The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Umejibu hivi baada ya kujua ukweli wa ulichokiandika hakipo kawaida na sasa baada ya kugundua haikuwa kawaida umekuja kwa force kubwa kujitetea kujaribu kulinda heshima, hii kwa kizungu inaitwa saving face.Umri HUO nilikua na permanent girlfriend na nilikua namkula sana yaan ninaposema namkula sana namaanisha namkula sana
Sawa Mkuu naona unanichimbaUmejibu baada ya kujua ukweli wa ulichokiandika hakipo kawaida na sasa unajitetea kujaribu uonekane wa kawaida.
Uliandika mwanzoni miaka 22 bado ni mtoto, hii umetumia uzoefu wa maisha yako ukiwa na miaka 22 ulikuwa huna girffriend na uliona kawaida,
Nimekumiss mnoPoa mkuu
AsanteNimekumiss mno
Miaka 22 bado dogo sana kumhukumu. Kumbuka kila mtu ana plan zake za maisha.Ni mwaka jana huyu binamu yangu alianza degree alikuwa anaishi kwangu kwasababu ni karibu na chuo pia alikuwa mgeni kwenye mkoa.
wa hostel wlifosi kingi kuwatoa wenzao kwa masaa kadhaa (kuwapiga excile),
Ni kujiheshimu, na hana ulimbukeni wa Mali au pesa ndio ujiingize kwenye ngono!Ni mwaka jana huyu binamu yangu alianza degree alikuwa anaishi kwangu kwasababu ni karibu na chuo pia alikuwa mgeni kwenye mkoa.
e couple, wale wa hostel wlifosi kingi kuwatoa wenzao kwa masaa kadhaa (kuwapiga excile),
mkuu nenda straight π π π unazunguka mnoNimekumiss mno
Heri ya Jumamosi champ! πbinti kiziwi njoo usome
Nashukuru, Heri ya jumamosi na kwako pia. Hopefully you are doing better after such a long week.Heri ya Jumamosi champ! π