Binti Ana Ujauzito wa Miezi 3, Sasa Wazazi Wake Wanataka Nikae Naye—Lakini Bado Sijajipanga

Kwanini umkatae huyo binti wakati alijua wewe unaweza kuwa bora kwake .?

Wanawake hua wana-choices mpaka kubeba mimba yako means kaona wewe unamfaa.

Hvyo muoe huyo binti, kuoa ni Baraka son.

Kuhusu mshahara wewe ni mwanaume utajua namna gani yakupanga budget, mwanaume ni kichwa .

Kunawatu huku mitaani wanawatoto na hawana kazi yakueleweka lakini kila siku familia zao zinakula na kupata mahitaji.

Wewe ni mwanaume, na uwanaume wako unapimwa na namna gani unaweza ku-handle changamoto kama hizo.

GOOD LUCK SON.
 
Habari za muda huu wakuu mimi ni kijana wa kiume
Miez minne iliyopita nilianza uhusiano na binti mmoja jirani na ofisini kwangu. Ni binti mdogo miaka 22 na bado anaishi na wazazi wake.
Ishu ikatokea binti nimempa ujauzito na sasa una miezi mitatu juzi nimeitwa kwao mama yake anataka kunikabdhi binti nikakae nae kwangu hapa anasubiliwa baba yake ambae yupo safarini kikazi arudi mchakato uanze.

Sasa ndugu zangu mimi bado sijajipanga kuowa mshahara wangu ni laki 6 tu na sina kitega uchumi kingine naishi kwenye chumba kimoja tena kisela sina kijiko wala kikombe. Ntawezaje kujivika majukumu ya kuishi na mtu nawaza malengo yangu yatatimia kweli je siku nikikosa kazi na tayari nina familia inanitegemea. Ushauri wenu ndugu zagu hapa nimeshaambiwa na mama mkwe inabidi tuanze kliniki nachoka ndugu zangu. Naombeni ushauri ni kipi nifanye hapa au wenzangu mliopitia hali kama hii mliwezaje kusarvive.
kuna watu wanalipwa dollar20 na wanaendesha familia
 
Bear the consequences
Ndoishakua mbona Ivo ,
shukuru hata io 600k ni uhakika kuna watu wanaanziaga from the scratch
Shukuru pia ww hata unaweza kuongea nao wakwe
Kuna familia ukijichanganya ni NGINJANGINJA mwanzo mwisho
Alafu mwisho kabisa mtoto we mpokee tuu maana ni baraka
GOODLUCK
#NEXT TIME USIMPE MIMBA BINTI KAMA HUJUI WHAT'S COMING UP😎
 
Shirikisha upande wako, usilibebe hili tatizo peke yako mzee utapata stress za bure. Tafuta mtu mzima unayemwamini kwenye familia yenu iwe ni baba, mama, mjomba au kaka mkubwa mwambie ukweli mzima. Unahitaji watu wazima kutoka kwenu waje wakae na wazazi wa binti wakati baba yake akirudi, ili wazungumze kiutu uzima na kuweka makubaliano ya kiungwana yatakayolinda heshima ya pande zote mbili bila kuumizana.
 
Habari za muda huu wakuu mimi ni kijana wa kiume
Miez minne iliyopita nilianza uhusiano na binti mmoja jirani na ofisini kwangu. Ni binti mdogo miaka 22 na bado anaishi na wazazi wake.
Ishu ikatokea binti nimempa ujauzito na sasa una miezi mitatu juzi nimeitwa kwao mama yake anataka kunikabdhi binti nikakae nae kwangu hapa anasubiliwa baba yake ambae yupo safarini kikazi arudi mchakato uanze.

Sasa ndugu zangu mimi bado sijajipanga kuowa mshahara wangu ni laki 6 tu na sina kitega uchumi kingine naishi kwenye chumba kimoja tena kisela sina kijiko wala kikombe. Ntawezaje kujivika majukumu ya kuishi na mtu nawaza malengo yangu yatatimia kweli je siku nikikosa kazi na tayari nina familia inanitegemea. Ushauri wenu ndugu zagu hapa nimeshaambiwa na mama mkwe inabidi tuanze kliniki nachoka ndugu zangu. Naombeni ushauri ni kipi nifanye hapa au wenzangu mliopitia hali kama hii mliwezaje kusarvive.
Mivyokuwa mnavuana chupi uliomba ushauri wa kitachokuja kutokea?
 
Shirikisha upande wako, usilibebe hili tatizo peke yako mzee utapata stress za bure. Tafuta mtu mzima unayemwamini kwenye familia yenu iwe ni baba, mama, mjomba au kaka mkubwa mwambie ukweli mzima. Unahitaji watu wazima kutoka kwenu waje wakae na wazazi wa binti wakati baba yake akirudi, ili wazungumze kiutu uzima na kuweka makubaliano ya kiungwana yatakayolinda heshima ya pande zote mbili bila kuumizana.
Nmekuelewa sana brother shukran
 
Kwanini umkatae huyo binti wakati alijua wewe unaweza kuwa bora kwake .?

Wanawake hua wana-choices mpaka kubeba mimba yako means kaona wewe unamfaa.

Hvyo muoe huyo binti, kuoa ni Baraka son.

Kuhusu mshahara wewe ni mwanaume utajua namna gani yakupanga budget, mwanaume ni kichwa .

Kunawatu huku mitaani wanawatoto na hawana kazi yakueleweka lakini kila siku familia zao zinakula na kupata mahitaji.

Wewe ni mwanaume, na uwanaume wako unapimwa na namna gani unaweza ku-handle changamoto kama hizo.

GOOD LUCK SON.
Sawaa mkuu nmekuelewa shukran sana umenitia moyo
 
Habari za muda huu wakuu mimi ni kijana wa kiume
Miez minne iliyopita nilianza uhusiano na binti mmoja jirani na ofisini kwangu. Ni binti mdogo miaka 22 na bado anaishi na wazazi wake.
Ishu ikatokea binti nimempa ujauzito na sasa una miezi mitatu juzi nimeitwa kwao mama yake anataka kunikabdhi binti nikakae nae kwangu hapa anasubiliwa baba yake ambae yupo safarini kikazi arudi mchakato uanze.

Sasa ndugu zangu mimi bado sijajipanga kuowa mshahara wangu ni laki 6 tu na sina kitega uchumi kingine naishi kwenye chumba kimoja tena kisela sina kijiko wala kikombe. Ntawezaje kujivika majukumu ya kuishi na mtu nawaza malengo yangu yatatimia kweli je siku nikikosa kazi na tayari nina familia inanitegemea. Ushauri wenu ndugu zagu hapa nimeshaambiwa na mama mkwe inabidi tuanze kliniki nachoka ndugu zangu. Naombeni ushauri ni kipi nifanye hapa au wenzangu mliopitia hali kama hii mliwezaje kusarvive.
Mnaishi Kiswahili sana lakini...
 
Chukue mkeo chapu hata haina haja ya kumsubiria mzee. Wenzako tumeoa posho ikiwa 180k msela sina godoro, getho wala kijiko cha kulia wali ila siku hiyo nilichambua na kununua vitu vya msingi pamoja na kulipia chumba na sebule miezi mitatu mengine wasukuma wanasema agulonja ng'winula.
 
Habari za muda huu wakuu mimi ni kijana wa kiume
Miez minne iliyopita nilianza uhusiano na binti mmoja jirani na ofisini kwangu. Ni binti mdogo miaka 22 na bado anaishi na wazazi wake.
Ishu ikatokea binti nimempa ujauzito na sasa una miezi mitatu juzi nimeitwa kwao mama yake anataka kunikabdhi binti nikakae nae kwangu hapa anasubiliwa baba yake ambae yupo safarini kikazi arudi mchakato uanze.

Sasa ndugu zangu mimi bado sijajipanga kuowa mshahara wangu ni laki 6 tu na sina kitega uchumi kingine naishi kwenye chumba kimoja tena kisela sina kijiko wala kikombe. Ntawezaje kujivika majukumu ya kuishi na mtu nawaza malengo yangu yatatimia kweli je siku nikikosa kazi na tayari nina familia inanitegemea. Ushauri wenu ndugu zagu hapa nimeshaambiwa na mama mkwe inabidi tuanze kliniki nachoka ndugu zangu. Naombeni ushauri ni kipi nifanye hapa au wenzangu mliopitia hali kama hii mliwezaje kusarvive.
Kwa hiyo ulipanda mbegu halafu akulelee nani? Hayo majukumu unayotaka kuwapa wazazi wake kwani walikwambia wanayataka au walikwambia wamejiandaa kuyabeba?
 
Habari za muda huu wakuu mimi ni kijana wa kiume
Miez minne iliyopita nilianza uhusiano na binti mmoja jirani na ofisini kwangu. Ni binti mdogo miaka 22 na bado anaishi na wazazi wake.
Ishu ikatokea binti nimempa ujauzito na sasa una miezi mitatu juzi nimeitwa kwao mama yake anataka kunikabdhi binti nikakae nae kwangu hapa anasubiliwa baba yake ambae yupo safarini kikazi arudi mchakato uanze.

Sasa ndugu zangu mimi bado sijajipanga kuowa mshahara wangu ni laki 6 tu na sina kitega uchumi kingine naishi kwenye chumba kimoja tena kisela sina kijiko wala kikombe. Ntawezaje kujivika majukumu ya kuishi na mtu nawaza malengo yangu yatatimia kweli je siku nikikosa kazi na tayari nina familia inanitegemea. Ushauri wenu ndugu zagu hapa nimeshaambiwa na mama mkwe inabidi tuanze kliniki nachoka ndugu zangu. Naombeni ushauri ni kipi nifanye hapa au wenzangu mliopitia hali kama hii mliwezaje kusarvive.
Wakati unampa huo ujauzito ulikuwa pia hujajipanga! Si ungechukua sabanu au mafuta na kurahisisha kazi? Nausipomchukua huyo binti, mzazi wake atasababisha upate busha.
 
Toeni hiyo mimba haraka/remove that pregnancy quickly.
Usifanye jambo hilo la kutoa mimba. Mchukue binti. Hiyo ndiyo maana ya upendo. Usimpende wakati wa starehe tu. Umaweza kuwa na mashaka mengi lakini ukianza maisha yawezekana ukashangaa maisha yanaenda.

Mambo ya kitoa mimba, waweza kuishia kufanya mauaji ya watu wawili, mama na mtoto. Mtoto huyo atakapokuwa mkubwa unaweza kujishangaa kwa nini ulifikiria kumwua. Sahizi humwoni, unaweza usiwe na uchungu naye, lakini akishakua, anaweza kuwa chanzo cha firaha yako. Yapokeeyote kwa moyo wa upendo, trna wala usioneshe kama vilr unalazimishwa.
 
Habari za muda huu wakuu mimi ni kijana wa kiume
Miez minne iliyopita nilianza uhusiano na binti mmoja jirani na ofisini kwangu. Ni binti mdogo miaka 22 na bado anaishi na wazazi wake.
Ishu ikatokea binti nimempa ujauzito na sasa una miezi mitatu juzi nimeitwa kwao mama yake anataka kunikabdhi binti nikakae nae kwangu hapa anasubiliwa baba yake ambae yupo safarini kikazi arudi mchakato uanze.

Sasa ndugu zangu mimi bado sijajipanga kuowa mshahara wangu ni laki 6 tu na sina kitega uchumi kingine naishi kwenye chumba kimoja tena kisela sina kijiko wala kikombe. Ntawezaje kujivika majukumu ya kuishi na mtu nawaza malengo yangu yatatimia kweli je siku nikikosa kazi na tayari nina familia inanitegemea. Ushauri wenu ndugu zagu hapa nimeshaambiwa na mama mkwe inabidi tuanze kliniki nachoka ndugu zangu. Naombeni ushauri ni kipi nifanye hapa au wenzangu mliopitia hali kama hii mliwezaje kusarvive.
Wakati unachakata kavu na kumwagia ndani ulikuwa unafikili Nini?
 
Back
Top Bottom