John Gregory
JF-Expert Member
- Jul 14, 2019
- 1,137
- 2,147
Acha upuuzi hizo project hutangazwa kwa tender sio individual na inacost billions of moneyMpaka sasa hivi umefanya project ipi, inayoendana na kazi tajwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha upuuzi hizo project hutangazwa kwa tender sio individual na inacost billions of moneyMpaka sasa hivi umefanya project ipi, inayoendana na kazi tajwa?
Inawezekana kupitia kazi hii ndogo; ikamuwezesha kwenda kuishi huko duniani. Inaweza kutumika kama 'platform' ya kuonyesha ujuzi wake, na watu mbalimbali huko duniani wakamuhitaji.Sio developers wa bongo ila ni pesa ndogo sana kwa developer yoyote dunia nzima.
Hiyo siyo kazi ya kitoto kama kutengeneza kiwebsite. Ona tu dau walilitoa adobe kuinunua figma wakati hata sio platform ya animation
Hakuna waliofika bei mkuuu so hakuna hiyo project 🤣🤣🤣Mpaka sasa hivi umefanya project ipi, inayoendana na kazi tajwa?
Maneno mengi sana, wakati tunahitaji kazi; 'debe tupu haliachi kutika'Acha upuuzi hizo project hutangazwa kwa tender sio individual na inacost billions of money
Naleta mkuuuLeta portfolio hapa tukupe kazi, me mwenyewe nina project zangu kibao nimeishia kuliwa hela za prototypes😅
Bado mjuzi kupatikanaHakuna waliofika bei mkuuu so hakuna hiyo project 🤣🤣🤣
Kazi kwanza, hela zitakuja tuHata ukipata hao watu utaweza kuwalipa? Hiyo ni project ya mabilioni
Sio kazi ndogo kama unavyosema mkuu. Kutengeneza software ya animation ni kazi kubwa mno. Hebu fikiria kama kutengeneza tu kipande cha animation zile advanced hata dakika inaweza kumchukua mtu hata week, je software yake.Inawezekana kupitia kazi hii ndogo; ikamuwezesha kwenda kuishi huko duniani. Inaweza kutumika kama 'platform' ya kuonyesha ujuzi wake, na watu mbalimbali huko duniani wakamuhitaji.
🤔🤔🤔Habari wakuu?
Nahitaji mtu anayeweza kutengeneza software ya 'animation', yaani ya kutengeneza 'video' za katuni.
Hiyo 'programme' iwe na angalau sifa hizi:-
Iwe ni rahisi kutumia Iweze kutumia lugha mbili kiingereza/kiswahili Iweze kutengeneza 'character' wa aina yoyote 'Back ground' iwe inabadilishika, iendane na mtumiaji Isiwe na mavitu mengi ya kuchanganya Pia, uwe tayari kutoa mafunzo kwa watumiajiKwa wale watundu wa mambo ya 'software' kazi kwenu; dau langu ni milioni mbili, iko mfuko wa shati.
Tupige kazi.
Najua kuna ugumu; ila kwa wale ambao wanazunguka na bahasha kutafuta kazi, wanaweza kutumia muda wanaoupoteza, kutengeneza hiki kitu, ikawa ni sehemu ya wao kuonyesha uwezo walionao.Sio kazi ndogo kama unavyosema mkuu. Kutengeneza software ya animation ni kazi kubwa mno. Hebu fikiria kama kutengeneza tu kipande cha animation zile advanced hata dakika inaweza kumchukua mtu hata week, je software yake.
Maana humo kuna physics na mahesabu ya hali ya juu. Ni kitu ambacho hata developer mwenyewe kitamchukua muda mrefu hata zaidi ya mwaka akiwa mmoja. Hiyo pesa ndi ndogo.
Unawafahamu smart codes,
Kuna mfumo wamemtengenezea jamaa yangu lakini mpaka unakamika umewachukua zaidi ya miezi miwili na ni mfumo ambao ni wakawaida unahusiana na mambo ya kuhandle data
Unataka milioni 20 ya nini?Ukifika milioni 200 nishtue.
Mimi nadhani hakuna mtu ambaye anazunguka na bahasha anayeweza kutengeneza hicho kitu.Najua kuna ugumu; ila kwa wale ambao wanazunguka na bahasha kutafuta kazi, wanaweza kutumia muda wanaoupoteza, kutengeneza hiki kitu, ikawa ni sehemu ya wao kuonyesha uwezo walionao.
Ni kweli, kwa mtu ambaye yuko vizuri kiutendaji katika hii 'field' wengi wako bize; ingawa ili wafanikiwe zaidi, wanatakiwa wawe 'managed' na watu wanaoona fursa.Mimi nadhani hakuna mtu ambaye anazunguka na bahasha anayeweza kutengeneza hicho kitu.
Nimegundua katima ulimwengu wa developers hakuna mtu ambaye ni competent kweli anayeweza kuwa na njaa hata asipoajiriwa.
Nimekuelewa hata mtoa mada hapo juu nimemwambia kwamba budget ni ndogo lakini iko ivi kitu kikishwa fanywa fuction zake zipo wazi, algorithm yake inajulikana hata kama sio open source basi mtu yoyote anaweza kuirudia kwa wepesi kuliko alieanzisha. Sasa unafikiri adobe kutengeneza figma hawawezi au facebook walishindwa ku develop kitu kama whatsapp??? Wanachonunua ni biashara sio code kaka!Sio developers wa bongo ila ni pesa ndogo sana kwa developer yoyote dunia nzima.
Hiyo siyo kazi ya kitoto kama kutengeneza kiwebsite. Ona tu dau walilitoa adobe kuinunua figma wakati hata sio platform ya animation
Nasubiri...Naleta mkuuu
Soma vizuri, nataka 200m kama unataka tufanye hiyo kazi.Unataka milioni 20 ya nini?
Kazi ulizozifanya mpaka sasa hivi, ni zipi? Weka hapa jukwaani uweze kupata fursa zaidiSoma vizuri, nataka 200m kama unataka tufanye hiyo kazi.
software ya 'animation',