Binti akifikia hatua hii, omba Mungu

Binti akifikia hatua hii, omba Mungu

trust me hao wa home watakaokuona kituko wana yao mengi ambayo ukiyaona ama kuyajua wewe na mwanamke wako wa tattoo mtaonekana malaika.
Kama umefikia umri wa kujitegemea basi mawazo ya watu wa home ni jambo la mwisho kabisa unalopaswa kufikiria. Mwisho wa siku wewe ndie utakaeishi na yeyote utakayemchagua sio wao. Na binadamu wameumbiwa kusahau, watasema siku 2 tatu watapata jipya na wewe utasahaulika,
Kama unampenda huyo binti na unaamini anakupenda basi fuata nafsi yako ila kama unahisi huna mapenzi nae muache aendelee na maisha yake. Kuna laana nyingine huwa tunajitakia wenyewe kwa kuliza watu.
100% naunga mkono hoja
 
Najua mapema sana ila niko katika wakat mgum sana na shemej yenu. Huyu bint yuko katika the most highl peak of maximum desperation ya ndoa

Hata sijui nifanyaje wakuu niko naye muda ila kiukwel siwez mwoa huyu binti kiukweli ana vigezo vyoote amebadilika tabia n all that. Well niseme tu, she used to be a slay queen enzi hzo. So ana mavitu mwilin mwake ambayo mim siyapend kiufup

Ila ni bint ambae ananipenda vibaya mno..na amenielewa nyanja zote na yuko tayar kwa lolote ..juz kanambia nisipokua muelewa na anachotaka ataniroga kiutani utan ila sura yake ilikua serious. sasa wakuu

Kwa sura ni mzur umbo zuri saaana ila sasa nampelekaje home kumtambulisha mtu maskio yana matobo kama 100 mwil tatoo kadhaa znazoonekana

Well nishapiga snaa kelele hum kuhusu huyu dem kumwacha namwonea huruma basi daaah. Nayeye ndo kaniganda .naweza sema huyu dem nipo peke yangu..hyo nna uhakika 100% ni dem flan hiv free soul mzungu flain hivi keshakaa sana ulaya etc. well akikasirika huwa anasmoke sometime..hahaha

Ila kaacha, anasema sabab zaman alikua anasmoke huko Uk.

Sasa wakuu huyu dem ameniganda sana nashindwa nifanyeje had muda mwingne analia kabisa, anatia huruma. Hapa had naandika hivi kanifata sehemu yangu ya kazi anataka nimsindikize hospital. Dahhh.

Huu msalaba mzito jamani, nipen ushauri
Pambana mwanaume utaogopaje Tattoo vitu vidogo mnavifanya view vikubwa
 
Ndio ni makosa lakin sitowapa adhab ya mateso ya kuchomwa moto milele..hyo ni adhab kal sana ambayo hata mwanadam dhaifu hawez mfanyia mtu ..uchomwe milele kaka kwasbaab ya sex

Sent using Jamii Forums mobile app
Okay, kwahiyo unakubali kuwa unafanya makosa na unafahamu kuwa ipo adhabu kwa kila atendaye kosa lakini unachopinga wewe ni adhabu ya milele?

Ndugu yangu mimi sijui wewe ni dini gani, lakini kwa sisi Wakristo tumeambiwa kuwa yeye afanyaye uovu kwa makusudi mtu huyo adhabu yake itakuwa kubwa zaidi.
 
Aya mbili za mwanzo...
Angetaka tusitomb...ne mpaka ndoa angeweza tu kuruhusu huo unaouita "mfumo wa uzazi" ufanye kazi baada ya ndoa tu.
Mengine watajibu wengine
Elewa kwamba MUNGU alimuumba mwanadamu na kumpa uwezo au uhuru wa kuamua kutenda mema au mabaya.

Kuwa mtiifu au mkaidi ni jambo la hiari na ndiyo maana MUNGU hakutaka kutuwekea limits kwenye miili yetu.

Hakutuwekea limits bali aliweka utaratibu wa namna bora ya kuishi. Hivyo kila anayekiuka utaratibu huo ataadhibiwa kwa kuwa mkaidi.

Tena fahamu kwamba MUNGU alikataza zinaa kwa faida yako wewe mwenyewe na watu wengine na siyo kwa faida yake yeye.

MUNGU hapati hasara yoyote ile ikiwa wewe utafanya zinaa na uasherati, tena hapati faida yoyote ikiwa wewe hutafanya zinaa.

Faida za kutofanya zinaa utazipata wewe ikiwa utatii na kujiepusha na zinaa. Na hasara za kufanya zinaa utazipata wewe ikiwa utaamua kufanya zinaa.

Zinaa na uasherati vina hasara kubwa sana kwa mwanadamu na hata kwa watoto wanaozaliwa katika zinaa na uasherati. MUNGU akiwa ni zaidi ya BABA mwenye upendo kwetu sisi alikataza zinaa ili atuepushe na hasara za tendo hilo.

Nitakupa mfano mdogo :
Ukiwa na mtoto na anataka kula madawa ya kulevya sababu tu anapata starehe akila madawa, Je, wewe kama baba hutamkataza ikiwa unajua vyema hasara za kula madawa ya kulevya???

Basi kuanzia leo tambua kuwa yote aliyokataza MUNGU alikataza kwa faida yetu sisi na wala siyo kwa faida yake.
 
Jaribu kumwambia mwezi ujao unasimamishwa kazi mpaka kampuni itakapokutafuta uone reaction yake..

Jaribu kumdanganya kitu ambacho kitamfanya aone maisha ya kula bata yanaelekea kuisha uone reaction yake..

Usiridhike na anavyokuactia, jaribu kuchunguza deep down kwann anakuganda sana. Find out her true interests, or intentions.
 
rule
Najua mapema sana ila niko katika wakat mgum sana na shemej yenu. Huyu bint yuko katika the most highl peak of maximum desperation ya ndoa

Hata sijui nifanyaje wakuu niko naye muda ila kiukwel siwez mwoa huyu binti kiukweli ana vigezo vyoote amebadilika tabia n all that. Well niseme tu, she used to be a slay queen enzi hzo. So ana mavitu mwilin mwake ambayo mim siyapend kiufup

Ila ni bint ambae ananipenda vibaya mno..na amenielewa nyanja zote na yuko tayar kwa lolote ..juz kanambia nisipokua muelewa na anachotaka ataniroga kiutani utan ila sura yake ilikua serious. sasa wakuu

Kwa sura ni mzur umbo zuri saaana ila sasa nampelekaje home kumtambulisha mtu maskio yana matobo kama 100 mwil tatoo kadhaa znazoonekana

Well nishapiga snaa kelele hum kuhusu huyu dem kumwacha namwonea huruma basi daaah. Nayeye ndo kaniganda .naweza sema huyu dem nipo peke yangu..hyo nna uhakika 100% ni dem flan hiv free soul mzungu flain hivi keshakaa sana ulaya etc. well akikasirika huwa anasmoke sometime..hahaha

Ila kaacha, anasema sabab zaman alikua anasmoke huko Uk.

Sasa wakuu huyu dem ameniganda sana nashindwa nifanyeje had muda mwingne analia kabisa, anatia huruma. Hapa had naandika hivi kanifata sehemu yangu ya kazi anataka nimsindikize hospital. Dahhh.

Huu msalaba mzito jamani, nipen ushauri
rule number one....usioe kwa sababu unanionea huruma dem. never in your life. never ever.
 
MUNGU hajakukataza kutomb*****na. Yeye ndiye aliyekuumba na kukuwekea mfumo mzima wa uzazi. Yeye ndiye aliyeumba mapenzi.

Ingawa Yeye ndiye aliyeumba mapenzi, lakini ameweka utaratibu maalumu unao kuruhusu wewe kushiriki mapenzi na kuyafurahia. Utaratibu huo ni ndoa.

Unaruhusiwa kushiriki mapenzi na kufurahia raha na utamu wote wa mapenzi ukiwa tu ndani ya ndoa. Yaani tendo la ndoa liwe kati ya Mume na Mke tu basi.

Sasa ikiwa wewe unashiriki mapenzi nje ya utaratibu uliowekwa na MUUMBA wako unatenda makosa na Yeye MUNGU atakuhukumu kwa kosa la kuvunja utaratibu aliokuwekea.

Kwenda kinyume na maagizo au taratibu alizoziweka MUNGU, ni kitendo cha dharau na ukaidi.

Jiulize swali :
Ikiwa watoto wako watakudharau na kukaidi maagizo yako wewe ukiwa baba utafurahi?

Au ukiwa wewe ni Bossi hapo ofisini kwako halafu mfanyakazi wa chini yako akakudharau na kukaidi maagizo yako, Je, utafurahi????
Kwahiyo mkuu wewe hukunyanduana hadi ulipoingia kwenye ndoa? Au utanyandua ukiingia ndoani? Aisee
 
Najua mapema sana ila niko katika wakat mgum sana na shemej yenu. Huyu bint yuko katika the most highl peak of maximum desperation ya ndoa

Hata sijui nifanyaje wakuu niko naye muda ila kiukwel siwez mwoa huyu binti kiukweli ana vigezo vyoote amebadilika tabia n all that. Well niseme tu, she used to be a slay queen enzi hzo. So ana mavitu mwilin mwake ambayo mim siyapend kiufup

Ila ni bint ambae ananipenda vibaya mno..na amenielewa nyanja zote na yuko tayar kwa lolote ..juz kanambia nisipokua muelewa na anachotaka ataniroga kiutani utan ila sura yake ilikua serious. sasa wakuu

Kwa sura ni mzur umbo zuri saaana ila sasa nampelekaje home kumtambulisha mtu maskio yana matobo kama 100 mwil tatoo kadhaa znazoonekana

Well nishapiga snaa kelele hum kuhusu huyu dem kumwacha namwonea huruma basi daaah. Nayeye ndo kaniganda .naweza sema huyu dem nipo peke yangu..hyo nna uhakika 100% ni dem flan hiv free soul mzungu flain hivi keshakaa sana ulaya etc. well akikasirika huwa anasmoke sometime..hahaha

Ila kaacha, anasema sabab zaman alikua anasmoke huko Uk.

Sasa wakuu huyu dem ameniganda sana nashindwa nifanyeje had muda mwingne analia kabisa, anatia huruma. Hapa had naandika hivi kanifata sehemu yangu ya kazi anataka nimsindikize hospital. Dahhh.

Huu msalaba mzito jamani, nipen ushauri
Huyo ni gold digger amini atakutenda unikumbuke nakwambia
 
Okay, kwahiyo unakubali kuwa unafanya makosa na unafahamu kuwa ipo adhabu kwa kila atendaye kosa lakini unachopinga wewe ni adhabu ya milele?

Ndugu yangu mimi sijui wewe ni dini gani, lakini kwa sisi Wakristo tumeambiwa kuwa yeye afanyaye uovu kwa makusudi mtu huyo adhabu yake itakuwa kubwa zaidi.
Matango pori

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom