Binti aliyeniambia hata tukiwa wawili duniani siwezi kuwa na wewe anataka tuwe na mahusiano

Ukiona hivyo kakataliwa huko alikokuwa anatafuta pa kupozea machungu. kunjua roho kula hata mara mbili halafu toweka kama msukule 😀 ......
 
Mwache hakupendi,hata ukiwa naye atakuja kukucheati,haoni kuwa wewe ni mtu wa thamani,ukitaka kushusha thamani yako hapa duniani kubali kuwa nae
 
Tafuna piga chini fastaa
 
Kapige mzigo halafu sepa, mpime kwanza ukimwi asikupe magonjwa bure.
 
Moja ya kitu nilifundishwa ni kuweka akiba ya maneno

Moja ya jambo sijawahi kufanya ni kumkataa mwanaume katika namna mbaya/dharau
HUwa sikupendigi bure Jo na unajua vile nakupendaga😍
 
Moja ya kitu nilifundishwa ni kuweka akiba ya maneno

Moja ya jambo sijawahi kufanya ni kumkataa mwanaume katika namna mbaya/dharau
ili siku hali ikiwa ngumu urudi kiurahisi siyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…