THE BEEKEEPER
JF-Expert Member
- Feb 23, 2024
- 1,462
- 7,157
Luckydube alisema "Do not close the Door behind you, you may need it sometime"Moja ya kitu nilifundishwa ni kuweka akiba ya maneno
Moja ya jambo sijawahi kufanya ni kumkataa mwanaume katika namna mbaya/dharau
Nimemute anapiga simu sanaKwaiy wewe umemwambiaje sasa??
Sina hisia nae Tena mkuuMpe lita nyingi za maji akili imkae sawa ili ujue Kama yupo serious
MaoniKwaiyoo sasa unashaurije mkuu? Tukupe ushauri au tukupe pongezi?
mrembo huyu sanamu lake lijengwe pale posta ile askari mamument tupa kule, majina ya wazazi wake yaandikwe hapo kwa kutumia dhahabu halisi.Moja ya kitu nilifundishwa ni kuweka akiba ya maneno
Moja ya jambo sijawahi kufanya ni kumkataa mwanaume katika namna mbaya/dharau
KabisaLuckydube alisema "Do not close the Door behind you, you may need it sometime"
Good girl πMoja ya kitu nilifundishwa ni kuweka akiba ya maneno
Moja ya jambo sijawahi kufanya ni kumkataa mwanaume katika namna mbaya/dharau
Tatizo Sina hisia nae tenaMlale mgawane ma UTI na Kaswende mixer HIV.