu wengi wa hawa house girl ni mashetani
Hapana, mwanamke ana jukumu la kulea sawa lakini nyakati sasa hivi zimebadilika mwanamke naye anahitajika kujishughulisha na jambo lolte linalomuingizia kipato na sio kumtegemea mwanaume pekee yake, na sidhani kwmba wanafanya kwaajly kuonyesha uwezo wao au Kwa sifa hapna.Kwa utafiti wangu mdogo nimegundua watu wengi hasa wanawake huleta dada wa kazi ndani ili kujionesha ati wana pesa Kwa kuwa wana wasaidizi hawa.
Hivi hawa wadada wa kazi wanafanyaga jambo Gani la maana au gumu ambalo mwanamke asilifanyaje.
Yaani kulea, kulisha na kufulia mtoto hadi uajiri mdada wa kazi.
Wanawake kiasili ni wazazi na walezi
Kama hawezi kulea basi hafai kuwa mke wa mtu.
Kwangu sitaki dada wa kazi hata iweje, mwanamke aache kila kitu alee mtoto.
Hawa dada wa kazi ni makatili sana, wanalisha watoto vinyesi, hawawapi chakula n.k
Wanawake utawakuta hata hawako busy , wapo tu wanaajiri hawa mabinti kama fashion
Kweli kabisaMadada wa kazi kibongo bongo ni watumwa. Slavery bado ipo Tanzania hata kama hamtaki kukubali.
Wanafanya kazi kuanzia alfajiri mpaka mida ya kuvunga mlango mpaka Jumapili. Hawana haki kabisa, wanaonewa sana. Wanatumika kisha wanarudishwa kijijini na kibegi na laki na nusu
Hapo kwenye off days wengi. Wanajisahau kuwa huyo housegr ana mahitaji yake kama binafamu wengine,lazima naue apate wakumlomba.Angalau 300k kwa mwezi, NSSF,medical insurance, bonus na off-days.
majasho kwani haogi?Wakati mwingine inamfanya wife awe sopusopu kumpelekea moto! Sio unamkuta kajaa majasho ya kazi za ndani! Kama unauwezo ajiri tu mfanyakazi kumsaidia wife ila kuwa makini kwasababu wengi wa hawa house girl ni mashetani
Usicho kijua wewe ni kwamba kwa mshahara huo wa 50,000 -100,000 anakula kwako ,analala kwako,anakunya kwako,anatibiwa na wewe,anavaa kwako,umeme unalipa wewe, maji nk na anatumia kila kitu chako kwa msingi huo ukipiga hesabu kamili kabisa huyo analipwa si chini ya 300,000/= kwa mwezi ila ndani yake kuna direct na indirect cost.Unachukua mtoto wa watu kijijini unakuja kumlipa 50k au 100k, huu ni unyanyasaji.
Usicho kijua wewe ni kwamba kwa mshahara huo wa 50,000 -100,000 anakula kwako ,analala kwako,anakunya kwako,anatibiwa na wewe,anavaa kwako,umeme unalipa wewe, maji nk na anatumia kila kitu chako kwa msingi huo ukipiga hesabu kamili kabisa huyo analipwa si chini ya 300,000/= kwa mwezi ila ndani yake kuna direct na indirect cost.
Atleast 150kAnatakiwa kulipwa sh ngapi boss.....