Bingwa wa 'software' anahitajika

Bingwa wa 'software' anahitajika

Sio developers wa bongo ila ni pesa ndogo sana kwa developer yoyote dunia nzima.
Hiyo siyo kazi ya kitoto kama kutengeneza kiwebsite. Ona tu dau walilitoa adobe kuinunua figma wakati hata sio platform ya animation
Inawezekana kupitia kazi hii ndogo; ikamuwezesha kwenda kuishi huko duniani. Inaweza kutumika kama 'platform' ya kuonyesha ujuzi wake, na watu mbalimbali huko duniani wakamuhitaji.
 
Una milioni 20 bei fair kabisa nikuunganishe na mwanangu yupo vizuri kwa hizo kazi
 
Inawezekana kupitia kazi hii ndogo; ikamuwezesha kwenda kuishi huko duniani. Inaweza kutumika kama 'platform' ya kuonyesha ujuzi wake, na watu mbalimbali huko duniani wakamuhitaji.
Sio kazi ndogo kama unavyosema mkuu. Kutengeneza software ya animation ni kazi kubwa mno. Hebu fikiria kama kutengeneza tu kipande cha animation zile advanced hata dakika inaweza kumchukua mtu hata week, je software yake.
Maana humo kuna physics na mahesabu ya hali ya juu. Ni kitu ambacho hata developer mwenyewe kitamchukua muda mrefu hata zaidi ya mwaka akiwa mmoja. Hiyo pesa ndi ndogo.
Unawafahamu smart codes,
Kuna mfumo wamemtengenezea jamaa yangu lakini mpaka unakamika umewachukua zaidi ya miezi miwili na ni mfumo ambao ni wakawaida unahusiana na mambo ya kuhandle data
 
Habari wakuu?

Nahitaji mtu anayeweza kutengeneza software ya 'animation', yaani ya kutengeneza 'video' za katuni.

Hiyo 'programme' iwe na angalau sifa hizi:-​
  • Iwe ni rahisi kutumia​
  • Iweze kutumia lugha mbili kiingereza/kiswahili​
  • Iweze kutengeneza 'character' wa aina yoyote​
  • 'Back ground' iwe inabadilishika, iendane na mtumiaji​
  • Isiwe na mavitu mengi ya kuchanganya​
  • Pia, uwe tayari kutoa mafunzo kwa watumiaji​
Kwa wale watundu wa mambo ya 'software' kazi kwenu; dau langu ni milioni mbili, iko mfuko wa shati.

Tupige kazi.​
🤔🤔🤔
 
Sio kazi ndogo kama unavyosema mkuu. Kutengeneza software ya animation ni kazi kubwa mno. Hebu fikiria kama kutengeneza tu kipande cha animation zile advanced hata dakika inaweza kumchukua mtu hata week, je software yake.
Maana humo kuna physics na mahesabu ya hali ya juu. Ni kitu ambacho hata developer mwenyewe kitamchukua muda mrefu hata zaidi ya mwaka akiwa mmoja. Hiyo pesa ndi ndogo.
Unawafahamu smart codes,
Kuna mfumo wamemtengenezea jamaa yangu lakini mpaka unakamika umewachukua zaidi ya miezi miwili na ni mfumo ambao ni wakawaida unahusiana na mambo ya kuhandle data
Najua kuna ugumu; ila kwa wale ambao wanazunguka na bahasha kutafuta kazi, wanaweza kutumia muda wanaoupoteza, kutengeneza hiki kitu, ikawa ni sehemu ya wao kuonyesha uwezo walionao.
 
Mimi nadhani hakuna mtu ambaye anazunguka na bahasha anayeweza kutengeneza hicho kitu.
Nimegundua katima ulimwengu wa developers hakuna mtu ambaye ni competent kweli anayeweza kuwa na njaa hata asipoajiriwa.
 
Ni kweli, kwa mtu ambaye yuko vizuri kiutendaji katika hii 'field' wengi wako bize; ingawa ili wafanikiwe zaidi, wanatakiwa wawe 'managed' na watu wanaoona fursa.
 
Sio developers wa bongo ila ni pesa ndogo sana kwa developer yoyote dunia nzima.
Hiyo siyo kazi ya kitoto kama kutengeneza kiwebsite. Ona tu dau walilitoa adobe kuinunua figma wakati hata sio platform ya animation
Nimekuelewa hata mtoa mada hapo juu nimemwambia kwamba budget ni ndogo lakini iko ivi kitu kikishwa fanywa fuction zake zipo wazi, algorithm yake inajulikana hata kama sio open source basi mtu yoyote anaweza kuirudia kwa wepesi kuliko alieanzisha. Sasa unafikiri adobe kutengeneza figma hawawezi au facebook walishindwa ku develop kitu kama whatsapp??? Wanachonunua ni biashara sio code kaka!
 
Back
Top Bottom