Ako kademu kajanja ,kanatumia akili sana ku manipulate TAHIRA KAMA WEWE.
Ndio maana kanadai " Nmetongozwa sana" , Kuna vitu wanavutiwa navyo kwangu" ..,..
Kachek hapa [emoji116]
Sio kwamba hawapo wapo wengi Sana tena wenye each en everything zaidi ya sana wanaotamani ata leo tuoane lakini cjaona mwenye mapenzi ya dhati.
Demu Anakujua udhaifu wako, najua wee ni wale Jamaa wa 'Nimekupata wewe Mwanamke wangu, naona kama nmekupata Kwa bahati".
Hivo Demu anajua wewe ushajiaminisha ni mzuri.
Anatumia mbinu ya kuku pressurize uone kwamba ukichelewa tu atabebwa na mwingine.
SASA BABI, ACHANA NA HUYO MPUUZI !
ACHANA NAYE KWA SABABU HAUNA UHAKIKA WA KESHO, KUNA KESHO UTAACHISHWA KAZI TENA, ATAKUA HA TENA UNALIA.
ACHANA NAYE KWA SABABU UNA MWANAMKE MWINGINE, ALOAMUA KUKUPANULIA MAPAJA, UKAWA UNAPUNGUZA UPWIRU WAKATI AMBAO HUKUA NA KITU.
ACHANA NAYE KWA SABABU, UNA MWANAMKE MJAMZITO.
Kalishindwa kua kake Bora wakati wa mateso yako, ndio kawe lake Bora wakati Huu??.
Mambo mengine msiwe mnaomba ushauri, ni ujinga, UPUMBAVU na uzuzu