Binti aliyeniacha 2020 kisa kupoteza kazi amerudi 2023. Nishaurini hapa!

Kaa mbali dogo kwani....
"ncha ya mkuki haipigwi konzi..."
Unataka Mungu afanyaje juu Yako ndo ujue anakupenda?
 
Haaaaaaaa move on
 
Mwambie atulie kwa sasa asitafute mpenzi kwakuwa bado anatafuta mtu wa kulingishia eksi wake😂😂😂
 
Utakua mwehu wa kiwango cha makopo ukimuacha mwanamke uliyenae kwaajili ya huyo gold digger...By the way wanaume hatuchagui mwanamke wa permanent kwa kigezo cha kumpenda sana,acha umama kijana[emoji706]. Piga tembea!
 
Hizo ndo msg anazotuma mwanamke akijua wewe ni jinga jinga lisilo na msimamo..

Kwa meseji hizo alizotuma mimi ninaweza kuandika kitabu kuelezea how loser you are..

Uzi wako unaeleza jinsi gani wewe hata kuishi na mwanamke huwezi ,jinsi gani mapenzi yanakutesa,jinsi gani Huna msimamo,jinsi gan hata huyo mwanamke uliye nae atapata shida?


Mwanaume akiwa hajui nini anataka ndo anastahili kuitwa Ana tabia zA kike ni bora mwanaume mmbeya mara elfu kumi kuliko mwanaume asiyejua nini anataka..

Yaani ukiwapanga wanaume wenye thamani ndogo
1.shoga
2.mwanaume asiye na msimamo/asiyejua anataka nini
3.Mwanaume mvivu

Wewe upo hapo namba mbili
 
Sasa si umesema una mwingine? Bro! Huyo wa nini sasa?
 
Kwani kwa sasa unapesa? Na zikiisha tena lazima akuache tena sawa. Tulia n mama kijacho tu
 
Huna akili kabisa mleta Uzi Yaani mwamke amekukibia akaenda huko akafanywaa weeeee halafu anakurudia Yaani samhani Kwa maneno yangu ww ni zobaaaa Tena mama wa mazobaaa wote duniani!!! Usuthubutu kumrudia utajuta kuzaliwa
 
achana na kitu kinaitwa x mwambie kabisa sina mpango wa kuwa na ww tena
 

Kama kuna kaukweli fulani hivi.
 
Acha kuwa na huruma kwa watu wasio na huruma..
 
Sijui how strong you are but mimi hua siachi mwanamke na pia sigombani na mwanamke. Akiniacha nakubali matokeo, akirudi nampokea naendelea kumla ila sio kwa mipango mingine ya mbeleni, ni kumla tu basi.

Sasa ukiwa dhaifu mwanamke anaweza kurudi na ulikua unampenda ukajikuta umerudi kule kule, square zero.

Mwanamke akiniacha kwa sababu yoyote, akirudi simpi nafasi ya kupanga nae mipango ya maisha, nampa nafasi ya kua mchepuko, hatajua kama ni mchepuko ila atakuja kujua baadae, sasa uamuzi utabaki kwake, aondoke tena ama abakie kuendelea kua mchepuko wangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…