Binamu yangu simuelewi elewi, hii imekaaje? ushauri wenu wakuu?

Nan kakwambia sn kaz usiwe na fikra has -
Watu wanakwambia tafuta kazi kutokana na maneno yako uliyoambiwa na huyo Binamu yako,

Hebu rudia kuyasoma hayo maneno hapa chini,

Juzi kasema niende Zenji nikakae kwake, atanitumia nauli. Nikampotezea tena, akapiga na kusisitiza tena kwamba atanitumia nauli. Kama vipi atanitafutia kazi nisikae bure.
 
SAWA
 
Binamu yangu simuelewi, eleweni hivi. Nakumbuka kabla hajaolewa tulikuwa na utani wa kawaida, ila sasa kaolewa Zenji. Juzi kanunua simu akaomba namba yangu, akanipigia akisema amenimiss.

BINAMU: Jamani nimekumiss mme wangu..?
MIMI: Hata mimi nimekumiss mke wangu..!

Lakini mimi sikuwa serious, nachukulia ni utani tu. Ila nashangaa ananipigia akilalamika kwa nini yeye ndiye anitafute tu, lakini mimi simtafuti. Mimi nampotezea tu.

Bado sijamjibu, nimemwambia nitamjibu.

Je, niende au natafuta balaa?
Mchango wenu wakuu, karibuni.
Nipe namba yake nimshauri
 
Mfowadie matani yenu mume wake kama kweli hujui kama kuna balaa.
 
Yani huyu dogo ni wa kutembezewa kichapo kitakatifu! looks like kuna nut haijakaa mkao!
 
  • Kicheko
Reactions: Tsh
Binamu mnaitana mke wangu mume wangu. Ukoo wenu hauna adabu.
 
Binamu yangu simuelewi, eleweni hivi. Nakumbuka kabla hajaolewa tulikuwa na utani wa kawaida, ila sasa kaolewa Zenji. Juzi kanunua simu akaomba namba yangu, akanipigia akisema amenimiss.

BINAMU: Jamani nimekumiss mme wangu..?
MIMI: Hata mimi nimekumiss mke wangu..!

Lakini mimi sikuwa serious, nachukulia ni utani tu. Ila nashangaa ananipigia akilalamika kwa nini yeye ndiye anitafute tu, lakini mimi simtafuti. Mimi nampotezea tu.

Juzi kasema niende Zenji nikakae kwake, atanitumia nauli. Nikampotezea tena, akapiga na kusisitiza tena kwamba atanitumia nauli. Kama vipi atanitafutia kazi nisikae bure.

Bado sijamjibu, nimemwambia nitamjibu.

Je, niende au natafuta balaa?
Mchango wenu wakuu, karibuni.
Screenshot_20260621_104401_Google.jpg
 
Back
Top Bottom