Binti akifikia hatua hii, omba Mungu

Kpi
Kapicha kidogo kiongozi😀
 
Enzi za ujana wangu nilikwepa kutembea na binti yeyote niliyegundua ananipenda sana huku mimi nikiona sina future naye! Jamaa walinicheka ila mimi nilikua nakwepa haya matatizo ya namna hii

Cha kufanya mueleze tu wazi maamuzi yako ila ujiandae kwa consequences! Kama kuna mtu anamtaka kaa chini,negotiate naye kisha umfaulishie. Hiyo itakusaidia kupunguza madhara!
 
Eeeeeh hatar kaka....ishu ni mim ntaonekana kituko home kaka
Katika maamuzi ya kuoa hebu jianagalie wewe zaidi, home wanaweza kuona sio poa ila una amani....vipi ukipeleka asie na hiyo michoro lakini huna furaha naye?

Jifanyie tathmini je wewe unampenda na unatamani kuishi nae? Kama sio mwambie au achana nae kimya kimya ili usiendelee kumzibia riziki kwa wengine.

Mara nyingine mtu unakua hujui unachotaka au tuseme unakuwa una'imagine' mwenza unayemtaka aliekamilika kila kigezo lakini kiuhalisia hayupo, muda unaenda inafika mahali inabidi ukubali hakuna mtu ambae amekamilika na ulienaye ndio kiwango chako....

Huenda hata yeye anahisi wewe iso sahihi kwa asilimia 100 lakini anaona sio mbaya...
 
Huyo anakupenda sana bahati mbaya wewe humpendi kiviile, anyway unaweza ukamwacha na kumtafuta unayempenda Ila usitegemee umpendaye atakupenda, inawezekana akakuumiza. Maisha haya bwana acha tuu.
 
sasa muache akuroge
 
Huyo demu hana kazi zingine za kufanya mpaka akugande kiasi hicho??😂
 
Mtu ana mitattoo nampeleka vipi home! Midude inakata stim sio poa hata kidogo...
 
Piga chini potelea mbali
 
Aya mbili za mwanzo...
Angetaka tusitomb...ne mpaka ndoa angeweza tu kuruhusu huo unaouita "mfumo wa uzazi" ufanye kazi baada ya ndoa tu.
Mengine watajibu wengine
Hata mm huwa nawazaga hvo hvo. Yaan you spoke my mind.
 
Pia itakua hana hela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…