Binti akifikia hatua hii, omba Mungu

Binti akifikia hatua hii, omba Mungu

Duuh sasa unaishije bila mbususu mkuu, ukisikia hamu unajitulizaje? vipi ukiingia kwenye ndoa una uhakika utaacha kunyandua mitaro? Si wanasema mazoea hujenga tabia🤔
Ukikinai umekinai tu, hata huyo atakayeolewa na huyo Son of Gamba atapatwa na taabu ya kupata tendo la ndoa. Maana alishafanya mpaka ukomo.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Najua mapema sana ila niko katika wakati mgumu sana na shemej yenu. Huyu binti yuko katika the most highl peak of maximum desperation ya ndoa

Hata sijui nifanyaje wakuu niko naye muda ila kiukweli siwezu mwoa huyu binti kiukweli ana vigezo vyoote amebadilika tabia n all that. Well niseme tu, she used to be a slay queen enzi hizo. So ana mavitu mwilini mwake ambayo mimi siyapendi kiufupi

Ila ni bint ambae ananipenda vibaya mno..na amenielewa nyanja zote na yuko tayar kwa lolote ..juz kanambia nisipokua muelewa na anachotaka ataniroga kiutani utan ila sura yake ilikua serious. sasa wakuu

Kwa sura ni mzur umbo zuri saaana ila sasa nampelekaje home kumtambulisha mtu maskio yana matobo kama 100 mwil tatoo kadhaa znazoonekana

Well nishapiga snaa kelele hum kuhusu huyu dem kumwacha namwonea huruma basi daaah. Nayeye ndo kaniganda .naweza sema huyu dem nipo peke yangu..hyo nna uhakika 100% ni dem flan hiv free soul mzungu flain hivi keshakaa sana ulaya etc. well akikasirika huwa anasmoke sometime..hahaha

Ila kaacha, anasema sabab zaman alikua anasmoke huko Uk.

Sasa wakuu huyu dem ameniganda sana nashindwa nifanyeje had muda mwingne analia kabisa, anatia huruma. Hapa had naandika hivi kanifata sehemu yangu ya kazi anataka nimsindikize hospital. Dahhh.

Huu msalaba mzito jamani, nipen ushauri

We unampenda? Kama unampenda basi maamuzi ni yako sio kufikiria watu watasemaje, katika maisha unapaswa kujua watu hufanya makosa ila si vizuri kuwahukumu kwa makosa waliyofanya huko nyuma milele especially kama wanajutia kufanya ivo, matobo ya mengi ya sikio ni urembo japokua jamii inaona km uhuni kuhusu tattoo labda ni ujana tu ulikua unamtaabisha kama unampenda huwezi kufocus kwenye mambo km ayo [emoji58]
 
Sasa hivi kapatiwa connection ya kazi na dada yake,boss wamekutama samaki samaki...na hizo tatoo mkuu tulia tu...fata ushauri ule beer tamu.
 
Acha uzembe ndugu yangu hiyo bahati usiichezee kabisaa maana akiacha kukupenda akigundua unamchora kaz kumrudisha
 
Ila alisema ukizibua mtaro hana msamaha na wewe 😂
Siyo kweli ndugu yangu. Hakuna mahali kuna maandiko kama hayo. KRISTO alisema wazi wazi kabisa kuwa, "kila dhambi atakayoifanya mwanadamu chini ya jua atasamehewa, isipokuwa dhambi moja tu, nayo ni ya kumtukana ROHO MTAKATIFU hiyo ndiyo haitasamehewa kamwe".
Soma Mathayo 12:31
 
1. Ulikua wapi siku zote mpaka anatoboa hayo masikio matundu 100 na anachora hizo tatoo?
2. Nakama ulimkuta hivyo kwanini ulimtongoza na kua nae na still ulikua unajua kabisa hupendi aalivyo ?
 
kama ulimkuta hivyo alivyo na ukamtongoza bila kujali hizo kasoro endelea naye na kama kaharibika wakati uko naye pia endelea naye kwa maana tembo hashindwi na mkonga wake.
 
Mkuu labda nikuulize swali huyo mwanamke unampenda au humpendi kutoka rohoni!!??
na hizo tatoo zake zipo wapi kwenye maungo yake ya mwili.......
Manake kuna jamaa yangu mmoja alioa dem ana tatoo ya tak.o........
miaka mitatu iliyopita sasa hv wana watoto wawili wapo vema tu.....
 
Najua mapema sana ila niko katika wakati mgumu sana na shemej yenu. Huyu binti yuko katika the most highl peak of maximum desperation ya ndoa

Hata sijui nifanyaje wakuu niko naye muda ila kiukweli siwezu mwoa huyu binti kiukweli ana vigezo vyoote amebadilika tabia n all that. Well niseme tu, she used to be a slay queen enzi hizo. So ana mavitu mwilini mwake ambayo mimi siyapendi kiufupi

Ila ni bint ambae ananipenda vibaya mno..na amenielewa nyanja zote na yuko tayar kwa lolote ..juz kanambia nisipokua muelewa na anachotaka ataniroga kiutani utan ila sura yake ilikua serious. sasa wakuu

Kwa sura ni mzur umbo zuri saaana ila sasa nampelekaje home kumtambulisha mtu maskio yana matobo kama 100 mwil tatoo kadhaa znazoonekana

Well nishapiga snaa kelele hum kuhusu huyu dem kumwacha namwonea huruma basi daaah. Nayeye ndo kaniganda .naweza sema huyu dem nipo peke yangu..hyo nna uhakika 100% ni dem flan hiv free soul mzungu flain hivi keshakaa sana ulaya etc. well akikasirika huwa anasmoke sometime..hahaha

Ila kaacha, anasema sabab zaman alikua anasmoke huko Uk.

Sasa wakuu huyu dem ameniganda sana nashindwa nifanyeje had muda mwingne analia kabisa, anatia huruma. Hapa had naandika hivi kanifata sehemu yangu ya kazi anataka nimsindikize hospital. Dahhh.

Huu msalaba mzito jamani, nipen ushauri
yaani mwanamke anakutajia kabisa kukuroga halafu bado upo hapa kuuliza maswali? huoni kama ukiingia naye kwenye ndoa utakuwa mtumwa wake milele? atakuweka kwenye chupa, hata kama hatakuloga atakuwa anakupelekesha akikutishia usijejaribu kumwacha kwasababu atakuroga, na kumwacha ukiwa kwenye ndoa na watoto ni ngumu kuliko kumwacha sasahiv na hayo masikio yake.
 
Usimhurumie...
Mwanamke haurumiwi. Kwasababu wewe ndo ungekuwa yeye usingehurumiwa.

Sio kila mwanamke amezaliwa kuwa kwenye ndoa.
Slay queen never change, they improve. Take it from me.
 
Siyo kweli ndugu yangu. Hakuna mahali kuna maandiko kama hayo. KRISTO alisema wazi wazi kabisa kuwa, "kila dhambi atakayoifanya mwanadamu chini ya jua atasamehewa, isipokuwa dhambi moja tu, nayo ni ya kumtukana ROHO MTAKATIFU hiyo ndiyo haitasamehewa kamwe".
Soma Mathayo 12:31
Unamtukanaje roho mtakatifu
 
Back
Top Bottom