Binti aliyeniacha 2020 kisa kupoteza kazi amerudi 2023. Nishaurini hapa!

Nawasilisha kwenu wakuu nishaurini kuna bint niliyekuwa naye nilikuwa nampenda sana tena mno ila kipindi cha korona sehem nilikuwa nafanya kazi ikaanguka tukaachishwa kazi . Alikaa kimya kwa muda mrefu akaja kunitafuta tena akapotea tena

Juzi amekuja na story zake kuwa amenikumbuka ametendwa toka 2021 hajawah kuwa na mtu.

Ndugu zake wananitafuta na mm nimeshakuwa na mtu mwingine ila huyo dada nampenda ila nakwama siwez kumuacha huy maana ana ujauzito

Nimemwambia ila ananiambia unaweza kumuacha n mm tu sijaamua

Ananilaani sana. Kwa kuwa niliwah kwenda kwao ila yeye ndo aliniacha akapata mwngine

Hizi ni baadh ya msg zake:

Ndiyo maana kipind kile najaribu kuomba unisamehe.

Nimejifunza mengi lakini tangu pale swala la mapenzi Mimi naweza nkatongozwa Sana nikawa na mtu lkn akiongelea swala la mapenzi siwezi kuendelea nae kuna vitu uenda vinawavutia kwangu lkn upendo wa kweli ni wa chache pia nilishauriwa na mtumishii mmoja nilimuelezea akanambia usisubuthu kuutoa mwili wako kwa mwanaume.

Siwezii kurudiaa kosa nililotenda mwanzonipe nafasi nyingine I promise.

Nimejifunza mengi also nakujua unanijua nakuahidi ntakua mama Bora kwako na kwa familia yako
naomba nafasi tena moyoni mwako.

Nina streesss CNA mpenzii Ata wakupanga nae kitu.

Sio kwamba hawapo wapo wengi Sana tena wenye each en everything zaidi ya sana wanaotamani ata leo tuoane lakini cjaona mwenye mapenzi ya dhati kwangu na upendo ambao nikilia nae analia nikiumia nae anaumiaa sasa unawaza hapa anaeza kupritend kwenye mahusiano je kwenye ndoa lazma kutakua na uhalisiaa huo upendo sintaupata.

Huyu mtu unamshauri nin au nifanyaje
Kaa mbali dogo kwani....
"ncha ya mkuki haipigwi konzi..."
Unataka Mungu afanyaje juu Yako ndo ujue anakupenda?
 
Haaaaaaaa move on
 
Mwambie atulie kwa sasa asitafute mpenzi kwakuwa bado anatafuta mtu wa kulingishia eksi wake😂😂😂
 
Utakua mwehu wa kiwango cha makopo ukimuacha mwanamke uliyenae kwaajili ya huyo gold digger...By the way wanaume hatuchagui mwanamke wa permanent kwa kigezo cha kumpenda sana,acha umama kijana[emoji706]. Piga tembea!
 
Hizo ndo msg anazotuma mwanamke akijua wewe ni jinga jinga lisilo na msimamo..

Kwa meseji hizo alizotuma mimi ninaweza kuandika kitabu kuelezea how loser you are..

Uzi wako unaeleza jinsi gani wewe hata kuishi na mwanamke huwezi ,jinsi gani mapenzi yanakutesa,jinsi gani Huna msimamo,jinsi gan hata huyo mwanamke uliye nae atapata shida?

Mwanaume akiwa hajui nini anataka ndo anastahili kuitwa Ana tabia zA kike ni bora mwanaume mmbeya mara elfu kumi kuliko mwanaume asiyejua nini anataka..

Yaani ukiwapanga wanaume wenye thamani ndogo
1.shoga
2.mwanaume asiye na msimamo/asiyejua anataka nini
3.Mwanaume mvivu

Wewe upo hapo namba mbili
 
Sasa si umesema una mwingine? Bro! Huyo wa nini sasa?
 
Kwani kwa sasa unapesa? Na zikiisha tena lazima akuache tena sawa. Tulia n mama kijacho tu
 
Huna akili kabisa mleta Uzi Yaani mwamke amekukibia akaenda huko akafanywaa weeeee halafu anakurudia Yaani samhani Kwa maneno yangu ww ni zobaaaa Tena mama wa mazobaaa wote duniani!!! Usuthubutu kumrudia utajuta kuzaliwa
 
Naombeni maji, someone switch on the fan.

Kusoma hizo sms za huyo binti, bila mkato wala nukta unapaswa uwe na stamina. Ubane pumzi na tumbo. Nimemaliza kusoma nahema kwa shida.

Huyo atakuletea pumzi ya moto. Isiyokata mpaka ufe.

akikuacha kwa sababu ya hali duni, kMwanamkeamwe usimrudie. Na atakayekustiri kwa ukapuku wako, kamwe usimuache..

Kama kuna kaukweli fulani hivi.
 
Nawasilisha kwenu wakuu nishaurini kuna bint niliyekuwa naye nilikuwa nampenda sana tena mno ila kipindi cha korona sehem nilikuwa nafanya kazi ikaanguka tukaachishwa kazi . Alikaa kimya kwa muda mrefu akaja kunitafuta tena akapotea tena

Juzi amekuja na story zake kuwa amenikumbuka ametendwa toka 2021 hajawah kuwa na mtu.

Ndugu zake wananitafuta na mm nimeshakuwa na mtu mwingine ila huyo dada nampenda ila nakwama siwez kumuacha huy maana ana ujauzito

Nimemwambia ila ananiambia unaweza kumuacha n mm tu sijaamua

Ananilaani sana. Kwa kuwa niliwah kwenda kwao ila yeye ndo aliniacha akapata mwngine

Hizi ni baadh ya msg zake:

Ndiyo maana kipind kile najaribu kuomba unisamehe.

Nimejifunza mengi lakini tangu pale swala la mapenzi Mimi naweza nkatongozwa Sana nikawa na mtu lkn akiongelea swala la mapenzi siwezi kuendelea nae kuna vitu uenda vinawavutia kwangu lkn upendo wa kweli ni wa chache pia nilishauriwa na mtumishii mmoja nilimuelezea akanambia usisubuthu kuutoa mwili wako kwa mwanaume.

Siwezii kurudiaa kosa nililotenda mwanzonipe nafasi nyingine I promise.

Nimejifunza mengi also nakujua unanijua nakuahidi ntakua mama Bora kwako na kwa familia yako
naomba nafasi tena moyoni mwako.

Nina streesss CNA mpenzii Ata wakupanga nae kitu.

Sio kwamba hawapo wapo wengi Sana tena wenye each en everything zaidi ya sana wanaotamani ata leo tuoane lakini cjaona mwenye mapenzi ya dhati kwangu na upendo ambao nikilia nae analia nikiumia nae anaumiaa sasa unawaza hapa anaeza kupritend kwenye mahusiano je kwenye ndoa lazma kutakua na uhalisiaa huo upendo sintaupata.

Huyu mtu unamshauri nin au nifanyaje
Acha kuwa na huruma kwa watu wasio na huruma..
 
Sijui how strong you are but mimi hua siachi mwanamke na pia sigombani na mwanamke. Akiniacha nakubali matokeo, akirudi nampokea naendelea kumla ila sio kwa mipango mingine ya mbeleni, ni kumla tu basi.

Sasa ukiwa dhaifu mwanamke anaweza kurudi na ulikua unampenda ukajikuta umerudi kule kule, square zero.

Mwanamke akiniacha kwa sababu yoyote, akirudi simpi nafasi ya kupanga nae mipango ya maisha, nampa nafasi ya kua mchepuko, hatajua kama ni mchepuko ila atakuja kujua baadae, sasa uamuzi utabaki kwake, aondoke tena ama abakie kuendelea kua mchepuko wangu.
 
Back
Top Bottom