Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,273
- 13,567
Huyo jamaa ni TAGA maana alikuwa huko na amelelewa huko pia kwa sasa anaishi kwa mgongo wa mkewe.
Msipoteze muda kubishana naye.
Msipoteze muda kubishana naye.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fanyieni kazi maoni yake, kumnanga kuhusu aina yake binafsi ya maisha hakuna msaada wowote katika ku rescue the situation ambayo Chadema ipo kwa sasaNje ya siasa Ali Bananga ana shughuli gani inayomuingizia kipato? Anayoyasema siku hizi unaweza husiamini kama alikuwa kwenye timu ya kampeni ya Lissu! Uhalisia Bananga ana kinyongo kwasababu ya ubunge feki wa mkewe.
Yaan kati ya watu wasio na uwezo wa kufikiria mbali na wepesi wa kuambiwa kitu chochote na kuamini ni wewe. Kuwa mtu rationalUshauri aliotoa Binamu Bananga kwa CHADEMA kuhusu Mahojiano ya Rais Samia na BBC
Makamanda habari za jioni? Naamini wengi tumesikiliza mahojiano ya mama Samia na Kikeke, Nimeona Kaka yangu Lema ameandika Mahali kwamba Chama Kitakutana kumjibu, nimeshtuka kidogo, tunataka kujibu nini? Mimi naendelea kusisitiza tusikurupuke.
Najua mtasema natetea CCM kwasababau ya Ubunge wa Hawa, lakini mimi nashauri kwasababu ya mapenzi yangu kwa CHADEMA, Mama Samia kasema kuna Uhuru wa Habari, Baada ya Uchaguzi tujenge Nchi, Kesi ya Mbowe ilikuwepo lakini upelelezi haukuwa umekamilika, pengine ndio sababu ya Mwenyekiti kuwa nje.
Kati ya hayo aliyosema lipi la uongo? Kuna Vyombo vya Habari vilivyofungiwa Tanzania? Hapana. Wote humu tunajua kwamba ni kweli kesi ya Mbowe ilikuwepo, sio ya sasa, amesema uongo hapo? Hapana. Kuhusu hili la kujenga Nchi sisi CHADEMA ndio tunalichelewesha kwa migogoro isiyoisha. Sasa kama ukweli ni huu, tunataka kumjibu nini?
Imekuwa ni kawaida sana kwa Chama chetu kucheza ngoma ya CCM, Hivi kweli leo sisi CHADEMA ndio wakutaka Rais aingilie uhuru wa mahakama? Tatizo tulilolipigia kelele enzi za Mwendazake, tunataka lirudi tena, Tumehubiri Utawala wa Sheria na Uhuru wa Mahakama kwa miaka 6 halafu ndani ya miezi minne ya Samia tunataka kubadili gia angani kwa kushinikiza huyu Mama kuingilia Mahakama?
Maamuzi ya Mahakama hayapaswi kuingiliwa na Rais, Mama Samia kasema Issue ya Mwenyekiti ipo mahakamani, hawezi kuiingilia Mahakama, Kauli hiyo ina shida gani? Hatuoni kama kutaka aingilie Mahakama ni kutaka avunje Katiba? Kwanini tudai katiba Mpya kwa kuvunja Katiba ya Sasa? This is not right, I am sorry guys kama nitawakwaza lakini we really need to change our think tanks.
Sio kila kitu cha kujibu, tusijichoreshe, Chama kimestuck kama Tekno, hakuna kazi nyingine zinazoendelea, CHADEMA ni MSINGI hatujui hata Documents ziko wapi, Sera mbadala ishakuwa Zilipendwa, Mwenyekiti kuwa mahabusu siku 20 Chama kimeparalaizi kabisa, Hivi kweli Siku Mbowe akitoka CHADEMA, chama kitabaki hai?
Makamu Mwenyekiti Kaka yangu Lissu toka huko Ulipo, tunakuhitaji uwanjani, Maria Space na Clubhouse ni vijiwe vya story tu, havina maajabu, Lema anasema watu wasinywe bia, wasinywe maji ya kunywa, wasile hotelini, Yaani kweli huu ndio mkakati wa Chama kikuu cha upinzani? Kama tuko serious, Tusiwe na mipango unrealistic kama huu wa kaka yangu wa Canada.
Lema unasema hayo kutokea Canada, labda nikuulize, tukigomea maji huku Tanzania ili Serikali ikose pesa, Wewe na familia yako huko Canada mtagomea nini ili Serikali ya Tanzania ikose pesa? Au nyie mtaendelea kuishi kama kawaida wakati sisi tukiisoma namba kwa kugomea Dawasco huku? Bro kaa chini ufikirie tena wazo lako.
Narudia kushauri, tuachane na press za kila siku, Kama tunataka Mbowe atoke tukubali kwamba propaganda za Twita haziwezi kubadili kilichoandikwa kwenye Hati ya Mashtaka, tuna wanasheria wazuri, wasimame na Mwenyekiti, tuache sanaa.
Yangu ni hayo kwa leo, Samahani kwa watakaokwazika. Tusipoambiana ukweli Chama kitakufa.
Anaongea hoja lakiniMuuza madela huyu ni wakumpuuza tu
Kwamba uliyoyasema ni uongo??Huyu binamu nae atulie tu.
Hoja kwa hoja jamaniPlz tungemjua na huyo covid wake ingependeza. Japo huyo jamaa nikimwangalia tu usoni akili yake haipo sawa.
Yeye anajaribu kusaidia CDM kiwe kweli chama kikuu cha upinzani.Dah, tuna bahati mbaya kiumbe kama huyu kuwa associated na Chadema. Anatumia nafasi hiyo vibaya! Hopeless kabisa! Yaani analazimika kuwafurahisha CCM ili mke wake asinyanganywe tonge!
Hii sio mada ya hapa. Peleka kwenye uzi wake au kafungulie uzi wake huko tutakuja kujadili.Sina huhakika sana kama teuzi zimeisha.
Akina nani walishitakiwa na Mbowe na sasa wameisha hukumia? Pathetic!
Mkuu mbona maswali mengi yasiyo na msingi?? Unauliza maswali ambayo majibu yake unayajua???!!!!!Wewe mwenyewe huna Akili timamu unawezaje kujua asiye na Akili? Kipimo cha wewe kuwa na Akili ni kutukuza uonevu unyanyasaji uovu kwa wapinzani kisha utake wakae kimya?kuendekeza kuwabambikia kesi wapinzani ndiyo kuwa na Akili? Kukandamiza demokrasia ndiyo kuwa na Akili? Wapo wapi makaburu wapo wapi akina Bokasa chiluba Abacha Gadafi Sadam Hussein Elbashiri Iddy Amin dada magufuli? Kuna mabaya yasiyo na mwisho?
Kwahiyo kusema kweli ndio kosa ambalo inabidi mtu afukuzwe uanachama hapo CDM? Demokrasia gani mnayoitaka nyinyi???Chadema wanaendelea kumchekea huyu kiumbe sijui kwa nini?kama ni kweli kayasema haya nashauri afukuzwe haraka chamani.Kwanza mkewe ni msaliti tuanzie hapa ni wapialipata barua ya utambulisho wake?inamaana mikakati yote ya usaliti Bananga anaifahamu lakini kama alivyosema alichagua upande wa mke wake ilimradi mkono uende kinywani.Chadema muondoeni huyu MTU.

Mkuu, wahalafu inabidi waendelee kukamatwa tu. Na Bora wakamatwe maana hawa wanafanya matukio na kujificha kwenye mgongo wa Chadema.Amesema kweli "we need to change our think tanks?" Hizi lugha kweli zina wenyewe. Kwa mtu mwenye mapenzi na Chadema anashindwa hata kutoa tamko kuzungumzia wale ambao wamekuwa wakimatwa na kuwekwa ndani kila kukicha? Au anakaa kimya kwa sababu anaona wanatendewa haki?
Kitu kibaya zaidi kwake ni kuwa hakuna atakayekwazika kwa matamshi yake. Watu wameishamjua.
Amandla...
😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄CHADEMA toka waanze kampeni za Diamond na Burnaboy niliwavua nyota. Tofauti yao na wasanii wetu ni uwanja wa kufanyia kiki ila wote wanategemea kiki. Nipo Tengeru Arusha, kata ya Akheri njooni mniuwe.
Polisi wanafanya kazi zao kwa mujibu wa sheria.Nenda kawashauri CCM waache kutumia Polisiccm kukandamiza demokrasia kawambie CCM upinzani upo kwa mujibu wa katiba waache kuwabambikia kesi, waache kuwatumia Polisiccm kwenda kuwapekua majumbani mwao kwa njia haramu za kishetani
Mkuu usimwage mchele kwenye kuku wengi.Amen waendelee hivyo hivyo Katiba Movement now is gone. Haikua na misingi imara wamekurupuka sasa hivi wanacheza mziki wa ugaidi wa Mbowe which I know atashinda kesi na by the time wanashinda hiyo kesi watashangilia ushindi, kitu ambacho CCM ndio wanataka kuprove kua everything in Tanzania ni okay including Justice System.
Sasa hao CHADEMA waendelee na kiki zao tu pasi na kua na strategies za kujumuisha Watanzania wote na CCM will provide them with a topic every now and then to buy time na kuwatoa kwenye reli.