Bingwa wa 'software' anahitajika

Bingwa wa 'software' anahitajika

Lakini kuna vyuo vinatoa fani ya 'software development'; sasa hawa wahitimu wako wapi?
siyo software izo mkuu,

andiko lako nikajua unatafuta animator (ambao kupata proficient ones bongo ni mbinde labda kwa mbaali wa 2D ) , kumbe unatafuta animation software designer/developer ( hapa sahau )
 
Walikuwa busy sana na masuala ya Graphics mkuu.....
Nna jama zangu tulipiga nao Olevel ( zaidi ya watano ) walienda kusoma hayo madude......
Ila wakawa busy na kuedit Picha Adobe, saiv sijui wanaissue gani...
Graphics wako wengi; kwa anayetaka kufanikiwa zaidi, inabidi afanye 'documentary'
 
Lipi hasa lengo la wewe kutaka mtu akutengenezee software from scratch wakati unaweza nunua au tumia bure zilizopo mpaka sasa

Halafu mbona kama wewe uko mweupe sana kichwani kwenye issue za software na hata animation

Umeshindwa hata kueleza hiyo software itatumika kwenye OS ipi
 
Lipi hasa lengo la wewe kutaka mtu akutengenezee software from scratch wakati unaweza nunua au tumia bure zilizopo mpaka sasa

Halafu mbona kama wewe uko mweupe sana kichwani kwenye issue za software na hata animation
Nina mtaji; nahitaji kumiliki biashara
 
Habari wakuu?

Nahitaji mtu anayeweza kutengeneza software ya 'animation', yaani ya kutengeneza 'video' za katuni.

Hiyo 'programme' iwe na angalau sifa hizi:-​
  • Iwe ni rahisi kutumia​
  • Iweze kutumia lugha mbili kiingereza/kiswahili​
  • Iweze kutengeneza 'character' wa aina yoyote​
  • 'Back ground' iwe inabadilishika, iendane na mtumiaji​
  • Isiwe na mavitu mengi ya kuchanganya​
  • Pia, uwe tayari kutoa mafunzo kwa watumiaji​
Kwa wale watundu wa mambo ya 'software' kazi kwenu; dau langu ni milioni mbili, iko mfuko wa shati.

Tupige kazi.​
Bro nilijua uko fresh kichwani, lakini nashangaa sana kuona tofauti na nilivyofikiri.

Tufunge mjadala kwa kusema hakuna mtu anayetaka software Kama hiyo akaandika thread jamiiforums.

Tukiachilia mbali mapungufu ya budget yako.

Fanya biashara nyingine .

Samahani kama nimekuufhi
 
Hujaniuthi; ila mpaka sasa hivi umefanya project ngapi, tuwekee tuzione kwanza
 
Back
Top Bottom