Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Hii ndio misimamo ya kiume yani😅Wakati ule namchumbia mke wangu aliomba nimvalishe pete,mi nikakataa na kumwambia kuwa habari za kuvalishana pete hazimo kwenye taratibu za kuchumbia katka kabila letu,hayo ni ya wazungu na mimi sio mzungu.Nachoweza kufanya ni kutoa kishika uchumba kwa mujibu wa taratibu za kabila letu.Akakataa,na Mimi pete sikumvalisha.Nikatoa mahari,tukafunga ndoa.sasa ni miaka 15,na watoto 3,na furaha tele.Huyo jamaa ampe msimamo kuwa ndoa ni zaidi ya material things.