Binti akifikia hatua hii, omba Mungu

Wewe ni mvulana au?
 
Hata wewe unampenda ndio maana unamuonea huruma na unaona ngumu kumuacha ila pia huna ujasiri either tayari umekutana na demu mwingine unagundua ana viwango kuliko huyo au unawasikiliza sana watu kuhusu demu.NaKUSHAURI OA FASTA kuliko KUZINI.Usisahau kunipa kadi ya mwaliko wa kuja kula pilau na maji kubwa.
 
Inaonekana unampenda ndo maana unamuonea huruma na inakuwa ngumu kumuacha.Ila either umempata mwingine na unaona kama vile ulikosea ingawa "zimwi likujualo" au utakuwa unasikiliza sana pelepeche za watu kuhusu demu wako.Tulia dogo, huyo demu mtafika mbali, ndum sio shida mwana.Usisahau kunipa mwaliko wa kuja kuufinya
 
Kwahiyo mkuu wewe hukunyanduana hadi ulipoingia kwenye ndoa? Au utanyandua ukiingia ndoani? Aisee
Kusema ukweli nilinyanduana sana mpaka mitaro ya maji taka nilizibua,.... Lakini, nilitubu, nikamwomba MUNGU msamaha, nikaacha kabisa kila aina ya zinaa.

Leo hii nina zaidi ya miaka 5 sijui hata harufu ya mbususu inanukiaje.

Sasa hivi nasubiri tu kuoa, namsubiri BWANA anipe Mke mwema.
 
Duuh sasa unaishije bila mbususu mkuu, ukisikia hamu unajitulizaje? vipi ukiingia kwenye ndoa una uhakika utaacha kunyandua mitaro? Si wanasema mazoea hujenga tabiaπŸ€”
 
Duuh sasa unaishije bila mbususu mkuu, ukisikia hamu unajitulizaje? vipi ukiingia kwenye ndoa una uhakika utaacha kunyandua mitaro? Si wanasema mazoea hujenga tabiaπŸ€”
Baada ya kutubu dhambi zangu na kuziacha nikagundua thamani ya UFALME wa MUNGU ni kubwa mno kupita vitu vyote.

Na ili niweze kuingia kwenye UFALME huo nilazima nijitenge na kila aina ya uovu ikiwemo zinaa na uasherati. Starehe ya zinaa ni ya muda mfupi sana, lakini UFALME wa MUNGU ni wa milele na milele. Sasa ipi bora hapo??

Kuhusu naishije bila mbususu:
Nimejifunza kuvumilia. Ni zaidi ya miaka 5 sasa. Mwanzoni nilipoanza kujitenga na mbususu nilipata wakati mgumu sana, lakini, kwa sala na maombi na kufunga nimezoea na wala sipati shida tena.

In the near future I'm expecting to get married. Nina subiri kwa imani kupata Mke mwema anayejitambua na mwenye hofu ya MUNGU kama mimi.

Imeandikwa hivi :
"kijana atarithi mali na nyumba kutoka kwa baba yake, bali Mke mwema atampata kwa BWANA".

Kuhusu kuzibua mitaro ya wadada hiyo nilishaacha kabisa. Yaani wala sitaki kusikia tena. Hata nikioa Mke leo sitamgusa huko kusikostahili.

Nimeoshwa na damu ya YESU KRISTO.
 
Unanikumbusha enz hizo nimekolea kwa star mmoja hivi wa bongo dah! Nilimlazimisha sana anioe lakin wap akanipa mashart nipate mimba ili anioe..nikajitegesha nikadaka mimba nioe akasema subir uzae aah nikaitoa ile mimba hlf nikaolewa na bwana mwingine kwa hasira..chakushangaza hadi leo miaka 15 bado tunafanyana..yaan ananipenda lakini kuoa muoga..hana mke
 
Mmh bado mnafanyana na huyo star? Yaani unamcheat mumeo for 15yrs sasa?. Aisee ndiyo maana tunawekewa gunia hata 5 za mkaaπŸ€”
 
Mi ningekuwa wewe ningemuoa tangu 'mwaka jana'
 
Brother, kuna kitu kinaitwa Female nature na inajirudia ameacha due to desperation ya ndoa akiwa comfortable anaanza kusmoke huyo ni damaged goods hutawezana nae leave her once and for all.. WAPO WANAWAKE AMBAO WAKO POA NA WAZURI KULIKO HUYO [emoji106]
 
Kama unataka kumuacha na asiumie , ww mwambie nimeenda kupima nimekutwa na ngoma tu ,
Mshauri na yy aende kupima akikutwa hajaathirika we mwambie tuachane tu ingawa nakupenda nisije kukuambukiza ngoma ,
Sasa akiendelea kukung'ang'ania mkuu utakua ni balaa sasa itabidi uhamie kwenye maombi sasa ya kuachana na dem wako hahaaha
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Umenikumbusha movie moja ya kighana jamaa alifanya hvyo ili amuache dem ake matokeo yake dem nae alikuju kumwambia na yeye kapimwa kaambiwa ana ukimwi na mimba pia jamaa alilia kama mtoto kumbe ilikuwa anadanganywa tu baada ya dem kujua trick yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…