Binti aliyeniambia hata tukiwa wawili duniani siwezi kuwa na wewe anataka tuwe na mahusiano

Binti aliyeniambia hata tukiwa wawili duniani siwezi kuwa na wewe anataka tuwe na mahusiano

THE BEEKEEPER

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2024
Posts
1,462
Reaction score
7,157
Habari ndugu zangu.


Miaka miwili iliyo pita nilitongoza Binti mmoja mitaa ya home akanichomolea nje.sikukata tamaa mapema nikamrudia kipindi Cha pili majibu alio nipa ni kama hapo juu kichwa nilicho andika.

NO ONE WILL DIE VIRGIN BECAUSE LIFE F&CK ALL OF US

Mtakao Sema chai nimewawekea na maandazi mchukue Moja moja
 

Attachments

  • FB_IMG_1722611641128.jpg
    FB_IMG_1722611641128.jpg
    40 KB · Views: 9
Back
Top Bottom