Binti akifikia hatua hii, omba Mungu

Binti akifikia hatua hii, omba Mungu

Eeeeeh hatar kaka....ishu ni mim ntaonekana kituko home kaka

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo mwanamke anaenda kuolewa na ww ama na familia yako nzima?
Siwez sema kuwa anakufaa ama hakufai ila naweza kusema hapo usipende kuangalia nn watu wako wa karibu watasema au watakuchukuliaje, daima tembea huku ukisema "naenda kuanzisha familia yangu" angalia mtu atakae kufaa/kukuvutia kuanzisha nae hio familia sio atakae wavutia watu wa nje wa familia yako unayoitaji kuanzisha.
 
😂😂mkuu unachekesha badala ya kwenda kutafuta mtoto mbichi mwenye kujua maana ya mke uweke ndani eti wewe unataka umuoe master fegi mtu kachakaa kwa mistarehe yake ya ujanani halafu sahivi anataka akubebeshe mizigo wewe
Halafu kingine kwa kauli za huyo demu ana imani za kishirikina yani ishara tosha uyo demu ni hatari kwa maisha yako na ukiendelea hata kukaa naye kiurafiki umekwisha biblia yenyewe imesema usimuache mwanamke mchawi hai

Usije jidanganya eti kabadilika au atabadilika huyo anaonekana anataka status ya kuwa mke tu baada ya hapo ndio utajua hujui .mkuu wanawake wazuri kwa ajili ya kujenga familia wapo achana kuchukua mizigo isiyo yako
 
MUNGU hajakukataza kutomb*****na. Yeye ndiye aliyekuumba na kukuwekea mfumo mzima wa uzazi. Yeye ndiye aliyeumba mapenzi.

Ingawa Yeye ndiye aliyeumba mapenzi, lakini ameweka utaratibu maalumu unao kuruhusu wewe kushiriki mapenzi na kuyafurahia. Utaratibu huo ni ndoa.

Unaruhusiwa kushiriki mapenzi na kufurahia raha na utamu wote wa mapenzi ukiwa tu ndani ya ndoa. Yaani tendo la ndoa liwe kati ya Mume na Mke tu basi.

Sasa ikiwa wewe unashiriki mapenzi nje ya utaratibu uliowekwa na MUUMBA wako unatenda makosa na Yeye MUNGU atakuhukumu kwa kosa la kuvunja utaratibu aliokuwekea.

Kwenda kinyume na maagizo au taratibu alizoziweka MUNGU, ni kitendo cha dharau na ukaidi.

Jiulize swali :
Ikiwa watoto wako watakudharau na kukaidi maagizo yako wewe ukiwa baba utafurahi?

Au ukiwa wewe ni Bossi hapo ofisini kwako halafu mfanyakazi wa chini yako akakudharau na kukaidi maagizo yako, Je, utafurahi????
Mkuu kwani huoni unatenda dhambi kwa kumbashiria mtu dhambi ambayo hajatenda au una uhakika kuwa kijana wetu humgegeda binti.
 
MUNGU hajakukataza kutomb*****na. Yeye ndiye aliyekuumba na kukuwekea mfumo mzima wa uzazi. Yeye ndiye aliyeumba mapenzi.

Ingawa Yeye ndiye aliyeumba mapenzi, lakini ameweka utaratibu maalumu unao kuruhusu wewe kushiriki mapenzi na kuyafurahia. Utaratibu huo ni ndoa.

Unaruhusiwa kushiriki mapenzi na kufurahia raha na utamu wote wa mapenzi ukiwa tu ndani ya ndoa. Yaani tendo la ndoa liwe kati ya Mume na Mke tu basi.

Sasa ikiwa wewe unashiriki mapenzi nje ya utaratibu uliowekwa na MUUMBA wako unatenda makosa na Yeye MUNGU atakuhukumu kwa kosa la kuvunja utaratibu aliokuwekea.

Kwenda kinyume na maagizo au taratibu alizoziweka MUNGU, ni kitendo cha dharau na ukaidi.

Jiulize swali :
Ikiwa watoto wako watakudharau na kukaidi maagizo yako wewe ukiwa baba utafurahi?

Au ukiwa wewe ni Bossi hapo ofisini kwako halafu mfanyakazi wa chini yako akakudharau na kukaidi maagizo yako, Je, utafurahi????
Ndio ni makosa lakin sitowapa adhab ya mateso ya kuchomwa moto milele..hyo ni adhab kal sana ambayo hata mwanadam dhaifu hawez mfanyia mtu ..uchomwe milele kaka kwasbaab ya sex

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MUNGU hajakukataza kutomb*****na. Yeye ndiye aliyekuumba na kukuwekea mfumo mzima wa uzazi. Yeye ndiye aliyeumba mapenzi.

Ingawa Yeye ndiye aliyeumba mapenzi, lakini ameweka utaratibu maalumu unao kuruhusu wewe kushiriki mapenzi na kuyafurahia. Utaratibu huo ni ndoa.

Unaruhusiwa kushiriki mapenzi na kufurahia raha na utamu wote wa mapenzi ukiwa tu ndani ya ndoa. Yaani tendo la ndoa liwe kati ya Mume na Mke tu basi.

Sasa ikiwa wewe unashiriki mapenzi nje ya utaratibu uliowekwa na MUUMBA wako unatenda makosa na Yeye MUNGU atakuhukumu kwa kosa la kuvunja utaratibu aliokuwekea.

Kwenda kinyume na maagizo au taratibu alizoziweka MUNGU, ni kitendo cha dharau na ukaidi.

Jiulize swali :
Ikiwa watoto wako watakudharau na kukaidi maagizo yako wewe ukiwa baba utafurahi?

Au ukiwa wewe ni Bossi hapo ofisini kwako halafu mfanyakazi wa chini yako akakudharau na kukaidi maagizo yako, Je, utafurahi????
Aya mbili za mwanzo...
Angetaka tusitomb...ne mpaka ndoa angeweza tu kuruhusu huo unaouita "mfumo wa uzazi" ufanye kazi baada ya ndoa tu.
Mengine watajibu wengine
 
.
images%20(27).jpg
images%20(28).jpg
 
Ni bora kumuumiza mara moja kwa ukweli wa kuwa huna nia nae yoyote kuliko kumuumiza kila siku kwa uongo ambavyo unafanya sasa hivi.

Pale unapokuwa nae anajipa imani kuwa wewe ni mtu wake kumbe wewe unamuona hakufai. Kwa maana nyingine unamfungia njia yake ya kupata mtu atakeridhika na tattoo zake.

Ila kumbuka katika mahusiano siku zote ni bora kuwa na mtu anaekupenda zaidi kuliko wewe kumpenda yeye zaidi. Tattoo na matundu ya masikio haya define utu wa mtu. Walimwengu hawakosi la kukosoa. Utakuja kutana na mwenye matundu mawili tu ya masikio na bila tattoo ila mwili wake ushatobolewa kila sehemu na uume za watu na kuishi na hofu kila siku kama uko peke yako au laa.
Acha unafiki.

Kilichokuoeleka kwake ndicho kilichomkalisha kwako.

Sisi wanaume tunasifika sana kwa kupiga na kukimbia. Ulitaka trako umelipata sasa unamkimbia

Bora akuroge usiendelee kuwaharibu wengine.

Anyways ntakusaidia kupokea michango ya harusi yenu
 
chief umesoma ulichokiandika na uliemquote. Maana kila nikijaribu ku connect dots sidhani naona mantiki ya comment yako kwenye ya kwangu.
 
Ndege wafananao huruka pamoja. Yani unavyomuona huyo mwanamke wa ajabu ajabu kwenu watakushangaa na wewe ndo upo hivyo hivyo ndo maana umeweza kua nae muda wote.
So wewe oa hakuna atakaekushangaa. Halafu hujampenda tu usisingizie watu watakushangaa.
 
Back
Top Bottom