Binti akifikia hatua hii, omba Mungu


Umeongea ukweli sana... Haswa sisi wanaume, tuombe sana Mungu tupate wanawake wanaotupenda kwa dhati... utaishi kwa amani.
 
Usimhurumie...
Mwanamke haurumiwi. Kwasababu wewe ndo ungekuwa yeye usingehurumiwa.

Sio kila mwanamke amezaliwa kuwa kwenye ndoa.
Slay queen never change, they improve. Take it from me.
Jf
 
Ulijuaje hyo tatoo iko kwa tako mkuu
 

Niliwahi kuwa na hali kama hii lakini mimi niliona kabisa sikuwa nampenda yule bi dada, nilichofanya kwa kumheshimu yule nilimuita nikakaa nae nikamwambia ukweli kuwa unanipenda lakini mimi siwezi kurudisha penzi lako kwa kiwango kama chako. Kwa maana hiyo nitakuja kukutesa tu, sasa ili nisikupotezee muda naomba tuachane mapema. Alikasirika, alilia sana na mimi nilisikitika, lakini nilijua kabisa nafanya vile kwa faida yake na yangu. Mwisho alinielewa na mpaka leo anakubali nilifanya jambo la msingi na la kiume kuliko ningemdanganya na kuja kumtesa bure.

Lakini kama unampenda na yeye anakupenda, nasisitiza anakupenda basi hivyo vingine vyote havina maana kabisa. Muoe.
 
Hiv nisipo amini nguv ya uwepo wa mungu nakuwa nimemtukana roho mtakatifu,,au matusi yapi ukitukana unakuwa umetukana roho mtakatifu??
 
Sikiliza Moyo wako, maana km ni kuoa hauoi kwaajili ya JF,unaoa kwaajili yako na utaishi naye wewe sio sisi.
 
Hee
 
Mzee haya mambo yanapiga vibaya acha tu, unakuta anangukia kwa mvurugo wa roho stress zaidi ya hizo tatu na matundu
 
Unamtukanaje roho mtakatifu
ROHO MTAKATIFU ni ROHO wa MUNGU. Ukimtukana MUNGU au kumkashifu ni sawa na umemtukana ROHO MTAKATIFU.

Humu kwenye mitandao utaona kuna baadhi ya watu humtukana MUNGU na wengine huandika maneno ya kashfa na dharau kwa MUNGU. Dhambi hiyo haina msamaha kamwe.

Mwenye masikio na asikie.
 
Hiv nisipo amini nguv ya uwepo wa mungu nakuwa nimemtukana roho mtakatifu,,au matusi yapi ukitukana unakuwa umetukana roho mtakatifu??
Kutomwamini MUNGU na kumtukana ni vitu viwili tofauti sana.

Mfano wewe hauamini uwepo wa MUNGU, lakini baadaye katika maisha ukaanza kumwamini, ukitubu unasamehewa kutokuamini kwako.

Lakini ikiwa sasa hivi haumwamini na unamtukana matusi na kumkashifu, hata kama utatokea kumwamini hapo baadaye hata ukitubu kamwe hutasamehewa sababu tayari umeshamtukana matusi.

Yaani unakuwa kama Shetani, huyu shetani hata akiomba msamaha kwa MUNGU leo hawezi kamwe kusamehewa. Labda Inawezekana na yeye shetani alishawahi kumtukana MUNGU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…