Binti akifikia hatua hii, omba Mungu

Binti akifikia hatua hii, omba Mungu

Najua mapema sana ila niko katika wakati mgumu sana na shemej yenu. Huyu binti yuko katika the most highl peak of maximum desperation ya ndoa

Hata sijui nifanyaje wakuu niko naye muda ila kiukweli siwezu mwoa huyu binti kiukweli ana vigezo vyoote amebadilika tabia n all that. Well niseme tu, she used to be a slay queen enzi hizo. So ana mavitu mwilini mwake ambayo mimi siyapendi kiufupi

Ila ni bint ambae ananipenda vibaya mno..na amenielewa nyanja zote na yuko tayar kwa lolote ..juz kanambia nisipokua muelewa na anachotaka ataniroga kiutani utan ila sura yake ilikua serious. sasa wakuu

Kwa sura ni mzur umbo zuri saaana ila sasa nampelekaje home kumtambulisha mtu maskio yana matobo kama 100 mwil tatoo kadhaa znazoonekana

Well nishapiga snaa kelele hum kuhusu huyu dem kumwacha namwonea huruma basi daaah. Nayeye ndo kaniganda .naweza sema huyu dem nipo peke yangu..hyo nna uhakika 100% ni dem flan hiv free soul mzungu flain hivi keshakaa sana ulaya etc. well akikasirika huwa anasmoke sometime..hahaha

Ila kaacha, anasema sabab zaman alikua anasmoke huko Uk.

Sasa wakuu huyu dem ameniganda sana nashindwa nifanyeje had muda mwingne analia kabisa, anatia huruma. Hapa had naandika hivi kanifata sehemu yangu ya kazi anataka nimsindikize hospital. Dahhh.

Huu msalaba mzito jamani, nipen ushauri
Huyo ndo mzuri,muoe huyo utakuja kuniahukuru.Tatoo zina tatizo gan bana?
 
Siku unampeleka home mvalishe nguo za heshima kwa maana za kufunika kifua, mikono na masikio ibaki sura na viganja vya mikono tu, huku unaendelea na taratbu za kumfuta hizo tattoo
 
Vuta chuma ndani kama kweli unampenda na sio pity familia wataelewa tuu hata kama itahitajika muda kidogo [emoji12]
 
Mwambie kuwa ntakupelekaje home na haya ma tatooo na mashimo 1000 kwenye sikio moja uone atakujibu vipi
 
[emoji23][emoji23]mkuu unachekesha badala ya kwenda kutafuta mtoto mbichi mwenye kujua maana ya mke uweke ndani eti wewe unataka umuoe master fegi mtu kachakaa kwa mistarehe yake ya ujanani halafu sahivi anataka akubebeshe mizigo wewe
Halafu kingine kwa kauli za huyo demu ana imani za kishirikina yani ishara tosha uyo demu ni hatari kwa maisha yako na ukiendelea hata kukaa naye kiurafiki umekwisha biblia yenyewe imesema usimuache mwanamke mchawi hai

Usije jidanganya eti kabadilika au atabadilika huyo anaonekana anataka status ya kuwa mke tu baada ya hapo ndio utajua hujui .mkuu wanawake wazuri kwa ajili ya kujenga familia wapo achana kuchukua mizigo isiyo yako
Ushauri murua kabisa, mwenye maskio na askie

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kwa maoni yangu K yake itakuwa imekula km kadhaa so mfanyie service kwanza, hayo matatoo choma kwa kutumia pasi. Hayo matobo sikioni shona kwa waya
Kabisaa! Mvue hiyo ngozi mkaninue nyngine! Kuhusu masikio aazime kwa jirani kisha ukamtambilishe
Akimaliza atayarudisha!
 
Angalia unapenda nn,watu ni kama influence inaweza kuwa positive au negative kwako,ila haimaanishi umuache kisa watu watasema nn,just do wat u lv ili Ucje regret baadae.
 
Jaribu kumwambia mwezi ujao unasimamishwa kazi mpaka kampuni itakapokutafuta uone reaction yake..

Jaribu kumdanganya kitu ambacho kitamfanya aone maisha ya kula bata yanaelekea kuisha uone reaction yake..

Usiridhike na anavyokuactia, jaribu kuchunguza deep down kwann anakuganda sana. Find out her true interests, or intentions.
Hahahahahahaha ataachwa mapema sana kummmk yani hataamini! Aseme tu no more samaki samaki, no more butters maana amesimamishwa kazi!
 
Kusema ukweli nilinyanduana sana mpaka mitaro ya maji taka nilizibua,.... Lakini, nilitubu, nikamwomba MUNGU msamaha, nikaacha kabisa kila aina ya zinaa.

Leo hii nina zaidi ya miaka 5 sijui hata harufu ya mbususu inanukiaje.

Sasa hivi nasubiri tu kuoa, namsubiri BWANA anipe Mke mwema.
Ila alisema ukizibua mtaro hana msamaha na wewe 😂
 
Mmh bado mnafanyana na huyo star? Yaani unamcheat mumeo for 15yrs sasa?. Aisee ndiyo maana tunawekewa gunia hata 5 za mkaa🤔
Hawa ndio aina ya wanawake ambao wakipigwa matukio mnakimbilia kutuita wanaume makatili!

Mungu nijalie nisio takataka za mjini hapa! Mwanamke wangu lazma awe na vinasaba vya kijijini kwao sio hawa malaya wastaafu.
 
Najaribu kuwaza ndo first borne wangu kazaliwa anakuta mama yake ana matobo 6 maskioni huku ana ma tatoo kila mahali mwilini yani total garbage! Mara anavuta masigara pia aisee hapana!

Ndio maana hata kwako linakuwia uzito sababu angalia wanawake ambao wenzio wamepeleka home kisha uangalie na huyo wako! Kimaadili tu yuko offset achilia vipingamizi vya wazee! Mwangalie attitude yake tu na uone kama ata sustain maisha ya kuwa mke!

Mwanamke anayependa starehe atafanya chochote kuhakikisha anaishi maisha ya bata tu. Sikukatishi tamaa ila oa huyo mwanamke kama unampenda ila ipo siku utakapokosa kazi ghafla ndipo utakuja kujifunza kitu ambacho sahizi ni vigumu kukielewa! Yani nikimwangalia inanijia taswira ya Irene uwoya flani ambaye ameamua kujifanya ni decent woman 😅😅😅
 
Katika maamuzi ya kuoa hebu jianagalie wewe zaidi, home wanaweza kuona sio poa ila una amani....vipi ukipeleka asie na hiyo michoro lakini huna furaha naye?

Jifanyie tathmini je wewe unampenda na unatamani kuishi nae? Kama sio mwambie au achana nae kimya kimya ili usiendelee kumzibia riziki kwa wengine.

Mara nyingine mtu unakua hujui unachotaka au tuseme unakuwa una'imagine' mwenza unayemtaka aliekamilika kila kigezo lakini kiuhalisia hayupo, muda unaenda inafika mahali inabidi ukubali hakuna mtu ambae amekamilika na ulienaye ndio kiwango chako....

Huenda hata yeye anahisi wewe iso sahihi kwa asilimia 100 lakini anaona sio mbaya...
Katika yote angalia mwanamke ambaye hata siku ukikosa hela ataendelea kuwa na wewe
 
Huyo mwanamke anaenda kuolewa na ww ama na familia yako nzima?
Siwez sema kuwa anakufaa ama hakufai ila naweza kusema hapo usipende kuangalia nn watu wako wa karibu watasema au watakuchukuliaje, daima tembea huku ukisema "naenda kuanzisha familia yangu" angalia mtu atakae kufaa/kukuvutia kuanzisha nae hio familia sio atakae wavutia watu wa nje wa familia yako unayoitaji kuanzisha.
Good advice. In simple words "Be Who You Are".
 
Back
Top Bottom