cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
Kati ya vitu ambavyo huwezi kukwepa, ni pamoja na kubeba majukumu ya kulea familia.
Haswaaa

Mchukue uwe unapoza injini, na hiki kipindi cha elnino kinachokuja na kaubaridi kake, unakuwa unajipa joto taratibu tu.
Una makosa wajibika.
lakini sijui nani ongee na mabinti kuhusu hili jamani.
Hutakiwi mbebea mimba mtu ikiwa hamjapanga.
Mama mwenye chumba 😆😆😆Umeona kijana ana kazi anaingiza laki 6 kwa mwezi, binti kaamua ajiongeze abebe mimba awe mama mjengo. Lol
Mtu kama wewe ilitakiwa uhasiwe tu kwasababu ni hasara kwa taifa. Serikali iliona mbali sana kuweka adhabu ya miaka 30 jela kwa mtu anayetembea na mwanafunzi. Ninamshauri wazazi wa huyo binti wadili na wewe kwa mbinu za kimila endapo utazingua.Habari za muda huu wakuu mimi ni kijana wa kiume
Miez minne iliyopita nilianza uhusiano na binti mmoja jirani na ofisini kwangu. Ni binti mdogo miaka 22 na bado anaishi na wazazi wake.
Ishu ikatokea binti nimempa ujauzito na sasa una miezi mitatu juzi nimeitwa kwao mama yake anataka kunikabdhi binti nikakae nae kwangu hapa anasubiliwa baba yake ambae yupo safarini kikazi arudi mchakato uanze.
Sasa ndugu zangu mimi bado sijajipanga kuowa mshahara wangu ni laki 6 tu na sina kitega uchumi kingine naishi kwenye chumba kimoja tena kisela sina kijiko wala kikombe. Ntawezaje kujivika majukumu ya kuishi na mtu nawaza malengo yangu yatatimia kweli je siku nikikosa kazi na tayari nina familia inanitegemea. Ushauri wenu ndugu zagu hapa nimeshaambiwa na mama mkwe inabidi tuanze kliniki nachoka ndugu zangu. Naombeni ushauri ni kipi nifanye hapa au wenzangu mliopitia hali kama hii mliwezaje kusarvive.
Jamaa hajajipanga, ina maana akili yake ni binti atoe mimba...Ili ugundue nini,,? Sheeeendwa!
Umeongea ujinga. Kila mtu atalipwa kwa anachokifanya. Yeye analilia juu ya k ya huyo binti anamgeuza anavyotaka alitegemea yatatokea mahindi?.Toeni hiyo mimba haraka/remove that pregnancy quickly.
Wewe sio kimbilio la wakosefu apambane nahali yake! Huyo ni wake hakuna namna!Jamaa hajajipanga, ina maana akili yake ni binti atoe mimba...
Binti asitoe mimba, amlete kwangu, nitakaa na huyo binti...
Sawa sweetheart...Wewe sio kimbilio la wakosefu apambane nahali yake! Huyo ni wake hakuna namna!
Miaka 22 sio mtoto wa kurubuniwa chips Mkuu huyo bint nae hamnazoMtu kama wewe ilitakiwa uhasiwe tu kwasababu ni hasara kwa taifa. Serikali iliona mbali sana kuweka adhabu ya miaka 30 jela kwa mtu anayetembea na mwanafunzi. Ninamshauri wazazi wa huyo binti wadili na wewe kwa mbinu za kimila endapo utazingua.
Kama hujajipanga ulipiga kavu ya nini bila tahadhari? hicho chumba kimoja kinawatosha, kwani mmekuwa tembo?!Habari za muda huu wakuu mimi ni kijana wa kiume
Miez minne iliyopita nilianza uhusiano na binti mmoja jirani na ofisini kwangu. Ni binti mdogo miaka 22 na bado anaishi na wazazi wake.
Ishu ikatokea binti nimempa ujauzito na sasa una miezi mitatu juzi nimeitwa kwao mama yake anataka kunikabdhi binti nikakae nae kwangu hapa anasubiliwa baba yake ambae yupo safarini kikazi arudi mchakato uanze.
Sasa ndugu zangu mimi bado sijajipanga kuowa mshahara wangu ni laki 6 tu na sina kitega uchumi kingine naishi kwenye chumba kimoja tena kisela sina kijiko wala kikombe. Ntawezaje kujivika majukumu ya kuishi na mtu nawaza malengo yangu yatatimia kweli je siku nikikosa kazi na tayari nina familia inanitegemea. Ushauri wenu ndugu zagu hapa nimeshaambiwa na mama mkwe inabidi tuanze kliniki nachoka ndugu zangu. Naombeni ushauri ni kipi nifanye hapa au wenzangu mliopitia hali kama hii mliwezaje kusarvive.
Huwa wanasingizia Kila mtoto anakuja na bahati yakeDhambi ni kumzaa huyo mtoto halafu mkashindwa kumlea kisha akaanza kuteseka duniani.
Mimi sikushauri ila nakusaidia kabisa. Fanya mlete kwangu, ninamshahara wa 150,000 kwa mwezi ataishi vizuri tu. OvaHabari za muda huu wakuu mimi ni kijana wa kiume
Miez minne iliyopita nilianza uhusiano na binti mmoja jirani na ofisini kwangu. Ni binti mdogo miaka 22 na bado anaishi na wazazi wake.
Ishu ikatokea binti nimempa ujauzito na sasa una miezi mitatu juzi nimeitwa kwao mama yake anataka kunikabdhi binti nikakae nae kwangu hapa anasubiliwa baba yake ambae yupo safarini kikazi arudi mchakato uanze.
Sasa ndugu zangu mimi bado sijajipanga kuowa mshahara wangu ni laki 6 tu na sina kitega uchumi kingine naishi kwenye chumba kimoja tena kisela sina kijiko wala kikombe. Ntawezaje kujivika majukumu ya kuishi na mtu nawaza malengo yangu yatatimia kweli je siku nikikosa kazi na tayari nina familia inanitegemea. Ushauri wenu ndugu zagu hapa nimeshaambiwa na mama mkwe inabidi tuanze kliniki nachoka ndugu zangu. Naombeni ushauri ni kipi nifanye hapa au wenzangu mliopitia hali kama hii mliwezaje kusarvive.
ulicho kiandika umekifikilia lakn?Toeni hiyo mimba haraka/remove that pregnancy quickly.
usikubali atoe ujauzito ile ni dam yako na zawad ifurahie.Binti ataki kutoa huo ujauzito mkuu namimi pia sipemdelei hivo