Cybergates
JF-Expert Member
- Dec 2, 2016
- 697
- 1,474
Habari wakuu?
Nahitaji mtu anayeweza kutengeneza software ya 'animation', yaani ya kutengeneza 'video' za katuni.
Hiyo 'programme' iwe na angalau sifa hizi:-
Iwe ni rahisi kutumia Iweze kutumia lugha mbili kiingereza/kiswahili Iweze kutengeneza 'character' wa aina yoyote 'Back ground' iwe inabadilishika, iendane na mtumiaji Isiwe na mavitu mengi ya kuchanganya Pia, uwe tayari kutoa mafunzo kwa watumiajiKwa wale watundu wa mambo ya 'software' kazi kwenu; dau langu ni milioni mbili, iko mfuko wa shati.
Tupige kazi.
Ya video za 2D au 3D? Hii system ni kubwa mnoo millioni 2 ni budget ndogo sana, na kwa ninavowajua developers wa bongo wakiweza niite mbwa nimekaa palee!!😅 Sio kama hawajui ila uvivu na wanahitaji usimamizi wa hali ya juu.
Ila Developers wabongo kuna mahala wanakwama.......
Field kibao naliona Gap lao ( kama huku Kwenye Survey & Engineering ) wana nafasi kubwa sana.....
Toeni hata Copy za Autocad addins basi wakuu, kama Autocad ni gharama ( hapa mtaeleweka)
Addins kibao tunanua kwa bei kubwa ila najua wabongo mnaweza tengeneza.
Kama hampati mawazo mnitafute mie niwape basi.
Sio kazi ndogo kama unavyosema mkuu. Kutengeneza software ya animation ni kazi kubwa mno. Hebu fikiria kama kutengeneza tu kipande cha animation zile advanced hata dakika inaweza kumchukua mtu hata week, je software yake.
Maana humo kuna physics na mahesabu ya hali ya juu. Ni kitu ambacho hata developer mwenyewe kitamchukua muda mrefu hata zaidi ya mwaka akiwa mmoja. Hiyo pesa ndi ndogo.
Unawafahamu smart codes,
Kuna mfumo wamemtengenezea jamaa yangu lakini mpaka unakamika umewachukua zaidi ya miezi miwili na ni mfumo ambao ni wakawaida unahusiana na mambo ya kuhandle data
Hii thread nimechelewa kuiona. Nimepisha na gari la mshahara.
In fact ipo hivi. Project ni kubwa sana pia ni complex. Kwa bajet ya 2M ni ndogo kuanza ku code from scratch. Pia itakia challenge kwa mtu/developer mmoja.
Tatizo kubwa lililopo ni kwamba developer wengi wa Tanzania hawa think (sijiu kwa kiswahili inaandikwaje) nje ya box. Hii project ingekua mm ninge i accept alafu naenda github na clone open source na edit kama Equation x anavyo taka sijui logo Primary & Secondary color etc. Na compres namtumia yani hii kazi ilikua hata hauumizi kichwa unachota 2M mapema asubuhi.
Baadhi ya sample.
GitHub - opentoonz/opentoonz: OpenToonz - An open-source full-featured 2D animation creation software
OpenToonz - An open-source full-featured 2D animation creation software - opentoonz/opentoonz
GitHub - MaurycyLiebner/enve: Flexible, user expandable 2D animation software for Linux and Windows.
Flexible, user expandable 2D animation software for Linux and Windows. - MaurycyLiebner/enve
Developer acheni malalamiki changamkieni hiyo fursa. Nisha wapa highlight