Binamu yangu simuelewi elewi, hii imekaaje? ushauri wenu wakuu?

Binamu yangu simuelewi elewi, hii imekaaje? ushauri wenu wakuu?

Anza "Kunoga" kiazi wewe!
Kwani hatujufundishana hili kwenye semina!?
 
Binamu yangu simuelewi, eleweni hivi. Nakumbuka kabla hajaolewa tulikuwa na utani wa kawaida, ila sasa kaolewa Zenji. Juzi kanunua simu akaomba namba yangu, akanipigia akisema amenimiss.

BINAMU: Jamani nimekumiss mme wangu..?
MIMI: Hata mimi nimekumiss mke wangu..!

Lakini mimi sikuwa serious, nachukulia ni utani tu. Ila nashangaa ananipigia akilalamika kwa nini yeye ndiye anitafute tu, lakini mimi simtafuti. Mimi nampotezea tu.

Juzi kasema niende Zenji nikakae kwake, atanitumia nauli. Nikampotezea tena, akapiga na kusisitiza tena kwamba atanitumia nauli. Kama vipi atanitafutia kazi nisikae bure.

Bado sijamjibu, nimemwambia nitamjibu.

Je, niende au natafuta balaa?
Mchango wenu wakuu, karibuni.
Una tafuta balaa.
 
Ushatafutiwa bwana huko zenji hapo unatafutiwa formation za beki zako ziache kukaba huku kipa anapelekwa kushambulia kona.....

Kinachofuata usije sema wabara wenzako hatujakushauri unaenda hatarisha toa pupu lako....

All the best...
 
Back
Top Bottom