kichongeochuma
JF-Expert Member
- Jan 21, 2024
- 1,669
- 2,864
Mpe laki tatu alafu hayo yote uliyoyataja ajitegemee.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpe laki tatu alafu hayo yote uliyoyataja ajitegemee.
Wanaitwa wasaidiziWafanyakazi wa ndani ni mbwa 🐕
Hatoboi
Usichokijua ni kwamba hiyo 50000 ni sawa au zaidi ya laki tatu kwa mwezi,imagine chakula,Mavazi,Malazi na kumuuguza ni juu yako.niambie ni nani anayelipwa 300000 kwa hapa mjini (Dsm),ambaye anajitegemea kwa nauli,kodi ya chumba,chakula nk.mwenye uhakika wa kubaki na 50000 kila mwezi!...matumizi ya chakula na nauli kwa siku tu hapa mjini ni zaidi ya 250000 na hapo mtu amejibana kweli kweli.weUnachukua mtoto wa watu kijijini unakuja kumlipa 50k au 100k, huu ni unyanyasaji.
Kwa utafiti wangu mdogo nimegundua watu wengi hasa wanawake huleta dada wa kazi ndani ili kujionesha ati wana pesa kwa kuwa wana wasaidizi hawa.
Hivi hawa wadada wa kazi wanafanyaga jambo Gani la maana au gumu ambalo mwanamke asilifanyaje.
Yaani kulea, kulisha na kufulia mtoto hadi uajiri mdada wa kazi.
Wanawake kiasili ni wazazi na walezi
Kama hawezi kulea basi hafai kuwa mke wa mtu.
Kwangu sitaki dada wa kazi hata iweje, mwanamke aache kila kitu alee mtoto.
Hawa dada wa kazi ni makatili sana, wanalisha watoto vinyesi, hawawapi chakula n.k
Wanawake utawakuta hata hawako busy , wapo tu wanaajiri hawa mabinti kama fashion
Jibu zuriWakati mwingine inamfanya wife awe sopusopu kumpelekea moto! Sio unamkuta kajaa majasho ya kazi za ndani! Kama unauwezo ajiri tu mfanyakazi kumsaidia wife ila kuwa makini kwasababu wengi wa hawa house girl ni mashetani
Huo mshahara kwa MTU anaye lala kwako ,anakula na vtu vingine juu yako ,huo mshahara ni mkubwa kuliko MTU anayelipwa laki tatuUnachukua mtoto wa watu kijijini unakuja kumlipa 50k au 100k, huu ni unyanyasaji.
Mkuu nasikia huko kuna mabinti wazuri mno wa kihangazaNaishi Dar na Ngara
Laki 350k to 500k kwa h/maid cash!? hiyo ni canada hiyo, maana kwanza hiyo ndiyo take home ya mtumishi wa serikali ambapo hapo inatakiwa pia utoke mshahara ya huyo h/maid na wale ,walipe kodi ,wavae nk aisee wacha bwanaAnatoboa,
Mimi moja ya shughuli zangu NI pàmoja na hiyo.
Semà hoja Hapo NI uchumi WA nchi, Elimu ya hao housemaid ambao wengi hawana Elimu kûbwa au ya kati.
Wàpo maids weñye diploma na Shahada wanalipwa kati ya 350k to 550k
Narudia tena...mke siyo mfanyakazi wakoNdiyo maana ndoa zenu zimejaa migogoro,mama na bibi zenu wakifanya kazi za ndani na kulea watoto
Kiukweli umesema sahihi kabisaUsichokijua ni kwamba hiyo 50000 ni sawa au zaidi ya laki tatu kwa mwezi,imagine chakula,Mavazi,Malazi na kumuuguza ni juu yako.niambie ni nani anayelipwa 300000 kwa hapa mjini (Dsm),ambaye anajitegemea kwa nauli,kodi ya chumba,chakula nk.mwenye uhakika wa kubaki na 50000 kila mwezi!...matumizi ya chakula na nauli kwa siku tu hapa mjini ni zaidi ya 250000 na hapo mtu amejibana kweli kweli.we
hao sio watusi?Wapo karibu au nikutafutie nchi jirani ninazo pakana Nazo za Rwanda na Burundi
We kuweza?kwa mshahara upi?ajira ipi hiyo unalipwa vizuri mpka umlipie na pensheni?sio wote wanapenda watto walelewe na mabinti wa kazi ..majukumu yanabana lkn hata kama upo nyumbani tu huna shughuli yyte msaidizi muhimu...hata Mungu aliona hilo akampa Adam msaidizi..sio sifa mwanamke kuhenyeka na kazi wakati uwezo wa kupata msaidizi upo matokeo yake mwanamke anafujika anachakaa anachoka hana hata muda wa kupaka lotion ikatulia usoni ni busy nakazi za ndani badae mnawakimbia ..Angalau 300k kwa mwezi, NSSF, medical insurance, bonus na off-days.
Laki 350k to 500k kwa h/maid cash!? hiyo ni canada hiyo, maana kwanza hiyo ndiyo take home ya mtumishi wa serikali ambapo hapo inatakiwa pia utoke mshahara ya huyo h/maid na wale ,walipe kodi ,wavae nk aisee wacha bwana
Si kweli labda niwe sijaelewa ni home maid gani unawaongeleaHapa bongo wàpo maid wanalipwa hiyo Pesa yàani 580k