Binti Ana Ujauzito wa Miezi 3, Sasa Wazazi Wake Wanataka Nikae Naye—Lakini Bado Sijajipanga

Habari za muda huu wakuu mimi ni kijana wa kiume
Miez minne iliyopita nilianza uhusiano na binti mmoja jirani na ofisini kwangu. Ni binti mdogo miaka 22 na bado anaishi na wazazi wake.
Ishu ikatokea binti nimempa ujauzito na sasa una miezi mitatu juzi nimeitwa kwao mama yake anataka kunikabdhi binti nikakae nae kwangu hapa anasubiliwa baba yake ambae yupo safarini kikazi arudi mchakato uanze.

Sasa ndugu zangu mimi bado sijajipanga kuowa mshahara wangu ni laki 6 tu na sina kitega uchumi kingine naishi kwenye chumba kimoja tena kisela sina kijiko wala kikombe. Ntawezaje kujivika majukumu ya kuishi na mtu nawaza malengo yangu yatatimia kweli je siku nikikosa kazi na tayari nina familia inanitegemea. Ushauri wenu ndugu zagu hapa nimeshaambiwa na mama mkwe inabidi tuanze kliniki nachoka ndugu zangu. Naombeni ushauri ni kipi nifanye hapa au wenzangu mliopitia hali kama hii mliwezaje kusarvive.
Je kama umesingiziwa mtoto sio wako? Je huyo demu ulimkuta bikra?
 
Mahusiano ni miez 4, mimba inamiez 3.JF ya saiz na tiktok hakuna tofauti.
 
Ungeyajua hayo yote ungetumia Kinga au kuacha kabsa, we mchukue uyo bnti laki sita mbona nyingi Kuna watu wanaish na mishahara ya laki 3 na wana familia
 
Habari za muda huu wakuu mimi ni kijana wa kiume
Miez minne iliyopita nilianza uhusiano na binti mmoja jirani na ofisini kwangu. Ni binti mdogo miaka 22 na bado anaishi na wazazi wake.
Ishu ikatokea binti nimempa ujauzito na sasa una miezi mitatu juzi nimeitwa kwao mama yake anataka kunikabdhi binti nikakae nae kwangu hapa anasubiliwa baba yake ambae yupo safarini kikazi arudi mchakato uanze.

Sasa ndugu zangu mimi bado sijajipanga kuowa mshahara wangu ni laki 6 tu na sina kitega uchumi kingine naishi kwenye chumba kimoja tena kisela sina kijiko wala kikombe. Ntawezaje kujivika majukumu ya kuishi na mtu nawaza malengo yangu yatatimia kweli je siku nikikosa kazi na tayari nina familia inanitegemea. Ushauri wenu ndugu zagu hapa nimeshaambiwa na mama mkwe inabidi tuanze kliniki nachoka ndugu zangu. Naombeni ushauri ni kipi nifanye hapa au wenzangu mliopitia hali kama hii mliwezaje kusarvive.
Mkuu umepewa nyama ya bure unajifikiria mara mbili?
 
Ulipokuwa unamwagia ndani ulifikiri mimba akulelee nani hiyo mimba, laki sita mbona kubwa hiyo chukua mimba yako uilee mwenyewe
 
wakati unasimamia kucha hukuwaza hayp?? sasa bora wewe mimi wazazi hawataki kunipa binti yao na kashajifungua na wanataka matunzo daily 10k huduma ya bint na kichanga.
 
Habari za muda huu wakuu mimi ni kijana wa kiume
Miez minne iliyopita nilianza uhusiano na binti mmoja jirani na ofisini kwangu. Ni binti mdogo miaka 22 na bado anaishi na wazazi wake.
Ishu ikatokea binti nimempa ujauzito na sasa una miezi mitatu juzi nimeitwa kwao mama yake anataka kunikabdhi binti nikakae nae kwangu hapa anasubiliwa baba yake ambae yupo safarini kikazi arudi mchakato uanze.

Sasa ndugu zangu mimi bado sijajipanga kuowa mshahara wangu ni laki 6 tu na sina kitega uchumi kingine naishi kwenye chumba kimoja tena kisela sina kijiko wala kikombe. Ntawezaje kujivika majukumu ya kuishi na mtu nawaza malengo yangu yatatimia kweli je siku nikikosa kazi na tayari nina familia inanitegemea. Ushauri wenu ndugu zagu hapa nimeshaambiwa na mama mkwe inabidi tuanze kliniki nachoka ndugu zangu. Naombeni ushauri ni kipi nifanye hapa au wenzangu mliopitia hali kama hii mliwezaje kusarvive.
Umempa mimba binti wawatu , unataka akae kwao , chukua mzigo wako.

Ulivyokua una fanya naye mapenzi kavu kavu ulikua unategemea nini ?
 
Kila binadamu na riziki yake, we mchukue ,kaa naye atakuja na riziki yake, na hata huyo mtoto atakuja na riziki zake! nb ; Wewe una mshahara wengine tunasomba nzege,ujira wetu ni kidogoo, lakini hatukimbii majukumu, kila lahel kwako
 
Habari za muda huu wakuu mimi ni kijana wa kiume
Miez minne iliyopita nilianza uhusiano na binti mmoja jirani na ofisini kwangu. Ni binti mdogo miaka 22 na bado anaishi na wazazi wake.
Ishu ikatokea binti nimempa ujauzito na sasa una miezi mitatu juzi nimeitwa kwao mama yake anataka kunikabdhi binti nikakae nae kwangu hapa anasubiliwa baba yake ambae yupo safarini kikazi arudi mchakato uanze.

Sasa ndugu zangu mimi bado sijajipanga kuowa mshahara wangu ni laki 6 tu na sina kitega uchumi kingine naishi kwenye chumba kimoja tena kisela sina kijiko wala kikombe. Ntawezaje kujivika majukumu ya kuishi na mtu nawaza malengo yangu yatatimia kweli je siku nikikosa kazi na tayari nina familia inanitegemea. Ushauri wenu ndugu zagu hapa nimeshaambiwa na mama mkwe inabidi tuanze kliniki nachoka ndugu zangu. Naombeni ushauri ni kipi nifanye hapa au wenzangu mliopitia hali kama hii mliwezaje kusarvive.
Yaani wewe tayari ni mtu mzima na una mshahra japo ni mdogo halafu unalialia.

Mimi nikiwa kidato cha nne kuelekea kwenye paper nilibebesha mimba binti naye akiwa wakusoma kama mimi ikabidi nilivyomaliza tu paper nikaingia mzigoni wakati nasikilizia matokeo.

Nilikuwa namhudumia binti hadi alipojifungua salama na nikaendelea na masomo huku nikiwa namhudumia kwasababu nilishaweka mazingira ya kitega uchumi kimtindo hivyo masomo hayakuathiri huduma kwa mama na mtoto.

Baadae nikaja kumuoa huyo binti. So, huna haja ya kuhofia kuanza majukumu naamini ndiyo akili itafunguka zaidi kuliko sasa.
 
Beba mkeo huyo no way!
Msitoe hio mimba hio ni mauaji kama mauaji mengine

Watoto ni baraka!

Cc Smart911
 
Suala la kuleta kiumbe kipya duniani waafrika mnalichukulia kirahisi rahisi. Kuleta kiumbe kipya duniani ni suala linalohitaji maandalizi ya kiuchumi, kiakili, kisaikolojia. Kuzaa ni jambo zito
 
Habari za muda huu wakuu mimi ni kijana wa kiume
Miez minne iliyopita nilianza uhusiano na binti mmoja jirani na ofisini kwangu. Ni binti mdogo miaka 22 na bado anaishi na wazazi wake.
Ishu ikatokea binti nimempa ujauzito na sasa una miezi mitatu juzi nimeitwa kwao mama yake anataka kunikabdhi binti nikakae nae kwangu hapa anasubiliwa baba yake ambae yupo safarini kikazi arudi mchakato uanze.

Sasa ndugu zangu mimi bado sijajipanga kuowa mshahara wangu ni laki 6 tu na sina kitega uchumi kingine naishi kwenye chumba kimoja tena kisela sina kijiko wala kikombe. Ntawezaje kujivika majukumu ya kuishi na mtu nawaza malengo yangu yatatimia kweli je siku nikikosa kazi na tayari nina familia inanitegemea. Ushauri wenu ndugu zagu hapa nimeshaambiwa na mama mkwe inabidi tuanze kliniki nachoka ndugu zangu. Naombeni ushauri ni kipi nifanye hapa au wenzangu mliopitia hali kama hii mliwezaje kusarvive.
Pole UMASKINI haujawai mpendeza mtu kama TAI

POLE KIJANA.. POLE SANAAAAAA BWASHEE
 
Back
Top Bottom