Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hhahahahahahaha, akili zao wanazijua wenyeweUmebadilisha gia angani!! Wanawake...hahaà
Daah, wanawake hawaeleweki kaka...😂😂😂Umebadilisha gia angani!! Wanawake...hahaà
Gauni mahari [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aiseeNacheka kama mazuri vile kmmmmmk
Kuna demu wangu mmoja hivi hapo mjini TIA alinambia yeye siku ya Graduation yake anataka Gauni la kushonwa kwa nani sijui vile(wadada wa mjini mtakuwa mnajua na bei zao) gharama yake ni laki 3. Nikamwambia sawa, nasubiri hiyo siku ya kuambiwa nitoe hiyo pesa mtu akashone gauni [emoji1787] [emoji1787][emoji1787]
Ndiyo maana Nchi nyingi hata zilizoendelea huwa wanataka kujua juu ya mahusiano. Nafikiri wanaamini kama umeweza kuishi na Mwanamke basi utaweza kuhimili mikikimikiki ya kuongoza Watu.Daah, wanawake hawaeleweki kaka...😂😂😂
Kweli kabisa mkuu... hawa viumbe tuishi nao kwa akili!Ndiyo maana Nchi nyingi hata zilizoendelea huwa wanataka kujua juu ya mahusiano. Nafikiri wanaamini kama umeweza kuishi na Mwanamke basi utaweza kuhimili mikikimikiki ya kuongoza Watu.
Mwanamke anaweza kukuambia yeye hapendi sana bia kumbe ni mgidaji mzuri akipata fursa
Ukitaka thamani ya upendo uithaminishe na material things utachezewa sanaSema nini kuvaa lipete linapauka vidoleni bora usinivishe tu ...
Thahabu ina raha yake vidoleni bana, afu inaonesha mwanaume anakuthamini sana[emoji848]
Alaf tukiisha zipata?Wanaume tafuteni HELA!
Wakati ule namchumbia mke wangu aliomba nimvalishe pete,mi nikakataa na kumwambia kuwa habari za kuvalishana pete hazimo kwenye taratibu za kuchumbia katka kabila letu,hayo ni ya wazungu na mimi sio mzungu.Nachoweza kufanya ni kutoa kishika uchumba kwa mujibu wa taratibu za kabila letu.Akakataa,na Mimi pete sikumvalisha.Nikatoa mahari,tukafunga ndoa.sasa ni miaka 15,na watoto 3,na furaha tele.Huyo jamaa ampe msimamo kuwa ndoa ni zaidi ya material things.Hii ni story tu lakini kuna uhalisia wa maisha ndani yake.
Chagua 1
PETE YA LAKI 4 NA PENZI FAKE
PETE YA BUKU NA ORIGINAL PENZI.
mke wangu ana pete ya uchumba ya 1,000 na ya ndoa ya 4,000.
maisha murua
Hahahahahah waongo waongo sana hawaNdiyo maana Nchi nyingi hata zilizoendelea huwa wanataka kujua juu ya mahusiano. Nafikiri wanaamini kama umeweza kuishi na Mwanamke basi utaweza kuhimili mikikimikiki ya kuongoza Watu.
Mwanamke anaweza kukuambia yeye hapendi sana bia kumbe ni mgidaji mzuri akipata fursa