The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Sio kweli kwamba kila mwanaume anajua kutongoza, tumetofautiana pakubwa sana.
kuna mwanaume anaweza akongea na demu mpya leo akatumia gharaman ndogo na wakapatana leo leo, au akichelewa sana basi ndani ya wiki moja; wakati huo huo kuna wanaume wengine wanahangaika miezi au hata miaka 5 wkitumia gharama kubwa zaidi bila mafanikio wanapigwa kalenda. unakuta mtu...
Mbona tayari umesha anzisha Uzi wa kujijibu wewe mwenyewe hili swali uliloliuliza hapa!