Bingwa wa 'software' anahitajika

Bingwa wa 'software' anahitajika

Habari wakuu?

Nahitaji mtu anayeweza kutengeneza software ya 'animation', yaani ya kutengeneza 'video' za katuni.

Hiyo 'programme' iwe na angalau sifa hizi:-​
  • Iwe ni rahisi kutumia​
  • Iweze kutumia lugha mbili kiingereza/kiswahili​
  • Iweze kutengeneza 'character' wa aina yoyote​
  • 'Back ground' iwe inabadilishika, iendane na mtumiaji​
  • Isiwe na mavitu mengi ya kuchanganya​
  • Pia, uwe tayari kutoa mafunzo kwa watumiaji​
Kwa wale watundu wa mambo ya 'software' kazi kwenu; dau langu ni milioni mbili, iko mfuko wa shati.

Tupige kazi.​

Ya video za 2D au 3D? Hii system ni kubwa mnoo millioni 2 ni budget ndogo sana, na kwa ninavowajua developers wa bongo wakiweza niite mbwa nimekaa palee!!😅 Sio kama hawajui ila uvivu na wanahitaji usimamizi wa hali ya juu.

Ila Developers wabongo kuna mahala wanakwama.......
Field kibao naliona Gap lao ( kama huku Kwenye Survey & Engineering ) wana nafasi kubwa sana.....
Toeni hata Copy za Autocad addins basi wakuu, kama Autocad ni gharama ( hapa mtaeleweka)
Addins kibao tunanua kwa bei kubwa ila najua wabongo mnaweza tengeneza.

Kama hampati mawazo mnitafute mie niwape basi.

Sio kazi ndogo kama unavyosema mkuu. Kutengeneza software ya animation ni kazi kubwa mno. Hebu fikiria kama kutengeneza tu kipande cha animation zile advanced hata dakika inaweza kumchukua mtu hata week, je software yake.
Maana humo kuna physics na mahesabu ya hali ya juu. Ni kitu ambacho hata developer mwenyewe kitamchukua muda mrefu hata zaidi ya mwaka akiwa mmoja. Hiyo pesa ndi ndogo.
Unawafahamu smart codes,
Kuna mfumo wamemtengenezea jamaa yangu lakini mpaka unakamika umewachukua zaidi ya miezi miwili na ni mfumo ambao ni wakawaida unahusiana na mambo ya kuhandle data

Hii thread nimechelewa kuiona. Nimepisha na gari la mshahara.

In fact ipo hivi. Project ni kubwa sana pia ni complex. Kwa bajet ya 2M ni ndogo kuanza ku code from scratch. Pia itakia challenge kwa mtu/developer mmoja.

Tatizo kubwa lililopo ni kwamba developer wengi wa Tanzania hawa think (sijiu kwa kiswahili inaandikwaje) nje ya box. Hii project ingekua mm ninge i accept alafu naenda github na clone open source na edit kama Equation x anavyo taka sijui logo Primary & Secondary color etc. Na compres namtumia yani hii kazi ilikua hata hauumizi kichwa unachota 2M mapema asubuhi.

Baadhi ya sample.

Developer acheni malalamiki changamkieni hiyo fursa. Nisha wapa highlight
 
Lengo ni kurahisisha kazi; tukiruhusu kila kitu kiwe kigumu hakuna kazi itakayofanyika. Ni sawa na mwingine atumie gari kwenda Mwanza, na mwingine atumie ndege; mwisho wa siku wote wamefika Mwanza.
Wewe jamaa mweupe Sana, Adobe PS rahisi kutumia je unafikiri Founder hawapendi iwe rahisi je Excel rahisi ugumu wake ndio unafanya ufanye kazi zaidi ya 1000
 
Wewe jamaa mweupe Sana, Adobe PS rahisi kutumia je unafikiri Founder hawapendi iwe rahisi je Excel rahisi ugumu wake ndio unafanya ufanye kazi zaidi ya 1000
Tatizo madebe matupu, yanapiga makelele tu; weka kazi tuone. Hapa ni kazi kazi
 
Tatizo madebe matupu, yanapiga makelele tu; weka kazi tuone. Hapa ni kazi kazi
Kabla ya kuingia kwenye Niche fulani jifunze hata mambo machache kwenye hiyo Niche sio lazima ujue Coding ila ufahamu how it work wewe kitu Complex kama Lander iwe Simple uko serious au unataka utengeneze Kinemaster

Kingine hiyo kazi ni ya zaidi ya Billions za pesa na sio project ya kuitangaza humu na haifanywi na mtu mmoja na hakuna anayeweza kuifanya hapa TZ
 
Nakubaliana na hoja yako kuhusu wataalamu; sasa huko vyuoni 'software development' huwa inahusu nini?
 
Acheni kudanganya watu, hiyo system, MTU mmoja atengenezi,
Group of people, na itachukua si chini ya miaka 2, kukamilika.kwa hapa TZ hiyo project itakuwa NI kichekesho.
Nakushauri ingia site kam domestica , udemy,skills, utalipia Kwa mwezi, ujifunze animations
Fanya 5.5M.
 
Nimejaribu kuzipitia, naona zina ugumu; zina vitu vingi vinavyoumiza kichwa.
Ukiwa na NIa mungu atakuongoza.
Mimi nilijifunza YouTube tutorials za animations, mpaka sasa , Niko level nzuri Tu,
Kilicho Baki kwangu NI kununua desktop computer yenye uwezo mkubwa wa render animation Kwa muda mfupi.
Maana animation kwenye upande wa kurender NI issue nyingine kabisa
 
Acheni kudanganya watu, hiyo system, MTU mmoja atengenezi,
Group of people, na itachukua si chini ya miaka 2, kukamilika.kwa hapa TZ hiyo project itakuwa NI kichekesho.
Nakushauri ingia site kam domestica , udemy,skills, utalipia Kwa mwezi, ujifunze animations
Kuna mtu kasema mtu mmoja atatengeneza??
 
Habari wakuu?

Nahitaji mtu anayeweza kutengeneza software ya 'animation', yaani ya kutengeneza 'video' za katuni.

Hiyo 'programme' iwe na angalau sifa hizi:-​
  • Iwe ni rahisi kutumia​
  • Iweze kutumia lugha mbili kiingereza/kiswahili​
  • Iweze kutengeneza 'character' wa aina yoyote​
  • 'Back ground' iwe inabadilishika, iendane na mtumiaji​
  • Isiwe na mavitu mengi ya kuchanganya​
  • Pia, uwe tayari kutoa mafunzo kwa watumiaji​
Kwa wale watundu wa mambo ya 'software' kazi kwenu; dau langu ni milioni mbili, iko mfuko wa shati.

Tupige kazi.​

Check me through 0742009965 or 0717959904
 
Niliyo jifunza kwenye ulimwengu wa 3D animations.

Zipo softwares za free na commercial softwares.
Commercial softwares mfano Autodesk Maya, 3ds, cinema 4D,

Free software mfano blender.

Autodesk Maya ni software inayoweza fanya Kila kitu kuhusu animations VFX.
Ina uwezo WA Ku handle big project
NI complex, ina bidi utulie ili uweze kufanikiwa . Kuna site za kujifunzia ambapo utakuwa unalipia Kwa Kila episodes zilizoko kwenye stage fulani.
Itapendeza Kama utakuwa na desktop computer yenye uwezo mkubwa mfano i7 gen 9 ram 16 graphics card GB16 and above, monitor resolutions inch 22> .
Pia YouTube tutorials zipo baadhi za kuanzia.

Mfano wa hizo site za kujifunzia NI skills share, domestica, udemy , ukifanya vizuri wanakupatia certificate zao ambazo NI verify worldwide.

Kuna cracks zake Kwa ajili ya Ku unlock features, plugins and other utilities.
Bila kuzi crack inakuwa vigumu kulipia kitu ambacho haijaanza kukupa faida.

Mfano wa project zilizofanywa na Autodesk Maya ni Moana, Coco, zipo nyingi unaweza fatilia YouTube.

Blender NI free software ambayo nayo inao uwezo WA kufanya kila kitu kuhusu 3d animations, VFX
NI nyepesi kuitumia NI nodes based application.
Ndio software yenye tutorials nyingi YouTube kuliko softwares zote za 3d animation.

Hii software ya blender kupitia tutorials zilizoko YouTube unaweza ukajifunza 3D animation na ukapata mafanikio makubwa sana
Ila unaweza jifunzia kwenye site yao ambapo NI Dola 9 Kwa mwezi Kwa Kila stages, na ukifanya vizur unapewa certificate Yao.
Pia hii software inao uwezo WA kufanya VFX artwork vizuri Tu .
Pia ina plugins za free na za kulipia ,.
Plugins NI scripts zilizo generated Ku preform specific tasks.
Unapo Zi install huwa zina libraries.
Mfano plugin ya uoto asili ina libraries za models mfano nyasi, miti, magogo, Maua, ambazo hizo models zina high quality , Kwa hiyo zinaleta tija kwenye muonekano wako WA animation, na zina save time ya kuzimodel, ambapo hata Kama ungesema Uzi model usingeweza kutoa models zenye quality nzuri.

Motions capture technology.

Mfano wa hizi technology NI rokoko hii NI company iko USA.
Wana design suite (nguo maalumu) Kwa ajili ya Ku capture motions,
NI muhimu Sana Kwa sababu ina save time,na ina kupa accurate results za motions kwenye animations zako .
Iko compatible na Autodesk Maya, blender, 3ds cinema 4D, etc.
Bei NI 349$ ,miliion 10 kasoro za ki Tanzania.
Hapo hakuna Tozo,tax , transport fees,

Pia unapo Deal na animations unajikuta automatically unajifunza softwares mbalimbali mfano Adobe after effects hii naitumiaga Kwa ajili ya composition and colour grading, correction etc,

Nuke pia hua naitumia Kwa ajili ya composition,.

Davinci resolve huwa naitumia pia kwaajili ya colour manipulation.

Marvel design hii huwa naitumia Kwa clothes design ya characters.
Ze brush naitumia japo bado naendelea kujifunzia hii ni Kwa ajili ya scripture, ku modeling every thing you want

Jabo Autodesk Maya na blender inafanya vitu vyote hivi .
kadri unavyo zidi kujifunza 3d animations, ndipo unapoamua Ku base kwenye fani IPI mfano unaweza kuwa specialize kwenye VFX artwork, characters modeling, etc.
Huwezi kuwa mtaalum wa VFX bila kujua 3d animations fundamentals

Mambo NI mengi wadau japo ukijipangilia vizuri, mungu 🙏 atakusaidia kwenye malengo Yako

Wenu kwenye ujenzi wa Taifa changa.
 
Wataalamu wa Autodesk ivi hp ProBook ,core i5,4gb ,500hdd,processor 2.3ghz window 10 pro
Naweza pata AutoCAD ya mwaka gani ikarun vizuri kweny hii PC ?! Natanguliza shukrani
 
Wataalamu wa Autodesk ivi hp ProBook ,core i5,4gb ,500hdd,processor 2.3ghz window 10 pro
Naweza pata AutoCAD ya mwaka gani ikarun vizuri kweny hii PC ?! Natanguliza shukrani
Autodesk itafanya kazi , Ila NI Kwa project ndogo ndogo Tu,
Inakubidi uwe na workstation, ambayo itakuwezesha kufanya project kubwa Kwa muda mrefu, pia itapendeza Kama ukawa na ups(uninterrupted power supply) , ili kuzia suddenly power cuts, na kusimamisha process za project.
Na kitaalamu sio kitu kizuri, pc desktop computer, kuzimika ghafla mara Kwa mara
 
Wataalamu wa Autodesk ivi hp ProBook ,core i5,4gb ,500hdd,processor 2.3ghz window 10 pro
Naweza pata AutoCAD ya mwaka gani ikarun vizuri kweny hii PC ?! Natanguliza shukrani
ATA Autodesk ya mwaka huu , ita fanya kaz
 
Autodesk itafanya kazi , Ila NI Kwa project ndogo ndogo Tu,
Inakubidi uwe na workstation, ambayo itakuwezesha kufanya project kubwa Kwa muda mrefu, pia itapendeza Kama ukawa na ups(uninterrupted power supply) , ili kuzia suddenly power cuts, na kusimamisha process za project.
Na kitaalamu sio kitu kizuri, pc desktop computer, kuzimika ghafla mara Kwa mara
Sawa sawa nmekuelewa ngoja nikajaribu kwa wadau ntaleta mrejesho soon
 
Na mfano ya 2017 na 2021 znapishana kweny sifa zipi?
muonekano mzuri, new improvement, new features. Inakuwa nzito zaidi Ku loading, hii NI kutokana na pc unayo tumia Kama ikiwa na uwezo mdogo
 
Back
Top Bottom