Binti amlalamikia mpenzi wake kwa kumvalisha pete ya shilingi elfu 23,000

Hii ndio misimamo ya kiume yani😅
 
Kuna movie ya Nollywood inaonyesha dada aliyejiona mzuri kuliko wote mtaani. Alikataa posa nyingi mpaka alipotokea American guy.

Alitamba mtaa mzima kuwa yeye ndiye level za kwenda Marekani. Baada ya harusi kwenda Marekani kumbe jamaa anachukua wanawake Africa kuwauza kwenye danguro lake.
 
Mapenzi na Pete wapi na wapi?[emoji848]

Sema wanawake wanapenda competition among themselves, that's y ushost siutaki, maana kuharibikiwa ni sekunde tu...
You have a good brain like you graduated from a good school, mapenzi ni ya moyoni tu sio material stuff for real! Ukiona tu uko obsessed na mavitu ya aina hio jua you aren’t ready for lifetime partnership!

Af kinachoboa mwanamke anatakaga vitu ambavyo kwa hela yake hawezi nunua hata angekuwa nayo cash😅😅😅😅 imagine mtu anataka pete za gold zikiwa mbili ni almost 6 grammes sawa na kodi yake ya mwaka mzima kwenye kigeto chake uswahilini huko! Hio yote aonekane matawi ya juu
 
Atafute inayofanana na hiyo lakini ya bei kali kwa pesa yake. Mbona rahisi tu.
 
Mapenzi na Pete wapi na wapi?[emoji848]

Sema wanawake wanapenda competition among themselves, that's y ushost siutaki, maana kuharibikiwa ni sekunde tu...
hapana bwana mwanaume anayekupenda hawezi kukupa pete ya 23k.... thats just a new low.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]
 
Sometimes nahisi wanawake wanapenda sana drama kuliko maisha halisi, sasa bei ya pete ina uhusiano gani na penzi la kweli? Stupid
[emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kuna baadhi ya wanawake wana ujinga mwingi, mie hata pete sijapewa ila ahadi ya ndoa ipo motomoto..[emoji23][emoji23][emoji23] wadada tusitiane tamaa jamani.
Mfyuuuuuu
 
[emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…