Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 9,758
- 18,431
100% naunga mkono hojatrust me hao wa home watakaokuona kituko wana yao mengi ambayo ukiyaona ama kuyajua wewe na mwanamke wako wa tattoo mtaonekana malaika.
Kama umefikia umri wa kujitegemea basi mawazo ya watu wa home ni jambo la mwisho kabisa unalopaswa kufikiria. Mwisho wa siku wewe ndie utakaeishi na yeyote utakayemchagua sio wao. Na binadamu wameumbiwa kusahau, watasema siku 2 tatu watapata jipya na wewe utasahaulika,
Kama unampenda huyo binti na unaamini anakupenda basi fuata nafsi yako ila kama unahisi huna mapenzi nae muache aendelee na maisha yake. Kuna laana nyingine huwa tunajitakia wenyewe kwa kuliza watu.
Pambana mwanaume utaogopaje Tattoo vitu vidogo mnavifanya view vikubwaNajua mapema sana ila niko katika wakat mgum sana na shemej yenu. Huyu bint yuko katika the most highl peak of maximum desperation ya ndoa
Hata sijui nifanyaje wakuu niko naye muda ila kiukwel siwez mwoa huyu binti kiukweli ana vigezo vyoote amebadilika tabia n all that. Well niseme tu, she used to be a slay queen enzi hzo. So ana mavitu mwilin mwake ambayo mim siyapend kiufup
Ila ni bint ambae ananipenda vibaya mno..na amenielewa nyanja zote na yuko tayar kwa lolote ..juz kanambia nisipokua muelewa na anachotaka ataniroga kiutani utan ila sura yake ilikua serious. sasa wakuu
Kwa sura ni mzur umbo zuri saaana ila sasa nampelekaje home kumtambulisha mtu maskio yana matobo kama 100 mwil tatoo kadhaa znazoonekana
Well nishapiga snaa kelele hum kuhusu huyu dem kumwacha namwonea huruma basi daaah. Nayeye ndo kaniganda .naweza sema huyu dem nipo peke yangu..hyo nna uhakika 100% ni dem flan hiv free soul mzungu flain hivi keshakaa sana ulaya etc. well akikasirika huwa anasmoke sometime..hahaha
Ila kaacha, anasema sabab zaman alikua anasmoke huko Uk.
Sasa wakuu huyu dem ameniganda sana nashindwa nifanyeje had muda mwingne analia kabisa, anatia huruma. Hapa had naandika hivi kanifata sehemu yangu ya kazi anataka nimsindikize hospital. Dahhh.
Huu msalaba mzito jamani, nipen ushauri
Okay, kwahiyo unakubali kuwa unafanya makosa na unafahamu kuwa ipo adhabu kwa kila atendaye kosa lakini unachopinga wewe ni adhabu ya milele?Ndio ni makosa lakin sitowapa adhab ya mateso ya kuchomwa moto milele..hyo ni adhab kal sana ambayo hata mwanadam dhaifu hawez mfanyia mtu ..uchomwe milele kaka kwasbaab ya sex
Sent using Jamii Forums mobile app
Elewa kwamba MUNGU alimuumba mwanadamu na kumpa uwezo au uhuru wa kuamua kutenda mema au mabaya.Aya mbili za mwanzo...
Angetaka tusitomb...ne mpaka ndoa angeweza tu kuruhusu huo unaouita "mfumo wa uzazi" ufanye kazi baada ya ndoa tu.
Mengine watajibu wengine
rule number one....usioe kwa sababu unanionea huruma dem. never in your life. never ever.Najua mapema sana ila niko katika wakat mgum sana na shemej yenu. Huyu bint yuko katika the most highl peak of maximum desperation ya ndoa
Hata sijui nifanyaje wakuu niko naye muda ila kiukwel siwez mwoa huyu binti kiukweli ana vigezo vyoote amebadilika tabia n all that. Well niseme tu, she used to be a slay queen enzi hzo. So ana mavitu mwilin mwake ambayo mim siyapend kiufup
Ila ni bint ambae ananipenda vibaya mno..na amenielewa nyanja zote na yuko tayar kwa lolote ..juz kanambia nisipokua muelewa na anachotaka ataniroga kiutani utan ila sura yake ilikua serious. sasa wakuu
Kwa sura ni mzur umbo zuri saaana ila sasa nampelekaje home kumtambulisha mtu maskio yana matobo kama 100 mwil tatoo kadhaa znazoonekana
Well nishapiga snaa kelele hum kuhusu huyu dem kumwacha namwonea huruma basi daaah. Nayeye ndo kaniganda .naweza sema huyu dem nipo peke yangu..hyo nna uhakika 100% ni dem flan hiv free soul mzungu flain hivi keshakaa sana ulaya etc. well akikasirika huwa anasmoke sometime..hahaha
Ila kaacha, anasema sabab zaman alikua anasmoke huko Uk.
Sasa wakuu huyu dem ameniganda sana nashindwa nifanyeje had muda mwingne analia kabisa, anatia huruma. Hapa had naandika hivi kanifata sehemu yangu ya kazi anataka nimsindikize hospital. Dahhh.
Huu msalaba mzito jamani, nipen ushauri
Unaoa kwa ajili ya familia?Eeeeeh hatar kaka....ishu ni mim ntaonekana kituko home kaka
Ili tu aolewe?Kwa maoni yangu K yake itakuwa imekula km kadhaa so mfanyie service kwanza, hayo matatoo choma kwa kutumia pasi. Hayo matobo sikioni shona kwa waya
Kwahiyo mkuu wewe hukunyanduana hadi ulipoingia kwenye ndoa? Au utanyandua ukiingia ndoani? AiseeMUNGU hajakukataza kutomb*****na. Yeye ndiye aliyekuumba na kukuwekea mfumo mzima wa uzazi. Yeye ndiye aliyeumba mapenzi.
Ingawa Yeye ndiye aliyeumba mapenzi, lakini ameweka utaratibu maalumu unao kuruhusu wewe kushiriki mapenzi na kuyafurahia. Utaratibu huo ni ndoa.
Unaruhusiwa kushiriki mapenzi na kufurahia raha na utamu wote wa mapenzi ukiwa tu ndani ya ndoa. Yaani tendo la ndoa liwe kati ya Mume na Mke tu basi.
Sasa ikiwa wewe unashiriki mapenzi nje ya utaratibu uliowekwa na MUUMBA wako unatenda makosa na Yeye MUNGU atakuhukumu kwa kosa la kuvunja utaratibu aliokuwekea.
Kwenda kinyume na maagizo au taratibu alizoziweka MUNGU, ni kitendo cha dharau na ukaidi.
Jiulize swali :
Ikiwa watoto wako watakudharau na kukaidi maagizo yako wewe ukiwa baba utafurahi?
Au ukiwa wewe ni Bossi hapo ofisini kwako halafu mfanyakazi wa chini yako akakudharau na kukaidi maagizo yako, Je, utafurahi????
Sawa kama aikuingia akilini endelea kudhini situna kukumbusha tuKwamba Mungu anipe adhab ya kunichoma moto milele mim mtoto wake kipenz ambae kaniumba mwenyew et kisa na.tombana....haiingii akili
Sent using Jamii Forums mobile app
Simwenyewe kasibitisha kuwa anaishinaeMkuu kwani huoni unatenda dhambi kwa kumbashiria mtu dhambi ambayo hajatenda au una uhakika kuwa kijana wetu humgegeda binti.
Huyo ni gold digger amini atakutenda unikumbuke nakwambiaNajua mapema sana ila niko katika wakat mgum sana na shemej yenu. Huyu bint yuko katika the most highl peak of maximum desperation ya ndoa
Hata sijui nifanyaje wakuu niko naye muda ila kiukwel siwez mwoa huyu binti kiukweli ana vigezo vyoote amebadilika tabia n all that. Well niseme tu, she used to be a slay queen enzi hzo. So ana mavitu mwilin mwake ambayo mim siyapend kiufup
Ila ni bint ambae ananipenda vibaya mno..na amenielewa nyanja zote na yuko tayar kwa lolote ..juz kanambia nisipokua muelewa na anachotaka ataniroga kiutani utan ila sura yake ilikua serious. sasa wakuu
Kwa sura ni mzur umbo zuri saaana ila sasa nampelekaje home kumtambulisha mtu maskio yana matobo kama 100 mwil tatoo kadhaa znazoonekana
Well nishapiga snaa kelele hum kuhusu huyu dem kumwacha namwonea huruma basi daaah. Nayeye ndo kaniganda .naweza sema huyu dem nipo peke yangu..hyo nna uhakika 100% ni dem flan hiv free soul mzungu flain hivi keshakaa sana ulaya etc. well akikasirika huwa anasmoke sometime..hahaha
Ila kaacha, anasema sabab zaman alikua anasmoke huko Uk.
Sasa wakuu huyu dem ameniganda sana nashindwa nifanyeje had muda mwingne analia kabisa, anatia huruma. Hapa had naandika hivi kanifata sehemu yangu ya kazi anataka nimsindikize hospital. Dahhh.
Huu msalaba mzito jamani, nipen ushauri
Matango poriOkay, kwahiyo unakubali kuwa unafanya makosa na unafahamu kuwa ipo adhabu kwa kila atendaye kosa lakini unachopinga wewe ni adhabu ya milele?
Ndugu yangu mimi sijui wewe ni dini gani, lakini kwa sisi Wakristo tumeambiwa kuwa yeye afanyaye uovu kwa makusudi mtu huyo adhabu yake itakuwa kubwa zaidi.