Binti akifikia hatua hii, omba Mungu

Huyo ndo mzuri,muoe huyo utakuja kuniahukuru.Tatoo zina tatizo gan bana?
 
Siku unampeleka home mvalishe nguo za heshima kwa maana za kufunika kifua, mikono na masikio ibaki sura na viganja vya mikono tu, huku unaendelea na taratbu za kumfuta hizo tattoo
 
Vuta chuma ndani kama kweli unampenda na sio pity familia wataelewa tuu hata kama itahitajika muda kidogo [emoji12]
 
Mwambie kuwa ntakupelekaje home na haya ma tatooo na mashimo 1000 kwenye sikio moja uone atakujibu vipi
 
Ushauri murua kabisa, mwenye maskio na askie

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kwa maoni yangu K yake itakuwa imekula km kadhaa so mfanyie service kwanza, hayo matatoo choma kwa kutumia pasi. Hayo matobo sikioni shona kwa waya
Kabisaa! Mvue hiyo ngozi mkaninue nyngine! Kuhusu masikio aazime kwa jirani kisha ukamtambilishe
Akimaliza atayarudisha!
 
Angalia unapenda nn,watu ni kama influence inaweza kuwa positive au negative kwako,ila haimaanishi umuache kisa watu watasema nn,just do wat u lv ili Ucje regret baadae.
 
Hahahahahahaha ataachwa mapema sana kummmk yani hataamini! Aseme tu no more samaki samaki, no more butters maana amesimamishwa kazi!
 
Ila alisema ukizibua mtaro hana msamaha na wewe πŸ˜‚
 
Mmh bado mnafanyana na huyo star? Yaani unamcheat mumeo for 15yrs sasa?. Aisee ndiyo maana tunawekewa gunia hata 5 za mkaaπŸ€”
Hawa ndio aina ya wanawake ambao wakipigwa matukio mnakimbilia kutuita wanaume makatili!

Mungu nijalie nisio takataka za mjini hapa! Mwanamke wangu lazma awe na vinasaba vya kijijini kwao sio hawa malaya wastaafu.
 
Najaribu kuwaza ndo first borne wangu kazaliwa anakuta mama yake ana matobo 6 maskioni huku ana ma tatoo kila mahali mwilini yani total garbage! Mara anavuta masigara pia aisee hapana!

Ndio maana hata kwako linakuwia uzito sababu angalia wanawake ambao wenzio wamepeleka home kisha uangalie na huyo wako! Kimaadili tu yuko offset achilia vipingamizi vya wazee! Mwangalie attitude yake tu na uone kama ata sustain maisha ya kuwa mke!

Mwanamke anayependa starehe atafanya chochote kuhakikisha anaishi maisha ya bata tu. Sikukatishi tamaa ila oa huyo mwanamke kama unampenda ila ipo siku utakapokosa kazi ghafla ndipo utakuja kujifunza kitu ambacho sahizi ni vigumu kukielewa! Yani nikimwangalia inanijia taswira ya Irene uwoya flani ambaye ameamua kujifanya ni decent woman πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Katika yote angalia mwanamke ambaye hata siku ukikosa hela ataendelea kuwa na wewe
 
Good advice. In simple words "Be Who You Are".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…