Binamu Bananga: CHADEMA tunakutana kujadili mahojiano ya Rais Samia na BBC ili kujibu nini? Nasisitiza tusikurupuke

Binamu Bananga: CHADEMA tunakutana kujadili mahojiano ya Rais Samia na BBC ili kujibu nini? Nasisitiza tusikurupuke

Huyo jamaa ni TAGA maana alikuwa huko na amelelewa huko pia kwa sasa anaishi kwa mgongo wa mkewe.
Msipoteze muda kubishana naye.
 
nadhani hata kwa wakati huu mali za Mbowe zote zinapaswa zizuiliwe pomja na acount zake.
lazima sheria ya Ugaidi ifuatwe kikamilifu.

Nilishangaa sana alipo fikishwa nakaona Mbowe anaruhusiwa kukumbatiana na jamaa zake!!
mahakamani lazima gaidi alindwe, nilishangaa pale kisutu inakuwaje Gaidi anapewa nafasi ya kukubatiana na watu mahakamani?!! hili halipaswi kujitokeza. ni muhimu vyombo vyetu vyote vikajifunza kutoka mataifa mengine namna ya kudili na watuhumiwa wa Ugaidi.
kamwe vyombo vyetu vya ulinzi na usalama visikubali kuhadaiwa au kupakwa mafuta kwa mgongo wa chupa na mawakili au viongozi wa chadema, lazima sheria ifuatwe kikamilifu kama ilivyo kuwa inafuatwa kwa washitakiwa wengine.
nilishangaa kuwaona watuhumiwa wenzake wa Ugaidi wamefungwa pingu huku Mbowe akiwa hajafungwa pingu, sijafahamu kwa nn,!! kama hakuna ulazima basi wote wasifungwe pingu, sio baadhi wanafungwa wengine hawafungwi!!!
 
Nje ya siasa Ali Bananga ana shughuli gani inayomuingizia kipato? Anayoyasema siku hizi unaweza husiamini kama alikuwa kwenye timu ya kampeni ya Lissu! Uhalisia Bananga ana kinyongo kwasababu ya ubunge feki wa mkewe.
Fanyieni kazi maoni yake, kumnanga kuhusu aina yake binafsi ya maisha hakuna msaada wowote katika ku rescue the situation ambayo Chadema ipo kwa sasa
 
Ushauri aliotoa Binamu Bananga kwa CHADEMA kuhusu Mahojiano ya Rais Samia na BBC

Makamanda habari za jioni? Naamini wengi tumesikiliza mahojiano ya mama Samia na Kikeke, Nimeona Kaka yangu Lema ameandika Mahali kwamba Chama Kitakutana kumjibu, nimeshtuka kidogo, tunataka kujibu nini? Mimi naendelea kusisitiza tusikurupuke.

Najua mtasema natetea CCM kwasababau ya Ubunge wa Hawa, lakini mimi nashauri kwasababu ya mapenzi yangu kwa CHADEMA, Mama Samia kasema kuna Uhuru wa Habari, Baada ya Uchaguzi tujenge Nchi, Kesi ya Mbowe ilikuwepo lakini upelelezi haukuwa umekamilika, pengine ndio sababu ya Mwenyekiti kuwa nje.

Kati ya hayo aliyosema lipi la uongo? Kuna Vyombo vya Habari vilivyofungiwa Tanzania? Hapana. Wote humu tunajua kwamba ni kweli kesi ya Mbowe ilikuwepo, sio ya sasa, amesema uongo hapo? Hapana. Kuhusu hili la kujenga Nchi sisi CHADEMA ndio tunalichelewesha kwa migogoro isiyoisha. Sasa kama ukweli ni huu, tunataka kumjibu nini?

Imekuwa ni kawaida sana kwa Chama chetu kucheza ngoma ya CCM, Hivi kweli leo sisi CHADEMA ndio wakutaka Rais aingilie uhuru wa mahakama? Tatizo tulilolipigia kelele enzi za Mwendazake, tunataka lirudi tena, Tumehubiri Utawala wa Sheria na Uhuru wa Mahakama kwa miaka 6 halafu ndani ya miezi minne ya Samia tunataka kubadili gia angani kwa kushinikiza huyu Mama kuingilia Mahakama?

Maamuzi ya Mahakama hayapaswi kuingiliwa na Rais, Mama Samia kasema Issue ya Mwenyekiti ipo mahakamani, hawezi kuiingilia Mahakama, Kauli hiyo ina shida gani? Hatuoni kama kutaka aingilie Mahakama ni kutaka avunje Katiba? Kwanini tudai katiba Mpya kwa kuvunja Katiba ya Sasa? This is not right, I am sorry guys kama nitawakwaza lakini we really need to change our think tanks.

Sio kila kitu cha kujibu, tusijichoreshe, Chama kimestuck kama Tekno, hakuna kazi nyingine zinazoendelea, CHADEMA ni MSINGI hatujui hata Documents ziko wapi, Sera mbadala ishakuwa Zilipendwa, Mwenyekiti kuwa mahabusu siku 20 Chama kimeparalaizi kabisa, Hivi kweli Siku Mbowe akitoka CHADEMA, chama kitabaki hai?

Makamu Mwenyekiti Kaka yangu Lissu toka huko Ulipo, tunakuhitaji uwanjani, Maria Space na Clubhouse ni vijiwe vya story tu, havina maajabu, Lema anasema watu wasinywe bia, wasinywe maji ya kunywa, wasile hotelini, Yaani kweli huu ndio mkakati wa Chama kikuu cha upinzani? Kama tuko serious, Tusiwe na mipango unrealistic kama huu wa kaka yangu wa Canada.

Lema unasema hayo kutokea Canada, labda nikuulize, tukigomea maji huku Tanzania ili Serikali ikose pesa, Wewe na familia yako huko Canada mtagomea nini ili Serikali ya Tanzania ikose pesa? Au nyie mtaendelea kuishi kama kawaida wakati sisi tukiisoma namba kwa kugomea Dawasco huku? Bro kaa chini ufikirie tena wazo lako.

Narudia kushauri, tuachane na press za kila siku, Kama tunataka Mbowe atoke tukubali kwamba propaganda za Twita haziwezi kubadili kilichoandikwa kwenye Hati ya Mashtaka, tuna wanasheria wazuri, wasimame na Mwenyekiti, tuache sanaa.

Yangu ni hayo kwa leo, Samahani kwa watakaokwazika. Tusipoambiana ukweli Chama kitakufa.

Yaan kati ya watu wasio na uwezo wa kufikiria mbali na wepesi wa kuambiwa kitu chochote na kuamini ni wewe. Kuwa mtu rational

Yaani umeshindwa ata kujiuliza viswali kidgo tu kwamba, kwa police hii ya Tanzania inayokamata msokoto mmoja wa bangi, mtu awe na kesi ya ugaidi, kuhujum uchumi, kupanga kuuwa viongozi wa serikali n.k.

Police hii ya Siro ipate taarifa zako hizo tangu mwaka Jana mwezi wa 8, ikuache kimia kimia muda wote bila kukutia ndan arafu ukadhaminiw Na uma ukajulishwa? Tena Pengine Kama henzi za kamanda mroto Dodoma, akupige picha, mpaka watz wote wajue kwamba una kesi ya ugaidi.

2. Kesi ya ugaidi, police ikuache ukimbilie kenya, Dubai n.k kwa kupita uwanja wa ndege kirahisiiiii! Na ukirudi urudi kirahisi, uzunguke nchi nzima kirahisiii... Labda siyo siro aiseeee

3. Raisi kasema watz tumekubali tozo ya miamala, akili yako imeishia hapo kuwaza na ukaamini? Hujiulizi ni wangapi wanao kubali ?

Mfanya biashara wa duka la jumla, anauza anatoa risiti ya mashine maana yake analipa Kodi, miongoni mwa wateja wake wengine ni wa vijijin anawatumia mizigo, wanamtumia hela kwa njia ya cm, akija kutoa anapata pungufu, amekubali huyo?

Msukuma anatoka wilayani kuja kununua gar dar, anagopa kutembea na furushi la hela, anaweka kwenye cm, zinakatwa, akifika dar kuzitoa zinakatwa Tena mala ya pili, huyo kakubali?

Mzaz anatuma ada ya shule ya mtoto inakatwa kwenye cm huyo kakubali?

Ndugu yako kalazwa KCMC, mnafanya michango atibiwe nyie mko dar mnatuma michango inakatwa, umekubali?

Nakushauri mkuu wakati mwingine jifunze tu kunyamaza itakuongezea heshima zaidi.

Fuatilia michango yangu hum yote kwenye mambo ya serikali na siasa naonaga kukaa kimia tu. Au tu kurespond pale penye umuhim Sana Maana yanaongeza asilimilia kadhaa za stress.

Achana na mambo ya Samia, achana na mambo ya mboe, fanya Kaz zako, kula vizuri uongeze kinga ya kupambana na Corona.

Hao wote Mungu ni hakimu ya wa haki. Kwan wangap tumeona Mungu akiwapiga fimbo? Kama wewe ni mkiristo soma kitabu Cha Daniel 5:25. Utakuta maneno yameandikwa MENE MENE TEKELI NA PERESI. Ukielewa maana yake utanirudia....
 
Dah, tuna bahati mbaya kiumbe kama huyu kuwa associated na Chadema. Anatumia nafasi hiyo vibaya! Hopeless kabisa! Yaani analazimika kuwafurahisha CCM ili mke wake asinyanganywe tonge!
Yeye anajaribu kusaidia CDM kiwe kweli chama kikuu cha upinzani.

Akili za Watanzania zilivyo fupi wanaona anatumia nafasi yake vibaya
 
Sina huhakika sana kama teuzi zimeisha.

Akina nani walishitakiwa na Mbowe na sasa wameisha hukumia? Pathetic!
Hii sio mada ya hapa. Peleka kwenye uzi wake au kafungulie uzi wake huko tutakuja kujadili.

Hata maofisini ndio mnaharibu kazi hivi hivi, file la huku mnapeleka kule halafu kazi zinachelewa kutekelezwa.
 
Wewe mwenyewe huna Akili timamu unawezaje kujua asiye na Akili? Kipimo cha wewe kuwa na Akili ni kutukuza uonevu unyanyasaji uovu kwa wapinzani kisha utake wakae kimya?kuendekeza kuwabambikia kesi wapinzani ndiyo kuwa na Akili? Kukandamiza demokrasia ndiyo kuwa na Akili? Wapo wapi makaburu wapo wapi akina Bokasa chiluba Abacha Gadafi Sadam Hussein Elbashiri Iddy Amin dada magufuli? Kuna mabaya yasiyo na mwisho?
Mkuu mbona maswali mengi yasiyo na msingi?? Unauliza maswali ambayo majibu yake unayajua???!!!!!

Mnashangaza sana enyi watu.
 
Huyu ameshasema anasimama na mkewe, na mkewe ashafukuzwa kwenye chama, by extension na yeye hayumo. I rest my case
 
Chadema wanaendelea kumchekea huyu kiumbe sijui kwa nini?kama ni kweli kayasema haya nashauri afukuzwe haraka chamani.Kwanza mkewe ni msaliti tuanzie hapa ni wapialipata barua ya utambulisho wake?inamaana mikakati yote ya usaliti Bananga anaifahamu lakini kama alivyosema alichagua upande wa mke wake ilimradi mkono uende kinywani.Chadema muondoeni huyu MTU.
Kwahiyo kusema kweli ndio kosa ambalo inabidi mtu afukuzwe uanachama hapo CDM? Demokrasia gani mnayoitaka nyinyi???

Kwani sio kweli kwamba vyombo vya habari vipo huru?? Au Lema hajawaambia msinywe beer??😄😄😄
 
Chadema wanaendelea kumchekea huyu kiumbe sijui kwa nini?kama ni kweli kayasema haya nashauri afukuzwe haraka chamani.Kwanza mkewe ni msaliti tuanzie hapa ni wapialipata barua ya utambulisho wake?inamaana mikakati yote ya usaliti Bananga anaifahamu lakini kama alivyosema alichagua upande wa mke wake ilimradi mkono uende kinywani.Chadema muondoeni huyu MTU.
Kwahiyo kusema kweli ndio kosa ambalo inabidi mtu afukuzwe uanachama hapo CDM? Demokrasia gani mnayoitaka nyinyi???

Kwani sio kweli kwamba vyombo vya habari vipo huru?? Au Lema hajawaambia msinywe beer??😄😄😄
 
Chadema wanaendelea kumchekea huyu kiumbe sijui kwa nini?kama ni kweli kayasema haya nashauri afukuzwe haraka chamani.Kwanza mkewe ni msaliti tuanzie hapa ni wapialipata barua ya utambulisho wake?inamaana mikakati yote ya usaliti Bananga anaifahamu lakini kama alivyosema alichagua upande wa mke wake ilimradi mkono uende kinywani.Chadema muondoeni huyu MTU.
Kwahiyo kusema kweli ndio kosa ambalo inabidi mtu afukuzwe uanachama hapo CDM? Demokrasia gani mnayoitaka nyinyi???

Kwani sio kweli kwamba vyombo vya habari vipo huru?? Au Lema hajawaambia msinywe beer??😄😄😄
 
Chadema wanaendelea kumchekea huyu kiumbe sijui kwa nini?kama ni kweli kayasema haya nashauri afukuzwe haraka chamani.Kwanza mkewe ni msaliti tuanzie hapa ni wapialipata barua ya utambulisho wake?inamaana mikakati yote ya usaliti Bananga anaifahamu lakini kama alivyosema alichagua upande wa mke wake ilimradi mkono uende kinywani.Chadema muondoeni huyu MTU.
Kwahiyo kusema kweli ndio kosa ambalo inabidi mtu afukuzwe uanachama hapo CDM? Demokrasia gani mnayoitaka nyinyi???

Kwani sio kweli kwamba vyombo vya habari vipo huru?? Au Lema hajawaambia msinywe beer??😄😄😄
 
Amesema kweli "we need to change our think tanks?" Hizi lugha kweli zina wenyewe. Kwa mtu mwenye mapenzi na Chadema anashindwa hata kutoa tamko kuzungumzia wale ambao wamekuwa wakimatwa na kuwekwa ndani kila kukicha? Au anakaa kimya kwa sababu anaona wanatendewa haki?
Kitu kibaya zaidi kwake ni kuwa hakuna atakayekwazika kwa matamshi yake. Watu wameishamjua.

Amandla...
Mkuu, wahalafu inabidi waendelee kukamatwa tu. Na Bora wakamatwe maana hawa wanafanya matukio na kujificha kwenye mgongo wa Chadema.

Wanakichafua chama hivyo wahuni wote waendelee kukamatwa tu
 
CHADEMA toka waanze kampeni za Diamond na Burnaboy niliwavua nyota. Tofauti yao na wasanii wetu ni uwanja wa kufanyia kiki ila wote wanategemea kiki. Nipo Tengeru Arusha, kata ya Akheri njooni mniuwe.
😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄

Ina maana ukiwasema Chadema wanaweza kukuua mkuu???
 
Nenda kawashauri CCM waache kutumia Polisiccm kukandamiza demokrasia kawambie CCM upinzani upo kwa mujibu wa katiba waache kuwabambikia kesi, waache kuwatumia Polisiccm kwenda kuwapekua majumbani mwao kwa njia haramu za kishetani
Polisi wanafanya kazi zao kwa mujibu wa sheria.

Huwezi kuwa mhalifu halafu uangaliwe tu eti kwa kuwa wewe ni Chadema
 
Amen waendelee hivyo hivyo Katiba Movement now is gone. Haikua na misingi imara wamekurupuka sasa hivi wanacheza mziki wa ugaidi wa Mbowe which I know atashinda kesi na by the time wanashinda hiyo kesi watashangilia ushindi, kitu ambacho CCM ndio wanataka kuprove kua everything in Tanzania ni okay including Justice System.

Sasa hao CHADEMA waendelee na kiki zao tu pasi na kua na strategies za kujumuisha Watanzania wote na CCM will provide them with a topic every now and then to buy time na kuwatoa kwenye reli.
Mkuu usimwage mchele kwenye kuku wengi.

Sometimes mijitu mijinga inaachwa na ujinga wao.
 
Back
Top Bottom