feyzal
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 9,024
- 18,683
Mimba sio jambo la bahati mbaya kijana,mchukue bint uishi nae tena maliza kabisa na taratibu zingine muishi kihalali.
NB:Nikukumbushe tu hao wazazi mpaka hapo wamekufanyia ustaarabu mno kukupunguzia gharama za harusi na sherehe ila ukileta uhuni kitakulamba.
OVA